Sunday , 12 May 2024

Month: November 2020

Michezo

Kocha Simba: Yanga walikuwa wanazuia

KOCHA wa Simba, Sven Vandebroeck amesema “kuLikuwa  na timu moja inacheza mpira na nyingine inazuia, nawapongeza wachezaji wangu kwa kucheza vizuri na ninafuraha...

Michezo

Kocha Yanga:Matokeo yametuachia kitu cha kujutia

BAADA ya kutoka sare ya bao 1-1 dhidi ya Simba kocha wa klabu ya Yanga, Cedric Kaze amesema kuwa matokeo haya yamewaachia kitu...

Habari za Siasa

Wabunge wateule waitwa Dodoma

WABUNGE wateule wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wametakiwa kufika Dodoma kwa ajili ya usajili unaoanza leo Jumamosi hadi tarehe 9...

Habari za Siasa

CCM yawapitisha Ndugai, Dk. Tulia kuwania Uspika

CHAMA tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimeteua majina mawili ya wanachama wake, watakaogombea Uspika na Naibu Spika wa Bunge la 12...

Habari za Siasa

Viti Maalum vya Ubunge, mtihani mwingine Chadema

CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) nchini Tanzania, kinakabiliwa na mtihani mwingine mzito juu ya hatma ya nafazi zake za wabunge wake wa...

Habari za SiasaTangulizi

Tundu Lissu aomba hifadhi Ujerumani

ALIYEKUWA mgombea urais wa Chadema, katika uchaguzi mkuu uliyopita nchini Tanzania, Tundu Antipas Lissu, amekimbilia nyumbani kwa balozi wa Ujerumani, jijini Dar es...

Habari za SiasaTangulizi

ACT-Wazalendo kujadili uundwaji Serikali Z’bar 

CHAMA cha siasa cha upinzani nchini Tanzania, ACT-Wazalendo kimesema, kitafanya vikao kwa ajili ya kujadili  kama kitashiriki katika uundwaji wa Serikali ya Umoja...

Habari Mchanganyiko

Waziri wa zamani kuzikwa J’nne Moshi 

MWILI wa waziri wa zamani wa Serikali ya Tanzania, Dk. Cyril Chami utazikwa Jumanne tarehe 10 Novemba 2020 kijijini kwao Kibosho, Moshi Mkoa...

Michezo

Nahodha Yanga: Tupo tayari

LAMINE Moro, Nahodha wa klabu ya Yanga amesema kuwa wako tayari kwa ajili ya kuwakabili klabu ya Simba kwenye mchezo wa kesho ikiwa...

Michezo

Bocco: Kuifunga Yanga ni kazi ngumu

KUELEKEA mchezo wa kesho Jumamosi dhidi ya Yanga, Nahodha wa klabu ya Simba, John Bocco amesema wamejipanga vizuri kwa ajili ya mchezo huo,...

Michezo

Chama, Kagere, Niyonzima Carlinhos waikosa Yanga vs Simba  

MABINGWA watetesi wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Simba imesema katika mchezo wa kesho Jumamosi dhidi ya watani zao Yanga watakosa huduma...

Michezo

Etienne aita 27 Stars, Kaseke, Ninja ndani

KOCHA wa timu ya taifa ya Tanzania Etienne Ndayilagije ameita kikosi chenye wachezaji 27 kitakacho ingia kambini kwa ajili ya kujiwinda na mchezo...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Magufuli aanza kuteua, amteua AG

RAIS wa Tanzania, John Magufuli ameanza kuunda Serikali atakayoiongoza kwa miaka mitano ijayo 2020-2025 kwa kumteua Profesa Adelardus Kilangi kuwa Mwanasheria Mkuu wa...

Michezo

Al Ahly, Zamalek watinga fainal klabu Bingwa

BAADA ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Raja Casablanca, klabu ya soka ya Zamalek imetinga hatua ya fainali ya kombe...

Habari za Siasa

Mbowe, wenzake kiguu na njia polisi

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe na Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe wameripoti Kituo cha Polisi Oysterbay jijini Dar es Salaam....

