Sunday , 19 May 2024
Home Habari Mchanganyiko Dk. Biteko: Serikali itaendelea kushirikiana na Red Cross
Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Dk. Biteko: Serikali itaendelea kushirikiana na Red Cross

Spread the love

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amesema Serikali itaendelea kutoa ushirikiano kwa Chama cha Msalaba Mwekundu Tanzania. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea).

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko akiwapokea vijana 10 walioendesha baiskeli kutoka Moshi, Kilimanjaro hadi Dodoma ikiwa ni moja ya njia za kukitangaza Chama cha Msalaba Mwekundu Tanzania. Mapokezi hayo yamefanyika katika Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete (JKCC).

Dk. Biteko ametoa kauli hiyo leo Jumamosi jijini Dodoma katika Maadhimisho ya Miaka 62 ya Chama hicho alipomwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan.

Viongozi, wadau na wananchi wakiwa katika hafla ya maadhimisho ya Miaka 62 ya Chama Cha Msalaba Mwekundi Tanzania iliyofanyika leo tarehe 11 Mei 2024 katika ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma.

Mgeni rasmi wa maadhimisho hayo alikuwa Dk. Biteko. Aidha, maadhimisho hayo yamehudhuriwa na washiriki kutoka nchi za Uganda, Spain, Botswana, Kenya, Ubeligiji na Qatar.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

CCM yamteua Pele kuwa mgombea ubunge Kwahani

Spread the loveKamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Canada yatenga bilioni 38 kutekeleza mradi ya kuinua vijana TZ

Spread the loveSERIKALI ya Canada kupitia ‘CARE International Canada’ imetenga takribani Sh...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Ujenzi kituo cha kupoza umeme Chalinze wafikia asilimia 93.7

Spread the loveKamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeeleza...

Habari Mchanganyiko

Balile ateuliwa rais wa wahariri Afrika Mashariki

Spread the loveJumuiya ya Wahariri wa Afrika Mashariki (EAES), imemchagua Mwenyekiti wa...

error: Content is protected !!