Friday , 24 May 2024

Month: July 2019

Habari za Siasa

Maalim Seif arejea nyumbani kwake

MAALIM Seif Sharif Hamad, mshauri mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, aliondoka kwenye Kongamano la Kuadhimisha Miaka 9 ya Maridhiano visiani humo na kurejea nyumbani kwake. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Maalim Seif, Mzee Moyo, wakinukisha Zanzibar

MAKAMU wa Rais Mstaafu wa Zanzibar, Maalim Seif Shariff Hamad, amemtuhumu Dk. Ali Mohamed Shein, rais wa sasa wa Zanzibar, kuwa anavivuruga visiwa...

Habari za Siasa

Alhaj Mwinyi: Tuvumiliane

RAIS Mstaafu wa Awamu ya Pili, Alhaj Ali Hassan Mwinyi amewataka Watanzania kuvumiliana katika tofauti zao za kiimani. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Alhaj Mwinyi...

Habari za Siasa

Tundu Lissu: Nipo ‘fiti’, sasa nakuja

TUNDU Lissu, aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki amesema, yupo ‘fiti’ na kwamba sasa hatumii magongo hivyo hanasababu ya kuendelea kukaa Ulaya. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea)....

Habari Mchanganyiko

Mtoto (3) afikishwa kortin Jerusalem

MOHAMMED Rabi ‘Aliani (3), amefikishwa katika Kituo cha Polisi cha Yerusalem kuhojiwa akituhumiwa kuwapiga mawe wanajeshi wa Israel. Inaripoti mitandao ya kimataifa…(endelea). Ni baada ya...

Habari Mchanganyiko

Polisi: Mhandisi Lwajabe amejinyonga

JESHI la Polisi, Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limeeleza, Mhandisi Leopord Lwajabe, aliyekuwa Mkurugenzi Msaidizi wa Miradi ya Umoja wa Ulaya (EU)...

Habari za Siasa

Mama Samia: Watanzania ni hodari kutengeneza sera, si kuzitumia

MAKAMU wa Rais, Samia Suluhu Hasani amesema, Watanzania ni mahodari kutengeneza sera, sheria na kanuni lakini siyo watekelezaji. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma…(endelea). Ametoa kauli...

Habari za SiasaTangulizi

BREAKING NEWS: Maalim Seif akamatwa

MAALIM Seif Sharif Hamad, mshauri mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, amekamatwa na Jeshi la Polisi visiwani Zanzibar. Anaandika Kelvin Mwaipungu, Zanzibar … (endelea). Kiongozi...

Habari Mchanganyiko

Utata: Uhamiaji wamkana Kabendera

IDARA ya uhamiaji nchini, imekana kuwahi kumuhoji mwandishi wa habari za uchunguzi ndani na nje ya Tanzania, Erick Kabendera kuhusu uraia wake. Anaripoti Mwandihi...

Habari Mchanganyiko

Kabendera kupandishwa kizimbani

MWANDISHI wa Habari, Erick Kabendera kesho tarehe 1 Agosti 2019 anatarajiwa kupandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam....

Habari Mchanganyiko

Mhandisi Lwajabe, mkuu wa miradi wizara ya fedha, akutwa amening’inia mtini

MKURUGENZI Msaidizi wa miradi katika wizara ya fedha na mipango, Mhandisi Leopold Lwajabe (56), ameripotiwa kufariki dunia katika mazingira ya kutatanisha. Anaripoti Mwandishi...

Habari Mchanganyiko

THDRC yamfuata mwandishi Kabendera polisi

MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THDRC), umetuma wawakilishi wake kupeleka maombi ya dhamana kwa mwandishi Erick Kabendera. Anaripoti Regina Mkonde...

Habari Mchanganyiko

Ratiba mazishi ya Mhandisi Lwajabe yatolewa

RATIBA ya mazishi ya aliyekuwa Mkurugenzi Msaidizi wa Miradi ya Umoja wa Ulaya (EU), katika Wizara ya Fedha, Mhandisi Leopord Lwajabe, imelewa na...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mwandishi wa habari, swahiba wa January Makamba, ahojiwa uraia wake 

JESHI la Polisi, Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limekiri kwa mara ya kwanza hadharani kuwa linamshikilia mwandishi wa habari za uchunguzi, Erick...

Habari Mchanganyiko

Mahakama yagoma kuitwa idara

MAHAKAMA ya Tanzania, imepiga marufuku kuitwa idira na kwamba ni mhimili pekee unaojitegemea. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Onyo hilo limetumwa leo tarehe 30...

Afya

Daktari ataja njia zinazoambukiza Homa ya Ini

KUHUSANA mwili wenye majimaji ikiwa ni pamoja na damu kutoka kwa mama (mwenye maambukizi) kwenda kwa mtoto wakati wa njia ya mama kujifungua...

