Sunday , 19 May 2024

Month: November 2020

Habari za Siasa

Majaliwa alivyomaliza mgogoro wa ardhi Kilosa

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amemaliza mgogoro wa ardhi katika shamba la Chanzuru lenye ukubwa wa ekari 1,598 lililopo wilayani Kilosa, Mkoa...

Habari za SiasaTangulizi

Spika Ndugai amvaa Mbowe, awabeba Mdee na wenzake

SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema, Halima Mdee na wenzake 18 waliofukuzwa uanachama Chadema “wataendelea kuwa wabunge halali labda wao wenyewe...

Habari za Siasa

Spika Ndugai awaapisha Polepole, Riziki

SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amewaapisha Humphrey Polepole na Riziki Lulinda kuwa wabunge wa Bunge hilo. Anaripoti...

Kimataifa

Mtanzania gaidi aliyejiua, alikuwa mgojwa wa akili

RASHID Charles Mberesero, Mtanzania aliyehukumiwa kifungo cha maisha kutokana na kuhusika katika shambulio la kigaidi la Garisa, Kenya mwaka 2015, amejinyonga na kufariki...

Habari Mchanganyiko

Simanzi Simiyu

WATU watatu wavuvi katika Ziwa Victoria wilayani Busega, Simiyu wamefariki dunia baada ya mtumbwi wao kupasuka. Anaripoti Mwandishi Wetu, Simiyu … (endelea). Taarifa...

Habari za Siasa

Matiko, Bulaya waitwa CCM

MLANGO wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), umefunguliwa kwa Ester Matiko, Ester Bulaya, Halima Mdee na wengine waliofukuzwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo...

Habari za SiasaTangulizi

Mdee ‘amliza’ Lissu

TUNDU Lissu, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadeama), ameeleza kuumizwa na uamuzi wa Halima Mdee, aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la...

Michezo

Simba yaipiga Plateau 1-0, yaisubiri Dar

TIMU ya Simba ya Dar es Salaam nchini Tanzania, imeanza vyema michuano ya Klabu Bingwa Afrika kwa ushindi wa 1-0 dhidi ya Plateau...

Habari za Siasa

Magufuli ateua wabunge 2

RAIS Tanzania, John Pombe Magufuli leo tarehe 29 Novemba, 2020 amefanya uteuzi wa wabunge wawili wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania....

Habari za Siasa

Bawacha wawananga Mdee na wenzake

BARAZA la Wanawake la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha) limesema, kuondoka kwa mwenyekiti wake, Halima Mdee na wenzake 18, hawatarudisha nyuma jitihada...

Habari za Siasa

Mdee, wenzake 18 kufunguka

SIKU moja baada ya Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) nchini Tanzania, kuwafukuza uanachama, Halima Mdee na wenzake 18 kwa...

Habari za SiasaTangulizi

Mdee na wenzake wafukuzwa Chadema

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) nchini Tanzania, kimetangaza kuwafukuzwa uanachama wanachama Halima Mdee na wenzake 18 kwa tuhuma za usaliti. Anaripoti Hamis...

Habari za Siasa

NEC yazungumzia uteuzi wa Mdee na wenzake

TUME ya taifa ya uchaguzi (NEC) imesema, majina ya wabunge wa viti maalum, kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), iliwasilishwa NEC na...

Habari za SiasaTangulizi

Mdee na wenzake waingia mitini, Mbowe aongoza kikao

KAMATI Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), imeanza kikao chake cha dharura, jijini Dar es Salaam, kujadili tuhuma za usaliti zinazowakabili...

Michezo

Fainali CAF, Al Ahly, Zamalek kumenyana leo

LEO tarehe 27 Novemba, 2020 ndio siku inayopigwa fainali ya klabu bingwa Afrika inayozikutanisha miamba ya soka nchini Misri, klabu ya Al Ahly...

Habari za SiasaTangulizi

Hatma Mdee na wenzake leo, wanachama wajitokea makao makuu

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) leo Ijumaa tarehe 27 Novemba 2020, kinafanya kikao maalum cha kamati kuu kuwajadili wanachama wake 19 wanaodaiwa...

Habari za Siasa

Askofu Bagonza awazungumzia Mdee na wenzake, aishauri Chadema 

SAKATA la wanachama 19 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kwenda kinyume na msimamo wa chama hicho kwa kukubali uteuzi wa wabunge...

