BARAZA la Mitihani la Tanzania (Necta), limetangaza matokeo ya kumaliza elimu ya msingi uliofanyika tarehe 7 na 8 Oktoba 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuNovember 21, 2020BARAZA la Mitihani la Tanzania (Necta), limetangaza watahiniwa kumi bora Kitaifa katika matokeo ya kumaliza elimu ya msingi uliofanyika tarehe 7 na 8...
By Mwandishi WetuNovember 21, 2020WAZIRI Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Joseph Warioba, amekosoa utendaji wa vyombo vya habari nchini humo akisema vinasuasua kutoa habari zinazohusu masuala ya wananchi...
By Mwandishi WetuNovember 21, 2020BARAZA la Mitihani la Taifa (Necta) Jumamosi tarehe 21 Novemba 2020, limetangaza matokeo ya mtihani wa darasa la saba 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuNovember 21, 2020ALIYEKUWA Waziri wa Maliasili na Utalii kwenye Serikali ya awamu ya Tano, Dk. Hamis Kigwangallah ameomba kumaliza tofauti zake na mfanyabiashara maarufu nchini...
By Kelvin MwaipunguNovember 21, 2020JESHI la Polisi Tanzania na Msumbiji, yametangaza operesheni ya kusaka kundi linalofanya uhalifu katika mpaka wa mataifa hayo mawili. Anaripoti Mwandishi Wetu, Mtwara...
By Mwandishi WetuNovember 21, 2020KLABU ya soka ya Simba imetolea ufafanuzi taarifa iliyotolewa na Tume ya Ushindani ya Kibiashara (FCC) na kueleza mwekezaji wao, Mohammed Dewji (MO)...
By Mwandishi WetuNovember 20, 2020WAJASIRIAMALI 500 Mkoa wa Geita ili wawe na fursa bora ya kufanya biashara na taasisi mbalimbali nchini Tanzania. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Mafunzo hayo...
By Mwandishi WetuNovember 20, 2020MKUU wa Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa, Jamhuri William ametoa wito kwa wadau waliopo mkoani humo na halmashauri ya wilaya ya Mufindi kuendelea...
By Mwandishi WetuNovember 20, 2020MAKAMU Mwenyekiti wa klabu ya Yanga, Frederick Mwakalebela ameibuka tena na sakata la mchezaji Bernard Morrison katika kesi walizowasilisha mbele ya Shirikisho la...
By Kelvin MwaipunguNovember 20, 2020WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, ametoa siku 15 kwa uongozi ya Wilaya ya Chamwino, Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) na Suma JKT...
By Mwandishi WetuNovember 20, 2020SERIKALI ya Tanzania imesema, haijawekewa vikwazo na kunyimwa misaada na Jumuiya ya Umoja wa Ulaya (EU), kama inavyodaiwa na baadhi ya wanasiasa na...
By Mwandishi WetuNovember 20, 2020TUNDU Lissu, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Zitto Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo wamepanga kuieleza dunia hali...
By Mwandishi WetuNovember 20, 2020HALMASHAURI Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC-CCM), imefanya uteuzi wa wagombea nafasi za Meya wa Jiji, wenyeviti wa Halmashauri za Wilaya na Miji....
By Regina MkondeNovember 20, 2020MKUU wa Jeshi la Polisi nchini Tanzania, IGP Simon Sirro anatarajiwa kufanya mazungumzo na Kamanda Mkuu wa Jeshi la Polisi Msumbiji, Bernadino Rafael...
By Regina MkondeNovember 20, 2020MAALIM Seif Shariff Hamad, aliyekuwa mgombea urais visiwani Zanzibar kupitia Chama cha ACT – Wazalendo, amesema ‘chama hakijaamua’ kuingia kwenye Serikali ya Umoja...
By Mwandishi WetuNovember 20, 2020TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) nchini Tanzania, imewafikisha Mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam watuhumiwa watatu kati ya wanne...