Habari Mchanganyiko

Biashara ya ngono yamwibua Lugola

WATU wanaosafirisha watoto wa kike kutoka mikoa mbalimbali ndani na nje ya nchi kwa ajili ya kufanya biashara ya ngoni, waonywa. Anaripoti Mwandishi Wetu...

Habari Mchanganyiko

Rais Magufuli uso kwa uso na Mbowe msibani

RAIS John Magufuli leo tarehe 30 Julai 2019 ametoa salamu za pole kwa familia ya marehemu Meja Jenerali Mstaafu, Alfred Mbowe, aliyefariki dunia...

Habari Mchanganyiko

Mwandishi Erick Kabendera, azingirwa nyumbani kwake

MWANDISHI wa habari za kiuchunguzi, Erick Kabendera, amevamiwa na “watu wasiojulikana,” nyumbani kwake Mbweni, jijini Dar es Salaam. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea)....

Michezo

Simba waja na ‘Iga Ufe’

KLABU ya Simba imezindua wiki yao rasmi kuelekea kilele cha tamasha lao la ‘Simba Day’ kitakachofanyika tarehe 6, Agosti 2019 katika Uwanja wa...

Habari Mchanganyiko

Mahakama zahamia mfumo wa digitali

MAHAKAMA ya Tanzania imebadili mfumo wake wa uendeshaji, na sasa wamejielekeza kutumia teknolojia zaidi katika utoaji wa haki. Anaripoti Faki Sosi …(endelea). Leo tehere...

Habari za Siasa

Polisi Hai ‘wamkaba’ Mbowe

MIKUTANO ya hadhara yenye lengo la kufanya mrejesho kwa wananchi kuhusu kazi zilizofanywa na mbunge wao, Freeman Mbowe, katika jimbo la Hai mkoani...

Habari Mchanganyiko

Wachafukoga marufuku kuingia mjini-Makonda

WATANZANI wachafu wamepigwa marufuku kuonekana mijini hususani katika kipindi hiki cha Mkutano wa Nchi Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC). Anaripoti Faki Sosi...

Inspiration

7 Steps to Get Professional Facial Results At Home

Mauris mattis auctor cursus. Phasellus tellus tellus, imperdiet ut imperdiet eu, iaculis a sem Donec vehicula luctus nunc in laoreet Aliquam erat volutpat....

Habari Mchanganyiko

Wiki hii kwa ufupi…

Mbatia: Nani mwenye kiburi? MWENYEKITI wa NCCR- Mageuzi, James Francis Mbatia (55), ameonya kuwa hakuna maendeleo yanayoweza kufikiwa nchini, ikiwa umoja wa kitaifa...

Habari za Siasa

Usawa na utu havitoshi, lazima haki iwepo – Butiku

JOSEPH Butiku, Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku amewataka wanasiasa nchini kusimamia haki kwa kuwa utu na usawa pekee havitoshi. Anaripoti...

Habari za Siasa

Zitto, Maalim Seif wapiga kambi Segerea

ZITTO Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo na Maalim Seif Sharif Hamad, mshauri wa chama hicho leo tarehe 28 Julai 2019, wamelivaa...

Habari za Siasa

Mbatia apewa miaka mitano NCCR-Mageuzi

JAMES Mbatia, amechaguliwa tena kuwa Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi huku Angelina John, akichaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti Bara na Ambar Hamis ameukwaa umakamu...

Habari za SiasaTangulizi

Askofu Munga amvaa Musiba, adai anavuruga nchi

ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheli Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, Stephen Munga, ameonya kuwa kitendo cha Cyprian Musiba, kukashifu...

Habari za Siasa

Zitto awataka viongozi wa dini kukemea wanaohatarisha amani

ZITTO Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo ametoa wito kwa viongozi wa dini kukemea vitendo vya baadhi ya viongozi wa siasa, wanaohatarisha...

Habari za Siasa

James Mbatia: Tusipofanya maridhiano, tutaliangamiza taifa

MWENYEKITI wa NCCR- Mageuzi, James Francis Mbatia (55), ameonya kuwa hakuna maendeleo yanayoweza kufikiwa nchini, ikiwa umoja wa kitaifa uliosisiwa na Mwalimu Julius...

Habari za Siasa

Wapinzani wamng’ang’ania Rais Magufuli mezani

CHAMA cha NCCR Mageuzi kimeiomba serikali kuweka meza ya maridhiano na vyama vya upinzani, ili kuzungumzia changamoto zinazoikabili demokrasia hapa nchini. Anaripoti Mwandishi...

Kimataifa

Mahujaji wa DRC wazuiwa kuingia Makka kisa Ebola

NCHI ya Saudi Arabia imegoma kutoa hati ya kusafiria ‘Viza’ kwa mahujaji kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), ikihofia mlipuko wa ugonjwa...