Habari Mchanganyiko

Halima Mdee, wenzake hawachomoki

HALIMA James Mdee, mwenyekiti wa Baraza la Wanawake la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha), “amenasa kwenye ndoana.” Hawezi tena kuchomoka. Anaripoti Mwandishi Maalum…(endelea)....

Michezo

Dube kupelekwa Afrika Kusini kwa matibabu

MSHAMBULIAJI wa Azam FC na timu ya Taifa ya Zimbabwe, Price Dube ataondoka nchini Jumapili ya tarehe 29 Novemba, 2020, kuelekea Afrika Kusini...

Habari za SiasaTangulizi

Bavicha yataka Mdee, wenzake wafukuzwe 

BARAZA la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bavicha), limeishauri Kamati Kuu ya Chadema kuwafukuza uanachama, wanachama 19 waliokwenda kinyume na msimamo...

Michezo

Bingwa wa bao la mkono afariki Dunia

DIEGO Maradona mchezaji wa zamani na kocha wa Timu ya Taif ya Argentina amefariki Dunia siku chache baada ya kufanyiwa upasuaji wa kichwa...

Michezo

Yanga yaipiga Azam FC, yaongoza Ligi

BAADA ya kufanikiwa kuondoka na pointi tatu dhidi ya Azam FC kwa bao 1-0, Yanga sasa inapanda mpaka nafasi ya kwanza, baada ya...

Habari za Siasa

Maswali 6 tata kuapishwa Mdee na wenzake

HATUA ya wanachama 19 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), nchini Tanzania, kuapishwa kuwa wabunge wa Viti Maalum katika Bunge la Jamhuri...

Habari za Siasa

Viti Maalum Chadema: NEC yabebeshwa mzigo

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania, kueleza Watanzania ilipopata majina 19 ya wanachama walioteuliwa...

Michezo

Liverpool waongoza kinyang’anyiro Tuzo za FIFA

KLABU ya Liverpool inayoshriki Ligi Kuu England imetoa wachezaji wanne kati ya 11 waliopo kwenye kinyang’anyiro cha tuzo ya mchezaji bora wa Dunia...

Michezo

Zidane, Klopp, Flick vita tuzo ya kocha bora wa dunia

MAKOCHA Zinedine Zidane wa Real Madrid, Jurgen Klopp wa Liverpool na Hans Flick anaekinoa kikosi cha Bayern Munich wameteuliwa kati ya makocha watano...

Habari za Siasa

Chadema yawapa rungu Watanzania kuwamaliza Mdee na wenzake

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimefungua milango kwa wanachama wake na Watanzania kwa ujumla kupendekeza adhabu kwa wanachama wake 19 waliokiuka maagizo...

Habari za SiasaTangulizi

Siku za Mdee na wenzake Chadema zahesabika, waitwa kujieleza

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimewaita wabunge wake 19 wa viti maalumu kujieleza kwa nini walikiuka maagizo ya chama hicho kutokubali uteuzi...

Michezo

Mo Dewji akubali yaishe kwa Dk. Kigwangalla

MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ya timu ya Simba, Mohamed Dewji ‘Mo’ amemwomba radhi Mbunge wa Nzega Vijijini (CCM), Dk. Hamis Kigwangalla kwa...

Habari Mchanganyiko

RC Mghwira: Tutengeneze condom zetu

MKUU wa Mkoa wa Kilimanjaro (RC), Anna Mghwira ameishauri Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS), kuangalia uwezekano wa kuweka mikakati ya kutengeneza kondom...

Habari za Siasa

Chadema yawakana Mdee na wenzake

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) nchini Tanzania, kimekana kutambua wabunge wake 19 wa viti maalum walioapishwa jijini Dodoma. Anaripoti Kelvin Mwaipungu…(endelea). Wabunge...

Habari za Siasa

Walichosema Mdee, Matiko baada ya kuapishwa

HALIMA James Mdee, Mbunge wa Viti Maalum kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amesema, chama hicho kime wapa dhamana na watakitumikia kwa...

Habari za SiasaTangulizi

Wabunge 19 Chadema  waapishwa Dodoma

SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai  amewapisha wabunge 19 wa viti maalum          kupitia  Chama cha Demokraisa (Chadema). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma …...

Michezo

Sakata la kufungiwa Rais CAF, lawaibua TFF

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetoa ufafanuzi juu ya kiasi cha dola za kimarekani 20, 000 (zaidi ya Tsh 43 milioni),...

