Saturday , 27 April 2024
Home upendo
1869 Articles241 Comments
Habari Mchanganyiko

Wakili: Ukimpa zawadi mwenza marufuku kumpora hata mkiachana

  WANANDOA na watu waliko kwenye mahusiano ya kimapenzi, wamekumbushwa kwamba, zawadi wanazopeana wakati wa furaha, ni marufuku kunyang’anyana wakiwa katika mifarakano. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

Gardner Habash wa Clouds Fm afariki dunia

ALIYEKUWA mtangazaji wa kipindi cha Jahazi kinachorushwa na kituo cha Redio cha Clouds Fm, Gardner G Habash, maarufu kama Captain, amefariki dunia leo...

Habari za SiasaTangulizi

Mpina ataka Waziri Majaliwa ajiuzulu, akosoa teuzi za mawaziri

  MBUNGE wa Kisesa, Luhaga Mpina, amemtaka Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, ajiuzulu kwa madai kuwa maagizo 12 aliyoyatoa mwaka 2023 kuhusu migogoro ya...

Habari Mchanganyiko

Serikali yatoa ajira watumishi 46,000, yatangaza utaratibu mpya kuajiri

SERIKALI imetangaza nafasi za ajira za watumishi wa umma 46,000 katika sekta mbalimbali, ikiwemo  12,000 katika sekta ya elimu na zaidi ya 10,000...

Habari za SiasaTangulizi

Samia arejesha mikopo ya 10%, bilioni 227.96 zatengwa

RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amerejesha utaratibu wa utoaji mikopo inayotokana na asilimia 10 ya mapato ya halmashauri kwa vikundi vya wanawake, vijana...

Habari Mchanganyiko

Serikali yapata hasara 113 milioni hospitali kuwapa misamaha wagonjwa wasiostahili

SERIKALI imepata hasara ya kiasi cha Sh. 111.76 milioni, baada ya baadhi ya hospitali za rufaa za mikoa kutoa msamaha wa matibabu kwa...

Habari za Siasa

TAMISEMI yatenga bil. 17.79 kwa ajili uchaguzi serikali za mitaa

WIZARA Ofisi ya Rais-TAMISEMI, imetenga fedha kiasi cha Sh. 17.79 bilioni, kwa ajili ya uratibu na kusimamia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa...

Habari Mchanganyiko

Serikali yatakiwa kutunga sheria kudhibiti ajali mabasi ya shule

KUFUATIA ajali ya basi la shule ya msingi ya Ghati Memorial, iliyogharimu maisha ya wanafunzi nane, Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu...

Habari za Siasa

CAG abaini madudu katika vyama 10 vya upinzani

UKAGUZI wa Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichele, kwa mwaka wa fedha wa 2022/2023, umebaini madudu katika vyama...

Habari Mchanganyiko

Makusanyo ya Serikali mwaka 2022/2023 yapaa kwa 9%

MAKUSANYO ya Serikali katika mwaka wa fedha wa 2022/2023 yameongezeka kwa Sh. 3.582 trilioni, hadi kufikia Sh. 41.880 trilioni, kutoka Sh. 38.398 trilioni...

Habari MchanganyikoMakala & Uchambuzi

Kipunguni waihoji serikali, ziko wapi fedha za fidia?

WATU wanaodai kwamba serikali ya Chama Cha Mapinduzi ni sikivu, basi wafuatilie kuona ilivyofunga masikio yake kusikiliza malalamiko ya wananchi zaidi ya 1,800...

Habari za Siasa

Ripoti ya CAG yatinga bungeni

RIPOTI kuu ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka wa fedha ulioishia tarehe 30 Juni 2023, imewasilishwa bungeni...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Nchimbi aanika ugonjwa wa CCM

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Emanuel Nchimbi, amesema ndani ya chama chake kuna changamoto ya wagombea kukataa matokeo ya uchaguzi....

Habari za Siasa

Chadema yapuliza kipyenga uchaguzi viongozi kanda

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeanza maandalizi ya uchaguzi wa viongozi wa kanda kwa kufungua dirisha la uchukuaji na urejeshaji fomu za...

Habari za Siasa

CCM :Hatutaki ushindi wa makandokando uchaguzi Serikali za mitaa

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimesema hakihitaji ushindi wa makandokando katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa 2024 na kwamba kinajipanga kuandaa wagombea bora...

Habari za Siasa

Makala: Puuzeni wanasiasa wanaojigamba wanaweza kubadili maamuzi ya mahakama

KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amos Makala, amewataka wananchi wenye madai ya haki ambayo hayajafikishwa mahakamani kuwasilisha migogoro...

Habari za Siasa

Tume huru ya uchaguzi kaa la moto

KITENDO cha Serikali kuanza kutumia sheria mpya ya tume huru ya taifa ya uchaguzi ya 2024, pasina kubadili muundo na utendaji wa tume,...

Habari za SiasaTangulizi

Serikali yafafanua hatima ya viongozi NEC

WAKATI mjadala ukiibuka  juu ya hatma ya viongozi wa sasa katika Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), baada ya sheria yake kufanyiwa marekebisho...

Habari Mchanganyiko

Watu 30 mbaroni tuhuma kughushi nyaraka za mafao kupata fedha NSSF

WATU 30 wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, kwa tuhuma za kughushi nyaraka za mafao ili kujipatia fedha...

