ALIYEKUWA mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika tarehe 28 Oktoba 2020, amemshauri...
By Mwandishi WetuNovember 14, 2020TUME ya Taifa ya Uchaguzi nchini Tanzania (NEC), imeitisha uchaguzi mdogo katika kata tatu zilizoshindwa kushiriki uchaguzi mkuu uliofanyika tarehe 28 Oktoba 2020,...
By Mwandishi WetuNovember 14, 2020RAIS wa Tanzania, John Magufuli amesema, Serikali anayoiongoza itaendelea kuwaamini wanawake katika nafasi mbalimbali za uongozi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Rais...
By Mwandishi WetuNovember 13, 2020SHIRIKISHO la soka Barani Ulaya UEFA imeendesha droo kwa timu 24 ili kupata makundi kwa ajili ya michuano ya kombe la EURO ambayo...
By Kelvin MwaipunguNovember 13, 2020RAIS wa Tanzania, John Magufuli amesema, utumbuaji kwa watumishi wa umma wazembe, wala rushwa, wezi na wabadhirifu, utaendelea katika miaka mitano ijayo. Anaripoti Kelvin...
By Kelvin MwaipunguNovember 13, 2020RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Magufuli amesema katika kipindi cha miaka mitano ijayo serikali itajitahidi kutenga kiasi cha fedha kwa...
By Kelvin MwaipunguNovember 13, 2020RAIS wa Tanzania, John Magufuli amesema, amefungua milango kwa sekta binafsi kuwekeza nchini huku akiahidi kuwashughulikia watendaji watakaokwamisha wawekezaji hao. Anaripoti Kelvin Mwaipungu, Dar es...
By Kelvin MwaipunguNovember 13, 2020RAIS wa Tanzania, John Magufuli amesema, mpaka kufikia mwaka 2025, atahakikisha amenunua ndege tano ikiwemo ya mizigo, meli nane za uvuvi pamoja na...
By Mwandishi WetuNovember 13, 2020JOHN Magufuli, Rais wa Tanzania amesema, vitambulisho vya wajasirimali ‘machinga’ vitaboreshwa zaidi ili kuwawezesha kupata mikopo benki. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea)....
By Mwandishi WetuNovember 13, 2020RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amesema, lengo la demokrasia sio kusababisha vurugu na kwamba, hakuna demokrasia isiyo na mipaka. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea)....
By Mwandishi WetuNovember 13, 2020RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli, ameanza kuunda baraza lake la mawaziri kwa kuteua mawaziri mawaziri. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Walioteuliwa...
By Mwandishi WetuNovember 13, 2020CHAMA cha NCCR-Mageuzi nchini Tanzania kimesema, hakiko tayari kupokea nafasi za ubunge wa viti maalumu kwani kitakuwa kinachochea machafuko kwenye jamii. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuNovember 12, 2020CHAMA cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA), kimelaani matukio ya ukatili wa kijinsia yanayoendelea nchini huku kikiitaka Serikali na wananchi kutafuta mwarobaini wa changamoto...
By Mwandishi WetuNovember 12, 2020KLABU ya Soka ya Yanga imesikitishwa na kushtushwa na tukio la kushikiliwa na kuhojiwa kwa mshauli wao mkuu, Senzo Masingiza jana kwenye kituo...
By Kelvin MwaipunguNovember 12, 2020SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai ‘amekishangaa’ Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kuendelea na mjadala wa ama wapeleke majina ya wabunge...
By Mwandishi WetuNovember 12, 2020MAHAKAMA Kuu ya Zanzibar imewaamuru Kamishna wa Polisi Zanzibar na Naibu Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai Zanzibar (DCI), kufika mahakamani kwa ajili ya...
By Mwandishi WetuNovember 12, 2020NAIBU Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Ackson amesema, atawapa kipaumbele na kuwalinda wabunge vijana waliokuwepo na waliongia...
By Mwandishi WetuNovember 12, 2020BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, limemthibitisha Mbunge wa Ruangwa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa nchi...
By Mwandishi WetuNovember 12, 2020RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli amemteua, Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa nchi hiyo kwa kipindi cha miaka...
By Mwandishi WetuNovember 12, 2020TUNDU Lissu, aliyekuwa mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ameendelea kupinga chama hicho kupeleka wabunge wa viti maalum...
By Mwandishi WetuNovember 12, 2020KIONGOZI wa upinzani nchini Tanzania, Tundu Antipas Lissu, amewasili salama jijini Brussel, nchini Ubelgiji leo asubuhi ya Jumatano tarehe 11 Novemba 202. Anaripoti...
By Saed KubeneaNovember 11, 2020RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema, yuko tayari kushirikiana na vyama vingine vya siasa, kuendesha Serikali kama ambavyo Katiba ya Zanzibar...
By Mwandishi WetuNovember 11, 2020RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema, atawachukulia hatua kali watumishi watakaoshindwa kutekeleza majukumu yao kwa kigezo cha kusubiri maagizo kutoka kwa...
By Mwandishi WetuNovember 11, 2020MWAKILISHI Mteule wa Pandani kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Abubakar Khamis Bakar (69) amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Jumatano tarehe 11 Novemba 2020,...
By Mwandishi WetuNovember 11, 2020RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Magufuli atalizindua Bunge la 12 Ijumaa tarehe 13 Novemba 2020 sa 3:00 asubuhi jijini Dodoma....
By Mwandishi WetuNovember 11, 2020TUNDU Lissu, aliyekuwa mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amesema, “sikimbii vita, nakwenda kufungua uwanja mwingine wa mapambano...