By Mwandishi WetuNovember 19, 2020TUME ya Taifa ya Ushindani (FCC) imeleza kuwa haihusiki na kucheleshwa kwa mfumo wa mabadiliko wa uendeshaji wa klabu ya Simba bali kuchelewa...
By Kelvin MwaipunguNovember 19, 2020TAKWIMU za Jeshi la Polisi na Chama cha ACT – Wazalendo kuhusu mauaji yaliyotokea Zanzibar wakati wa uchaguzi mkuu wa tarehe 28 Oktoba...
By Mwandishi WetuNovember 19, 2020MKUU wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro ameeleza kuwa, kuna watu walipanga wakati wa Uchaguzi Mkuu, nchi isitawalike. Anaripoti Regina Mkonde,...
By Regina MkondeNovember 19, 2020RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema, anasuburi uamuzi wa Maalim Seif Sharif Hamad na chama chake cha ACT – Wazalendo katika...
By Mwandishi WetuNovember 19, 2020DAKTARI Hussein Ali Mwinyi, Rais wa Zanzibar ametangaza Baraza la Mawaziri huku wizara mbili na nafasi ya manaibu waziri akiziweka kiporo. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuNovember 19, 2020RAIS wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Dk. Hussein Alli Mwinyi amesema kuwa kuwa yupo tayari kukaa na wadau wa michezo visiwani humo...
By Mwandishi WetuNovember 19, 2020INSPEKTA Jenerali wa Polisi (IGP) nchini Tanzania, Simon Sirro amewataka wanasiasa waliokimbia nje ya nchi kwa madai ya kutishiwa usalama wa maisha yao...
By Mwandishi WetuNovember 19, 2020WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amezindua kazi ya uchepushaji maji ya mto Rufiji kwenda handaki ili kupisha ujenzi wa tuta kuu la...
By Hamisi MgutaNovember 18, 2020RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Afya wa Wizara ya Afya, Dk. Jamala Adam Taib na...
By Mwandishi WetuNovember 18, 2020MAAMBUKIZO ya virusi vya corona (COVID-19) duniani yamefikia milioni 56.1, waliopona milioni 39.1 na waliofariki kutokana na ugonjwa huo wakiwa milioni 1.3. Anaripoti...
By Mwandishi WetuNovember 18, 2020WAHAMIAJI haramu 36 raia wa Ethiopia na Somalia walioingia nchini Tanzania kinyume na taratibu, wamekamatwa. Anaripoti Mwandishi Wetu Wahamiaji hoa wamekamatwa na vyombo...
By Mwandishi WetuNovember 18, 2020RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi kesho Alhamisi tarehe 19 Novemba 2020, ataweka wazi sura ya baraza lake jipya la mawaziri. Anaripoti...
By Mwandishi WetuNovember 18, 2020JUKWAA la wakufunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (Udasa) nchini Tanzania, limekana madai kuwa limefunga shughuli zake. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...
By Mwandishi WetuNovember 18, 2020KAMATI ya Utendaji ya klabu ya Yanga imemsimamisha kazi Kaimu Katibu Kkuu wa klabu hiyo, Wakili Simon Patrick ambaye pia alikuwa mkurugenzi wa...
By Mwandishi WetuNovember 18, 2020KADA maarufu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Visiwani Zanzibar, Zawadi Salehe Makame, amefariki dunia. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar … (endelea). Kwa mujibu wa...
By Mwandishi WetuNovember 18, 2020ZAIDI ya wanachama 1,100 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kata ya Mwakizega, Uvinza mkoani Kigoma, wamerejesha kadi za chama hicho wakidai, mgombea wa...
By Mwandishi WetuNovember 18, 2020TIMU ya Taifa wa Tunisia imejiweka pazuri kueleka katika Fainali za Mataifa Afrika (AFCON) baada ya kutoka sare katika mchezo wake wa ugenini...
