WADUKUZI wa kichana wamedukua barua pepe 60000 serikali ya Marekani mwezi Mei mwaka huu. CNN inaripoti …(endelea). Msemaji wa idara ya Serikali ya...
By Mwandishi WetuSeptember 29, 2023ALIYEKUWA Rais wa Marekani, Donald Trump, amekutwa na hatia ya ulaghai kwenye shughuli zake za biashara katika muongo mmoja uliopita. Anaripoti Mwandishi...
By Masalu ErastoSeptember 27, 2023WATU takribani 100, akiwemo bibi na bwana harusi, wamefariki dunia kwa ajali ya moto iliyotokea usiku wa jana Jumanne, katika ukumbi waliokuwa...
By Mwandishi WetuSeptember 27, 2023MAHAKAMA ya Bermuda imetoa amri ya kufilisiwa kwa Kamapuni ya Mali ya China ya Oceanwide Holdings Imeripotiwa na South China Morning Post...
By Mwandishi WetuSeptember 26, 2023MKUTANO wa Mawaziri wa Mambo ya nje wa nchi za G7 zimepinga kitendo cha uvamizi wa Jeshi la China katika ukanda wa Bahari...
By Mwandishi WetuSeptember 22, 2023Rais wa Rwanda, Paul Kagame amesema atawania muhula wa nne katika uchaguzi wa rais mwaka ujao. Anaripoti Mitandao ya Kimataifa…(endelea). “Ndiyo, hakika mimi...
By Mwandishi WetuSeptember 20, 2023Rais wa Kenya, William Ruto amesema serikali ya Ukraine inapanga kuweka kituo cha nafaka mjini Mombasa kama sehemu ya hatua kubwa ya kukabiliana...
By Mwandishi WetuSeptember 20, 2023KALU Dhami kutoka Dhalain moja ya kata ya Manispaa ya Vijijini ya Saipali ni mfugaji wa kondoo. Hadi miaka minne iliyopita, Dhami...
By Mwandishi WetuSeptember 17, 2023RAIS wa Madagascar, Andry Rajoelina amejiuzulu baada ya kuthibitishwa rasmi kuwa mgombea katika uchaguzi wa urais utakaofanyika tarehe 9 Novemba 2023. Anaripoti Mlelwa...
By Mwandishi WetuSeptember 12, 2023USHAWISHI ya Taifa la India imezidi kuongezeka katika anga ya kimataifa hasa pale ilipoungwa mkono kuogoza G20. Imeandikwa na The Interpreter …...
By Mwandishi WetuSeptember 12, 2023ZAIDI ya watu 2000 wahofiwa kupoteza maisha huku maelfu wakiwa hawajulikani walipo baada ya kimbunga Daniel kuikumba nchi ya Libya. Anaripoti isaya Temu,...
By Mwandishi WetuSeptember 12, 2023IDADI vifo katika tetemeko la ardhi lilitokea usiku wa tarehe 8 Septemba 2023 katika miji kadhaa nchini Morocco, vimeongezeka kutoka 2,122 hadi 2,500....
By Mwandishi WetuSeptember 11, 2023JENERALI Brice Nguema, aliyemng’oa madarakani Rais wa Gabon, Ali Bongo katika mapinduzi ya kijeshi yaliyofanyika wiki iliyopita, ameapishwa kuwa Rais wa mpito wa...
By Mwandishi WetuSeptember 4, 2023Mabegi, mifuko pamoja na masanduku yaliyojazwa fedha za nchi mbalimbali yamekutwa ndani ya nyumba ya Yann Ngulu mtoto mkubwa wa Rais Ali Bongo...
By Mwandishi WetuAugust 31, 2023VIONGOZI wa kijeshi waliochukua madaraka nchini Gabon wamemtangaza mkuu wa kitengo cha walinzi wa rais, Brice Clotaire Oligui Nguema, kama kiongozi wa mpito...
By Mwandishi WetuAugust 31, 2023ZAIDI ya watu 70 wanahofiwa kufa baada ya kuungua kwa ajali ya moto katika jengo la ghorofa tano ambalo linatumiwa na watu wasio...