Habari za Siasa

Rais Museveni azungumzia anguko la Mbowe

RAIS wa Uganda, Yoweri Museveni amesema aliona mapema anguko la vyama vya upinzani kwenye Uchaguzi Mkuu uliofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

GGML kujenga bustani ya kisasa Geita

WAKAZI wa Mji wa Geita wanafurahia kuwa sehemu ya mradi wa bustani ya kupumzikia inayoanza kujengwa na Kampuni ya Geita Gold Mining Limited...

Habari za Siasa

Magufuli: Uchaguzi umekwisha, tulijenge Taifa

JOHN Pombe Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, amewaeleza wananchi wa Taifa hilo uchaguzi mkuu umemalizika na jukumu lililopo mbele ni...

Habari za SiasaTangulizi

A-Z kuapishwa Magufuli

JAJI Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Hamis Juma, amemwapisha Dk. John Pombe Magufuli kuwa Rais wa Tanzania atakayeongoza Taifa hilo kwa kipindi cha...

Michezo

Simba yaipiga Kagera Sugar, yatuma salamu Jangwani

MABINGWA watetezi wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Simba imeibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Kagera Sugar. Anaripoti Kelvin Mwaipunga, Dar...

Tangulizi

Uchaguzi Marekani: Trump kukimbilia mahakamani

DONALD Trump, Rais wa Marekani amesema, uchaguzi mkuu nchini humo uliofanyika jana Jumanne tarehe 3 Novemba 2020 umekubwa na udanganyifu na kupanga kwenda...

Habari Mchanganyiko

Petroli yapanda, dizeli yashuka

MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) nchini Tanzania, imetangaza ongezeko la bei ya rejareja ya petroli kwa Sh.25 na Sh.12...

Michezo

Simba kuivaa Kagera, Yanga yarejea Dar

KLABU ya Simba leo Jumatano tarehe 4 Novemba 2020 itashuka dimbani kwenye mchezo wa Ligi Kuu soka Tanzania Bara 2020/21 dhidi ya Kagera...

Habari za Siasa

Dk. Magufuli kuapishwa kesho, mataifa 17 kuhudhulia

SERIKALI ya Tanzania imesema, viongozi wa ngazi za juu na wawakilishi wa nchi zaidi ya 17 wamethibitisha kuhudhulia sherehe ya kumwapisha Dk. John...

Habari za Siasa

Rais Mwinyi aanza kuunda serikali. ateua AG

RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi ameanza kuisuka Serikali anayoiongoza kwa kumteua Dk. Mwinyi Twalib Haji kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG)....

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe, Zitto, Lema waachiwa 

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe na wenzao wameachiwa kwa dhamana na Jeshi la...

Habari za Siasa

NCCR-Mageuzi yamkana mgombea wake wa urais

CHAMA cha NCCR-Mageuzi kimekana kuutambua msimamo wa aliyekuwa Mgombea wake wa urais wa Tanzania, Yeremia Maganja wa kukubali matokeo ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika...

Habari za Siasa

Ndugai, Dk. Tulia wajitosa Uspika

JOB Yustino Ndugai, Mbunge mteule wa Kongwa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) amejitosa kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya chama hicho kugombea Uspika...

Habari za Siasa

Zitto akamatwa, Mdee…

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam nchini Tanzania, limemkamata Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe akiwa Kituo cha Polisi Osterbay jijini...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu afikishwa kwa AG, Zitto na Mdee wasakwa

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam nchini Tanzania, limepeleka jalada la kesi inayomkabili Tundu Lissu, aliyekuwa mgombea urais wa Tanzania...

Habari za Siasa

NCCR-Mageuzi yapinga matokeo uchaguzi, yataka meza ya majadiliano

CHAMA cha NCCR-Mageuzi nchini Tanzania, kimetangaza kutoyatambua matokeo ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Jumatano ya tarehe 28 Oktoba 2020 kwa madai miongozo mwa kanuni...

