November 27, 2022

Uhuru hauna Mipaka

BREAKING NEWS: Maalim Seif akamatwa

Magari ya Polisi yaliyofika kumchukua Maalim Seif Sharrif Hamad (picha ndogo)

Spread the love

MAALIM Seif Sharif Hamad, mshauri mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, amekamatwa na Jeshi la Polisi visiwani Zanzibar. Anaandika Kelvin Mwaipungu, Zanzibar … (endelea).

Kiongozi huyo ambaye aliwahi kuwa Makamu wa Pili wa Rais katika Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), amekamatwa leo tarehe 31 Julai 2019 akiwa kwenye Kongamano la Kuadhimisha Miaka 9 ya Maridhiano visiwani humo.

Kongamano hilo lilisimamishwa saa 6 mchana kwa agizo la Jeshi la Polisi visiwani humo baada ya mada iliyokuwa ikiwasilishwa na Maalim Seif.

Habari zaidi zitakujia….

error: Content is protected !!