By Mwandishi WetuAugust 31, 2023pPAMOJA na jitihada za Rais wa Kenya William Ruto za kudhibiti kiwango cha deni la taifa hilo lakini inaripotiwa madeni kufika rekodi za...
By Mwandishi WetuAugust 30, 2023RAIS wa Kenya, William Ruto ametoa onyo kwa walanguzi wa biashara ya sukari nchini humo ambao wanazuia mchakato wa kutaka kufufuliwa kwa kampuni...
By Mwandishi WetuAugust 29, 2023KESI dhidi ya rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump kutokana na madai ya kujaribu kuingilia matokeo ya uchaguzi wa rais wa 2020...
By Mwandishi WetuAugust 29, 2023RAIA wa China aliyekamatwa kwa kosa la kusambaza sigara zenye chapa ya kichina huko Colombo Sri Lanka amehukumiwa kulipa faini ya Rupia Milioni...
By Mwandishi WetuAugust 28, 2023MPINZANI katika uchaguzi mkuu nchini Zimbabwe, Nelson Chamisa amelalamika kudhulumiwa haki yake ya kushinda kuwa Rais wa Zimbabwe dhidi ya Emmerson Mnangagwa kwenye...
By Mwandishi WetuAugust 28, 2023KIONGOZI wa serikali ya Libya amemsimamisha kazi waziri wake wa mambo ya nje baada ya mwenzake wa Israel kutangaza kuwa, wawili hao walifanya...
By Mwandishi WetuAugust 28, 2023TUME ya taifa ya uchaguzi nchini Zimbabwe imemtangaza Rais Emmerson Mnangagwa kuwa mshindi wa kiti cha Urais katika uchaguzi uliofanyika Jumatano 23 Agosti...
By Mwandishi WetuAugust 28, 2023Rais Mstaafu wa Marekani, Donald Trump jana Alhamisi amejisalimisha kwa Polisi katika Jimbo la Georgia kutokana na mashtaka yanayomkabili akidaiwa kujaribu kubadili matokeo...
By Mwandishi WetuAugust 25, 2023Kiongozi wa upinzani nchini Zimbabwe, Nelson Chamisa, ameituhumu serikali ya nchi hiyo kwa udanganyifu na wizi wa kura katika uchaguzi mkuu uliofanyika jana...
By Mwandishi WetuAugust 24, 2023SEKTA za matibabu na dawa za nchini China zimetajwa kuwa ndio kipaumbele cha kipekee zaidi katika kampeni ya Rais Xi Jinping ya...
By Masalu ErastoAugust 24, 2023WATU 10 wamefariki dunia leo Jumatano baada ya ndege binafsi iliyokuwa ikitokea katika jiji la Moscow kwenda St. Petersburg kuanguka huko nchini Urusi....
By Mwandishi WetuAugust 23, 2023SHIRIKA la kimataifa la hisani la Save the Children limesema takriban watoto 500 wamefariki kutokana na njaa nchini Sudan. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa…(endelea)....
By Mwandishi WetuAugust 23, 2023Raia wa Zimbabwe leo Jumatano wanapiga kura kuwachagua wabunge na rais katika uchaguzi ambao upinzani unalenga kumaliza utawala wa miaka 43 ya chama...
By Mwandishi WetuAugust 23, 2023RAIS wa zamani wa Marekani, Donald Trump amesema kuwa atajisalimisha mwenyewe jimboni Georgia Alhamis wiki hii ili kukabiliana na mashtaka ya udanganyifu na...
By Mwandishi WetuAugust 22, 2023POLISI katika wilaya ya Buikwe nchini Uganda inawashikilia watu wanne katika kituo cha polisi Njeru kwa tuhuma za kujihusisha na mapenzi ya jinsia...
By Mwandishi WetuAugust 22, 2023Shirika la Kutetea Haki za Binadamu (Human Rights Watch) limewatuhumu walinzi wa mpaka wa Saudi Arabia kwa kutekeleza mauaji ya wahamiaji kwenye mpaka...
By Mwandishi WetuAugust 21, 2023IDADI ya raia walio na umri wa zaidi ya miaka 60 nchini China inatarajiwa kuongezeka kwa wastani wa milioni 10 ifakapo mwaka...