By Kelvin MwaipunguNovember 18, 2020JESHI la Polisi Visiwani Zanzibar leo Jumanne tarehe 17 Novemba 2020, limemwachia kwa dhamana Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Nassor Ahmed...
By Mwandishi WetuNovember 17, 2020MICHUANO ya Baraza la mashirikisho ya soka Afrika mashariki na kati ‘CECAFA’ kwa vijana chini ya umri wa miaka 20 yatafanyika 22 Novemba...
By Kelvin MwaipunguNovember 17, 2020DHAHIR Kidavashari (56), Aliyekuwa kaimu Kamishna wa fedha na lojistiki wa Jeshi la Polisi Tanzania amefariki dunia usiku wa kuamkia leo tarehe 17...
By Mwandishi WetuNovember 17, 2020MAXENCE Melo, Mkurugenzi wa Mtandao wa Jamii Forums, amehukumiwa kutotenda kosa la kuzuia Jeshi la Polisi kutekeleza wajibu wao kwa mwaka mmoja. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuNovember 17, 2020SOULEYMAN Keita, kiongozi wa kundi la waasi la Ansar Dine la Iyad Ag Ghali nchini Mali na wenzake 18, mwishoni mwa wiki wamehukumiwa kifo...
By Mwandishi WetuNovember 17, 2020WATU tisa wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Pwani kwa madai ya kuhusika katika mauaji ya Fatuma Ngozi, aliyekuwa diwani mteule wa Kata...
By Mwandishi WetuNovember 17, 2020WATANZANIA wametakiwa kujitokeza kupima afya zao mara kwa mara ili kudhibiti magonjwa mbalimbali ikiwemo kisukari ambao hadi sasa umeathiri zaidi ya watu milioni...
By Mwandishi WetuNovember 16, 2020RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amesema, mtu atakayerithi mikoba yake baada kutoka madarakani mwaka 2025, hatakuwa na umri mkubwa zaidi yake. Anaripoti...
By Mwandishi WetuNovember 16, 2020RAIS wa Taznania, John Pombe Magufuli ameeleza namna ‘alivyokoshwa’ na utendaji wa Prof. Palamagamba Kabudi, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikian wa...
By Mwandishi WetuNovember 16, 2020KATIBU Mkuu wa Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania, (TFF) Wilfred Kidao amesema, haki za matangazo ya Televisheni ndio iliyosababisha mchezo kati ya...
By Kelvin MwaipunguNovember 16, 2020JOHN Pombe Magufuli, Rais wa Tanzania amemtahadharisha, Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Kassim Majaliwa kuwa endapo atashindwa kutekeleza wajibu wake ipasavyo atamwondoa. Anaripoti...
By Regina MkondeNovember 16, 2020RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amesema, atachelewa kuunda Baraza la Mawaziri, ili apate muda wa kuchagua mawaziri wenye sifa watakaomsaidia kutekeleza Ilani...
By Mwandishi WetuNovember 16, 2020KASSIM Majaliwa, Waziri Mkuu wa Tanzania, ameagiza maofisa wa wizara yake na wakuu wa mikoa kwenda katika viwanda vya uzalishaji saruji, kujua sababu...
By Mwandishi WetuNovember 16, 2020DAKTARI Phillip Mpango, Waziri wa Fedha na Mipango wa Tanzania ameahidi kutumia vyema rasilimali zilizopo nchini kupunguza umasikini, badala ya kutegemea fedha za...
By Regina MkondeNovember 16, 2020RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amemuapisha, Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa nchi hiyo. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Majaliwa ameapishwa leo Jumatatu tarehe...
By Regina MkondeNovember 16, 2020MWENYEKITI wa Klabu ya Simba, Mohamed Dewji ‘MO Dewji’ amesema, mchezaji wao, Clatous Chama ataendelea kuhudumu klabuni hapo hadi mwaka 2022. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuNovember 15, 2020