Thursday , 25 April 2024
Home Habari Mchanganyiko Shule kumi bora, 10 za mwisho darasa la 7
Habari Mchanganyiko

Shule kumi bora, 10 za mwisho darasa la 7

Spread the love

BARAZA la Mitihani la Tanzania (Necta), limetangaza matokeo ya kumaliza elimu ya msingi uliofanyika tarehe 7 na 8 Oktoba 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam.

Katika matokeo hayo yaliyotangazwa na Katibu Mtendaji wa Necta, Dk. Charles Msonde leo Jumamosi tarehe 21 Novemba 2020, yanaonyesha kati ya shule kumi bora zenye watahiniwa zaidi ya 40, Dod’s Bridge ya jijini Mbeya inaongoza kundi hilo huku Mkoa wa Kagera ikiingiza shule mbili.

Dk. Msonde, amebainisha shule kumi ambazo kwa kipindi cha miaka mitatu mfululizo, zimeongeza ufaulu ambapo Mwandu Kisesa ya Mkoa wa Simiyu imeongoza kundi hilo.

Katibu mtendaji huyo, amezitaka shule kumi ambazo kwa miaka mitatu mfululizo, zimeshuka ufaulu kwa kiasi kikubwa ikiongozwa na Chororo naya mwisho ikiwa Ng’ongolo zote za Mtwara.

Huu hapa mpangilio wa shule hizo

1 Comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari Mchanganyiko

Wakili: Ukimpa zawadi mwenza marufuku kumpora hata mkiachana

Spread the love  WANANDOA na watu waliko kwenye mahusiano ya kimapenzi, wamekumbushwa...

Habari Mchanganyiko

Majaliwa: Mvua zimesababisha vifo vya watu 155, kuendelea hadi Mei

Spread the love  WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema mvua kubwa za El-Nino...

Habari Mchanganyiko

Exim Bank yatoa  vitanda kwa shule ya Jeshi la Polisi Moshi

Spread the love  BENKI ya Exim imekabidhii  seti ya vitanda kwa Shule...

Habari Mchanganyiko

NBC yakabidhi vitanda Shule ya Polisi Moshi

Spread the loveBenki ya NBC imekabidhi msaada wa vitanda 28 kwa Shule...

error: Content is protected !!