Habari za SiasaTangulizi

Keissy: Viongozi serikalini, CCM wamenihujumu

ALLY Mohamed Keissy, aliyekuwa mbunge wa Nkasi Kaskazini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania amesema, kilichomfanya akashindwa kutetea nafasi hiyo ni hujuma...

Habari za SiasaTangulizi

Polisi wamwachia Tundu Lissu

TUNDU Lissu, aliyekuwa mgombea urais wa Tanzania kupitia Chadema, ameachiwa na Jeshi la Polisi nchini humo. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea) Lissu alikamatwa...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu akamatwa

JESHI la Polisi Tanzania limemkamata Tundu Lissu, aliyekuwa mgombea urais wa nchi hiyo kupitia Chadema katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika Jumatano ya 28 Oktoba...

Habari za Siasa

Huyu ndiye Rais Hussein Mwinyi

DAKTARI Hussein Ali Mwinyi, ameanza rasmi safari ya siku 1826 ya kuwaongoza Wazanzibar. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). Dk. Mwinyi...

Michezo

Sh. 7,000 kuziona Simba na Yanga

BODI inayosimamia Ligi Kuu Tanzania Bara imetangaza viingilio kwenye mchezo utakaowakutanisha Yanga dhidi ya Simba ambapo kiingilio cha chini kitakuwa Tsh. 7,000 kwa...

Michezo

Bodi ya Ligi yafungia viwanja saba

BODI ya Ligi imevifungia viwanja vya Majimaji (songea), Mkwakwani (Tanga), Sabasaba (Njombe), Ali Hassan Mwinyi (Tabora), Kipija (Mbeya), Nagwanda Sijaona (Mtwara) na Jamhuri...

Habari za Siasa

CCM yatoa saa 48 wanaotaka U Spika, Meya

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimetangaza kuanza kutoa fomu za kuwania Uspika na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Anaripoti...

Habari za Siasa

Aida wa Chadema atoa msimamo kwenda bungeni

MBUNGE mteule wa Nkasi Kaskazini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) nchini Tanzania, Aida KhenanIi amesema, kamwe hatowasaliti wananchi waliomchagua hivyo atakwenda...

Habari za Siasa

Profesa Lipumba: CUF hatutashiriki uchaguzi tena

CHAMA Cha Wananchi (CUF) nchini Tanzania, kimetangaza kutoshiriki uchaguzi wowote ujao hadi mazingira ya uchaguzi huru na wa haki yatakapopatika ikiwemo Tume Huru...

Habari za Siasa

Dk 14 za Rais Mwinyi “nitashirikiana na kila mmoja”

RAIS mpya wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi ametumia dakika 14 kutoa hotuba yake ya kwanza akiwa Rais wa visiwa hivyo huku akiahidi...

Habari za Siasa

Dk. Mwinyi aanza safari kuiongoza Z’bar

JAJI Mkuu wa Zanzibar, Othuman Ali Makungu amemuapisha Dk. Hussein Ali Mwinyi kuwa Rais wa Zanzibar. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam …...

Habari za Siasa

Dk. Mwinyi kuingia Ikulu leo

DAKTARI Hussein Ali Mwinyi, leo Jumatatu tarehe 2 Novemba 2020 ataapishwa kuwa Rais wa nane wa Zanzibar. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar … (endelea)...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe, Lema na Jacob wakamatwa

POLISI Kanda Maalum ya Dar es Salamaa nchini Tanzania, inawashikilia viongozi watatu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) akiwemo Mwenyekiti wake, Freeman...

Habari za Siasa

Magufuli azungumzia uchaguzi mkuu 2020

TUME ya Taifa ya uchaguzi (NEC), imemkabidhi cheti cha ushindi wa urais wa Tanzania, mgombea wa nafasi hiyo, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM),...

Tangulizi

NEC yamkabidhi cheti Magufuli, kuapishwa Dodoma

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemkabidhi cheti cha ushindi Rais mteule wa Tanzania, John Pombe Magufuli wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti...

error: Content is protected !!