Sunday , 28 April 2024
Home Kitengo Habari Kimataifa Waziri mkuu Palestina ajiuzulu
Kimataifa

Waziri mkuu Palestina ajiuzulu

Mohammed Shtayyeh
Spread the love

Waziri Mkuu wa Palestina, Mohammed Shtayyeh ametangaza kujiuzulu pamoja na serikali yake katika hatua ambayo huenda ikafungua njia ya mageuzi yanayoungwa mkono na Marekani. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea).

Uamuzi huo wa kujiuzulu kwa Shtayyeh lazima ukubaliwe Rais Mahmoud Abbas kabla ya kutekelezwa kwake.

Hatua hiyo inaashiria nia ya uongozi huo wa Palestina unaoungwa mkono na nchi za Magharibi kukubali mabadiliko ambayo yanaweza kuleta mageuzi yanayoonekana kuwa muhimu katika kuifufua serikali ya Mamlaka ya Palestina.

Marekani inataka serikali ya Palestina iliyofanyiwa mageuzi kuutawala Ukanda wa Gaza mara baada ya kumalizika kwa

vita vya Israel kwenye Ukanda huo, lakini bado kuna vikwazo vingi katika kutimiza matakwa hayo.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari za SiasaKimataifaTangulizi

Tanzania, Somalia kuibua maeneo mapya ya ushirikiano

Spread the love  RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amesema Tanzania na Somalia...

KimataifaTangulizi

Mkuu wa majeshi Kenya afariki, Ruto atangaza maombolezo

Spread the loveRais wa Kenya, William Ruto ametangaza maombezo ya siku tatu...

Kimataifa

Majaji kuamua hatima ya Zuma leo

Spread the loveMajaji nchini Afrika Kusini leo Jumanne wataamua ikiwa rais wa...

Habari za SiasaKimataifa

Spika Afrika Kusini ajiuzulu kwa tuhuma za rushwa

Spread the loveSpika wa Bunge la Afrika Kusini, Nosiviwe Mapisa-Nqakula ametangaza kujiuzulu...

error: Content is protected !!