June 21, 2021

Uhuru hauna Mipaka

Lema aachiwa Kenya

Spread the love

MAMLAKA nchini Kenya, zimemwachia huru, Godbless Lema, aliyekuwa mbunge wa Arusha Mjini kupitia Chadema. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Lema ameachiwa leo Jumatatu tarehe 9 Novemba 2020 baada ya kushikiliwa jana akituhumiwa kuingia nchini humo kinyume cha taratibu.

Lema amekimbilia nchini Kenya, ili kuomba hifadhi ya kisiasa, katika ubalozi wa Marekani, jijini Nairobi.

            Soma zaidi:-

Baada ya kuachiwa, Lema anaendelea na taratibu za kutafuta hifadhi ya kisiasa ubalozi huo wa Marekani.

error: Content is protected !!