Habari Mchanganyiko

JPM aagiza matumizi ya Bil. 15.3  TAZARA kuchunguzwa

RAIS John Magufuli ameiagiza Wizara ya Fedha na Mipango kuchunguza matumizi ya Sh. 15.3 bilioni zilizotolewa na serikali kwa ajili ya kugharamia matumizi...

Habari za SiasaTangulizi

Musiba sasa ahamia kwa marais wastaafu

CYPRIAN Musiba, mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), aliyejipambanua kuwa mtetezi mkuu wa Rais John Magufuli, amewatuhumu watangulizi wa rais huyo wa sasa,...

Habari Mchanganyiko

Polisi watatu wafariki ajalini Rufiji

ASKARI watatu wameripotiwa kufariki katika ajali ya gari ya Polisi mkoa wa kipolisi Rufiji iliyotokea baada ya gurudumu la nyuma la gari hiyo...

Habari za Siasa

Rais Magufuli azindua Stigler’s Gorge, aisitiza ushiriki wa JKT

RAIS John Magufuli leo tarehe 26 Julai 2019 amezindua ujenzi wa Mradi wa Uzalishaji Umeme katika Mto Rufiji ‘Stigler’s Gorge, unaogharimu kiasi cha...

Habari Mchanganyiko

Wanaharakati wapinga picha za watuhumiwa wa ukahaba kusambazwa

MTANDAO wa Kupinga Ukatili wa Kijinsia (MKUKI) umelaani kitendo cha wanawake wanne wanaotuhumiwa kwa kosa la ukahaba, kudhalilishwa mitandaoni. Anaripoti Hamis Mguta …...

Habari za SiasaTangulizi

Kibatala apinga Sinema ya Mbowe kuoneshwa Mahakamani

UPANDE wa utetezi kwenye kesi namba 112 ya uchochezi inayowakabili viongozi waandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) umepinga kuoneshwa kwa video...

Habari Mchanganyiko

Hekari 2.8 Mil za misitu hatarini kupotea ifikapo 2030

HEKARI za misitu zaidi ya 2.8 Milioni ziko hatarini kupotea ifikapo mwaka 2030, kutokana na ongezeko la matumizi ya nishati mbadala. Anaripoti Regina...

Habari Mchanganyiko

Saba mbaroni wakihusishwa vifo vya watu watano Ukerewe

WATU saba wanashikiliwa na Jeshi la Polisi jijini Mwanza kwa tuhuma za mauaji ya watu watano akiwemo Ibrahim Njalali, aliyekuwa Ofisa Mfawidhi wa...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya Mbowe: Mahakama yakubali ushahidi wa Jamhuri 

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam leo tarehe 25 Julai 2019, imepokea kielelezo cha kamera ya kurekodi video na tepu...

Habari za Siasa

Mteule wa JPM ajitetea: Sikuomba rushwa

TUHUMA zilizoelekezwa kwa mteule wa Rais John Magufuli, Lengai Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai (DC) kumwomba rushwa mfanyabiashara Curthebert Swai, limejibiwa....

Habari Mchanganyiko

Sakata la Mwalimu Mkuu kushushwa cheo lachukua sura mpya

SAKATA la aliyekuwa Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi, Mtoni Kijichi, Evelyne Munisi iliyopo Wilaya ya Temeke, Dar es Salaam limechukua sura mpya,...

Habari Mchanganyiko

Raia wa Hungary kortini kwa dawa za kulevya

AKOS Berger, Raia wa Hungary amepandishwa kizimbani kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu mashtaka ya kuhujumu uchumi na kukutwa dawa za kulevya....

Habari za Siasa

JPM aagiza mabadiliko ya haraka TAZARA

RAIS John Magufuli ameagiza mchakato wa urekebishaji Sheria ya Reli inayounganisha nchi za Tanzania na Zambia (TAZARA), kufanyika haraka ili kuboresha shughuli za...

Kimataifa

Rais abaka, atesa, ashinikiza mauwaji

MWANAJESHI wa zamani wa serikali ya Yahya Jammeh, iliyotawala taifa la Gambia kwa miaka 22, Luteni Malick Jatta, amekiri kufanya mauaji ya wahamiaji...

Habari Mchanganyiko

Ugonjwa wa Lissu: Mahakama yaahirisha kesi

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, imeahirisha kesi inayowakabili wahariri wa Gazeti la Mawio, kutokana na kuumwa kwa mshitakiwa wa...

Habari za SiasaTangulizi

JPM aumiza kichwa

RAIS John Magufuli, ameibua maswali yanayomuumiza kichwa kuhusu tukio la kukamatwa kwa dhahabu ya Tanzania nchini Kenya, bila watuhumiwa kukamatwa. Anaripoti Regina Mkonde...

Habari Mchanganyiko

‘Maganda ya korosho yana thamani  kubwa kuliko korosho yenyewe’

GEOFREY Mwambe, Mkurugenzi wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) amesema, zao la korosho lina thamani kubwa lakini bei ya zinazoliwa ni asilimia 5...

error: Content is protected !!