By Mwandishi WetuAugust 19, 2023MTU mmoja mkazi wa Kaunti ya Mombasa nchini Kenya amelazwa katika Hospitali Kuu ya Pwani nchini humo baada ya kupata majeraha baada ya...
By Mwandishi WetuAugust 17, 2023MLINZI aliyemuua Mke wa Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Marike De Klerk, Luyanda Mboniswa anatarajiwa kuachiliwa huru mwishoni mwa mwezi huu. Anaripoti...
By Mwandishi WetuAugust 15, 2023MALI imeendelea kuwa na usalama hafifu hali iliyolazimu Ujumbe wa Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Mataifa (MINUSMA) nchini humo, kuondoka leo...
By Mwandishi WetuAugust 14, 2023VIONGOZI wa mapinduzi ya kijeshi nchini Niger wametangaza kuwa na ushahidi wa kumshtaki rais aliyeondolewa madarakani na washirika wake wa ndani na nje...
By Mwandishi WetuAugust 14, 2023WATU 29 wamefariki na wengine 16 wamepotea kutokana na mafuriko yaliyotokea katika jimbo la Hebei nchini China. Imeripotiwa na Global Times …...
By Mwandishi WetuAugust 12, 2023Mataifa ya Afrika ya Magharibi yamesitisha mkutano muhimu wa kijeshi juu ya mzozo wa Niger ikiwa ni siku moja baada ya kusema maazimio...
By Mwandishi WetuAugust 12, 2023WATU zaidi ya 53 wamefariki duniani huku wengine zaidi ya 100 wakiripotiwa kupotea katika kisiwa cha Maui jimbo la Hawaii nchini Marekani kutokana...
By Mwandishi WetuAugust 11, 2023AJALI ya meli iliyotokea karibu na nchi ya Italia kwenye kisiwa cha Lampedusa imesababisha vifo vya wahamiaji 41 huku wachache wakinusurika katika ajali...
By Mwandishi WetuAugust 10, 2023MWANZILISHI wa Chama cha Siasa cha PASTEF nchini Senegal, Ousmane Sonko amelazwa katika Hospitali Kuu katika mji mkuu wa Senegal, Dakar baada ya...
By Mwandishi WetuAugust 8, 2023POLISI wa Jimbo la Massachusetts, limedai chanzo cha kifo cha Tafari Campbell (45), aliyekuwa mpishi wa Rais mstaafu wa Marekani,Baraka Obama, kilikuwa...
By Mwandishi WetuAugust 4, 2023KIJANA mmoja anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 20 amewashambulia watu 14 kwa kuwagonga na gari na kuwachoma kwa kutumia kitu chenye ncha...
By Mwandishi WetuAugust 4, 2023RAIA wa Ukraine takribani 10,749, wamefariki dunia huku 15,599 wakijeruhiwa katika vita inayoendelea nchini humo. Anaripoti Mlelwa Kiwale, TUDARCo kwa msaada wa...
By Mwandishi WetuAugust 3, 2023RAIS wa zamani wa Marekani, Donald Trump ameshtakiwa mara ya tatu ndani ya miezi minne iliyopita, sasa anatuhumiwa kula njama ya kutaka...
By Mwandishi WetuAugust 2, 2023MCHUNGAJI Paul Mackenzie na washtakiwa wenzake 29 wamesababisha vurugu katika Mahakama ya Shanzu wakipinga ombi la upande wa mashtaka kwa mahakama kutaka watuhumiwa...
By Mwandishi WetuAugust 2, 2023RAIS wa Kenya, William Ruto amemtimua Waziri wa Biashara, Moses Kuria na mwenzake wa Usalama wa Ndani Kithuri Kindiki baada ya kuchelewa kwenye...
By Mwandishi WetuAugust 1, 2023Uongozi mpya wa kijeshi nchini Niger umeituhumu Ufaransa kutaka kuingilia kati kijeshi ili kumrejesha madarakani Rais aliyeng’olewa Mohammed Bazoum. Anaripoti Mariam Mudhihiri kwa...
By Mwandishi WetuAugust 1, 2023RAIS mstaafu wa Nigeria, Olusegun Obasanjo ataongoza kamati ya watu 10 katika mazungumzo kati ya Rais wa Kenya, William Ruto na kiongozi wa...
By Mwandishi WetuJuly 30, 2023