By Hamisi MgutaNovember 11, 2020TUNDU Antipas Lissu, aliyekuwa mgombea urais wa Tanzania, katika uchaguzi mkuu uliyopita, kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ameondoka nchini kwenda Ubeljiji....
By Hamisi MgutaNovember 10, 2020CHAMA cha Wananchi (CUF), kimebariki wabunge wake wawili waliotangazwa kuwa washindi katika katika uchaguzi mkuu uliyopita nchini Tanzania, kuhudhuria vikao vya Bunge. Anaripoti...
By Mwandishi WetuNovember 10, 2020BONDIA mtanzania Hassani Mwakinyo anatarajia kushuka ulingoni 13 Novemba, 2020 kutetea mianda wake wa chama cha WBF dhidi ya bondia Raia wa Argentina,...
By Mwandishi WetuNovember 10, 2020SHIRIKISHO la mpira wa miguu barani Afrika (CAF) limeruhusu mashabiki kuingia uwanjani kwenye mchezo kati ya timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars)...
By Kelvin MwaipunguNovember 10, 2020SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai, amewataka wabunge wa chama tawala- Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutokukaa kimya bungeni na watakaofanya hivyo “umeliwa...
By Mwandishi WetuNovember 10, 2020JOB Ndugai, amechaguliwa kuwa Spika wa Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea) Uchaguzi wa...
By Mwandishi WetuNovember 10, 2020JOB Ndugai, mgombea Uspika wa Bunge la 12 la Tanzania amesema, ofisi ya Bunge itatoka haki sawa kwa wabunge wote ikiwemo wa upinzani...
By Mwandishi WetuNovember 10, 2020MABINGWA wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba itaivaa klabu ya Plateau United kutoka nchini Nigeria kwenye michezo ya awali ya michuano ya klabu...
By Kelvin MwaipunguNovember 9, 2020MAMLAKA nchini Kenya, zimemwachia huru, Godbless Lema, aliyekuwa mbunge wa Arusha Mjini kupitia Chadema. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Lema...
By Mwandishi WetuNovember 9, 2020CHAMA cha siasa cha ACT- Wazalendo, nchini Tanzania, kimengua shauri Mahakama Kuu ya Zanzibar, kutaka mahakama hiyo, kutoa amri ya kufikishwa mahakamani au...
By Mwandishi WetuNovember 9, 2020MKUU wa Wilaya ya Longido (DC), Mkoa wa Arusha, Frank Mwaisumbe, ametoa sababu zilizomfanya Lazaro Nyalandu, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
By Faki SosiNovember 9, 2020WAKATI dunia ikidhani imepumua baada ya Donald Trump, Rais wa Marekani (2016-2020) kuangushwa, China na Korea Kaskazini zinaweza ‘kukasirishwa’ na uamuzi wa raia...
By Mwandishi WetuNovember 9, 2020MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC), Aboubakar Kunenge amewataka wafanyabishara kuchangamkia fursa ya baishara katika Kituo cha Kimataifa cha Mabasi Mbezi...
By Mwandishi WetuNovember 9, 2020SHIRIKA la kimataifa la kupigania haki za binadamu (Amnest Internatioanal), limeitaka Mamlaka ya Kenya kutofikiria kumrejesha kwa nguvu nchini Godbless Lema, aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini kupitia...
By Mwandishi WetuNovember 9, 2020JOHN Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amesema, baraza lake la mawaziri atakaloliunda, linatarajiwa kuwa na mabadiliko “wapo watakaorudi na wapo...
By Mwandishi WetuNovember 9, 2020JOHN Magufuli, Rais wa Tanzania, amempa pole Mwanasheria Mkuu wa Serikali nchini humo (AG), Profesa Adelardus Kilangi kwa majukumu mazito yaliyo mbele yake....
By Mwandishi WetuNovember 9, 2020SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), leo 9 Novemba 2020, linatarajia kupanga droo ya michezo ya awali ya michuano ya Klabu Bingwa...
By Kelvin MwaipunguNovember 9, 2020RAIS wa Tanzania, John Magufuli, amewatoa wasiwasi wateule wake wa nafasi mbalimbali za uongozi kwamba hana mpango wa kubadilisha “nilioanza nao nitamaliza nao.”...
By Regina MkondeNovember 9, 2020ALIYEKUWA mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), nchini Tanzania, Godbless Lema amekimbilia nchini Kenya, ili kuomba hifadhi ya kisiasa, katika ubalozi wa Marekani, jijini...
By Mwandishi WetuNovember 8, 2020CHAMA Cha Wananchi (CUF) nchini Tanzania, kimemvua madaraka Naibu Katibu Mkuu wake Zanzibar, Ali Makame Issa kwa kosa la kwenda kinyume na msimamo...
By Mwandishi WetuNovember 8, 2020RAIS na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amemteua Hemed Suleiman Abdallah kuwa Makamu wa Pili wa Rais wa...
By Mwandishi WetuNovember 8, 2020KIONGOZI wa chama cha upinzani nchini Tanzania, ACT-Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe amesema, wananchi wasitegemee kuwaona wabunge wa chama hicho wakienda bungeni. Anaripoti Hamis...
By Hamisi MgutaNovember 8, 2020WAKATI Bunge la 12 likianza shughuli zake Jumanne tarehe 10 Novemba 2020 jijini Dodoma, mambo matano yanatarajiwa kujili ndani ya Bunge hilo ambalo...
By Mwandishi WetuNovember 8, 2020CHAMA cha Demokrasia na Mendeleo (Chadema) nchini Tanzania, kiko njiapanda juu ya kuamua kupendekeza majina ya wabunge wa viti maalum kwa Tume ya...
By Mwandishi WetuNovember 8, 2020