Habari za Siasa

Museveni achekwa na kamanda wake

JENERALI Mugisha Muntu, Kamanda wa zamani wa Jeshi la Uganda na aliyeshiriki kumweka madarakani Rais Yoweri Museveni mwaka 1986, sasa anamcheka. Unaripoti mtandao...

Habari Mchanganyiko

Magufuli ampa kazi Dk. Shein, Mwakyembe

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa viongozi watatu. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Taarifa ya Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu ya...

Habari Mchanganyiko

Rais Trump akubali kung’oka

DONALD Trump, Rais wa Marekani amesalimu amri mbele ya Joe Biden na sasa anajiandaa kung’oka madarakani. Inaripoti mitandao ya kimataifa…(endelea). Ameelekeza taasisi husika...

Michezo

Kocha Yanga atimkia Mamelodi Sundowns

KLABU ya Mamelodi Sundowns inayoshiriki Ligi Kuu Afrika Kusini inatarajia kumtambulisha Riedoh Berdien aliyekuwa kocha wa viungo wa Yanga kujiunga na timu hiyo...

Habari za Siasa

DPP awafutia mashtaka viongozi Bavicha waliosota rumande siku 170

KATIBU Mkuu wa Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bavicha), Nusrat Hanje, Mratibu wa Uhamasishaji wa baraza hilo, Twaha Mwaipaya...

Habari Mchanganyiko

TMA yatangaza mvua kubwa Dar

MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetangaza kunyesha mvua kubwa kesho Jumanne tarehe 24 Novemba 2020 baadhi ya maeneo ya mikoa ya...

Habari Mchanganyiko

WiLDAF: Madawati ya jinsia yaanzishwe vyuoni kukali ngono

VYUO Vikuu nchini Tanzania, vimeshauri kuanzisha madawati ya jinsia ili kutokomeza vitendo hivyo vinavyojitokeza na kuathiri wanafunzi wawapo masomoni. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...

Habari za Siasa

Zitto amweka njia panda Dk. Mwinyi

ZITTO Kabwe, Kiongozi wa Chama cha  ACT-Wazalendo amesema, hadi sasa chama hicho hakijafanya uamuzi kuhusu ushiriki wake katika uundwaji wa Serikali ya Umoja...

Michezo

Tulia mgeni rasmi fainali Miss Tanzania

NAIBU Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Mbeya Mjini, Tulia Akson atakuwa mgeni rasmi kwenye fainali ya...

Michezo

Undertaker atandika daluga

BAADA ya miaka 30 ya ubabe na purukushani katika uwanja wa mielekeka, Mark Calaway maarufu kwa jina la Undertaker ameamua kustaafu mchezo huo....

Habari Mchanganyiko

Lissu atoa masharti matatu kurejea, amjibu IGP Sirro

TUNDU Lissu, aliyekuwa mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ametoa masharti matatu ili arejee nchini. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam…(endelea)....

Habari za Siasa

Dk. Tulia akwepa ofisi ya Sugu

MBUNGE wa Mbeya Mjini, Dk. Ackson Tulia ameamua kutumia sehemu ya jengo la Mkuu wa Wilaya ya Mbeya kufanya majukumu yake ya kibunge...

Habari Mchanganyiko

Dawa ya REGEN- COV2 iliyomtibu Trump yapitishwa

DAWA ya virusi vya corona aina ya REGEN- COV2, iliyotumika kumtibu Rais wa Marekani, Donald Trump imeidhinishwa na Mdhibiti wa Dawa Marekani kwa...

Michezo

FIFA ‘yamtupa jela’ Rais wa CAF miaka mitano

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Duniani (Fifa) limemfungia kujihusisha na shughuli za moita wa miguu kwa miaka mtano, Rais wa Shirikisho la Mpira...

Habari Mchanganyiko

Sakata la saruji, Majaliwa atoa maagizo kwa Ma RC ‘wakamateni’

WAZURI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewaagiza wakuu wa mikoa (RC) yote kufanya ukaguzi kwenye viwanda vya kuzalisha saruji, mawakala, wauzaji wa kati...

Michezo

Simba yaipiga Coastal 7-0, Azam yapigwa kimoja

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL), Simba imetoa kipigo cha ‘mbwa koko’ cha 7-0 dhidi ya Coastal Union. Anaripoti...

error: Content is protected !!