AfyaHabari za Siasa

Serikali yasaka watumishi afya ngazi ya jamii 8,900

SERIKALI imeanza utekelezaji wa mpango jumuishi wa wahudumu wa afya ngazi ya jamii, kwa kuanza kutoa mafunzo ya wahudumu wa afya ngazi ya...

Habari Mchanganyiko

CWHRDs kuweka mikakati kuimarisha harakati za wanawake wanaotetea haki

Mtandao wa wanawake watetezi wa haki za binadamu Tanzania (CWHRDs TZ), umeendesha mkutano wake mkuu uliolenga kuweka mikakati ya kuimarisha harakati za kundi...

Habari Mchanganyiko

Wanaohongwa na wapenzi hatarini kwa utakatishaji fedha

WATU wanaopewa fedha na wapenzi wao kwa ajili ya matumizi mbalimbali, wametakiwa kutunza kumbukumbu ili kutojiweka katika hatari ya kufunguliwa kesi za uhujumu...

Habari za SiasaTangulizi

Makalla: CCM tutaendelea kushirikiana na Makonda

KATIBU mpya wa itikadi na uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla, amesema chama hicho kitaendelea kumpa ushirikiano mtangulizi wake, Paul Makonda,...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia: Makonda aliichemsha CCM

RAIS Daktari Samia Suluhu Hassan, amesema aliyekuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, alikiamsha chama hicho kutoka...

Habari za Siasa

Rais Samia awakabidhi mawaziri zigo la ripoti ya CAG

RAIS Samia Suluhu Hassan, amewaagiza mawaziri wake wakafanyie kazi ripoti ya ukaguzi uliofanywa na Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG), kwa...

Habari za Siasa

Prof. Lipumba ajitosa sakata la mauaji Palestina

MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, amepanga kushiriki maandamano ya amani yaliyoandaliwa na waumini wa kiislam dhehebu la Shia, kwa...

AfyaHabari za SiasaTangulizi

Bima ya afya kwa wote kuanza Aprili, wajane kicheko

SHERIA ya Bima ya Afya kwa Wote, inatarajiwa kuanza kutumika kabla ya mwisho wa mwezi Aprili 2024, baada ya vifungu muhimu kuwasilishwa katika...

Habari za Siasa

Chalamila: Tumejipanga kuzuia vurugu za uchaguzi Dar

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema wamejipanga kuhakikisha Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa 2024 na Uchaguzi Mkuu wa...

BiasharaTangulizi

Bei ya mafuta yapaa kwa mwezi Aprili

BEI za mafuta zimeongezeka kwa mwezi Aprili 2024, ikilinganishwa na bei elekezi zilizotangazwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji...

Habari za Siasa

Mzee Makamba aichambua CCM ya Samia

ALIYEKUWA Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mzee Yusuph Makamba, amesema chama hicho chini ya uongozi wa mwenyekiti wake taifa, Dk. Samia...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia asaini miswada sheria za uchaguzi licha ya kelele za wapinzani

RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amesaini miswada ya sheria za uchaguzi kwa ajili ya kuwa sheria kamili na kuanza kutumika, licha ya kelele...

Habari za SiasaTangulizi

Polisi waanza uchunguzi tukio la Olesendeka kushambuliwa

JESHI la Polisi nchini, limesema limeanza uchunguzi wa tukio la gari la Mbunge wa Simanjiro (CCM), Christopher Ole Sendeka, kushambuliwa na risasi na...

Habari za SiasaTangulizi

Mashirika matano yapata hasara mabilioni ya fedha

MASHIRIKA matano ya Serikali yanayojiendesha kibiashara, yamepata hasara ya mabilioni ya fedha katika mwaka wa fedha ulioisha wa 2022/23. Anaripoti Regina Mkonde, Dar...

Habari za SiasaTangulizi

CAG aibua madudu halmashauri 10, TANESCO na MSD

RIPOTI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere, kwa mwaka wa fedha wa 2022/23, imeibua madudu katika halmashauri...

Habari za Siasa

Alichokisema Rais Samia baada ya kupokea ripoti ya CAG, TAKUKURU

RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali yake itafanyia kazi mambo yaliyoibuliwa katika Ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali...

Habari za SiasaTangulizi

Deni la Serikali laongezeka kwa trilioni 11

DENI la Serikali imeongezeka kwa takribani Sh. 11 trilioni sawa na asilimia 15, kutoka Sh. 71.31 trilioni (2021/22) hadi kufikia Sh. 82.25 trilioni...

Habari za SiasaTangulizi

Mapya yaibuka wamasai waliohamishwa Ngorongoro kwenda Msomera

MAPYA yameibuka kuhusu zoezi la Serikali kuwahamisha kwa hiari wamasai waliokuwa wanaishi ndani ya hifadhi ya Ngorongoro kwenda maeneo ya Msomera mkoani Tanga,...

Habari za Siasa

Rais Samia ampongeza mpinzani aliyeshinda urais Senegal

RAIS wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, amempongeza mwanasiasa wa upinzani, Bassirou Diomaye Faye, kwa kufanikiwa kushinda kiti cha urais wa Senegal, katika...

Habari za Siasa

Ushindi wa mpinzani Senegal wakoleza moto kwa wapinzani Tanzania

USHINDI wa aliyekuwa mgombea  urais wa upinzani nchini Senegal, Bassirou Diomaye Faye ambaye amevunja rekodi ya kuwa Rais mwenye umri mdogo zaidi barani...

Habari za SiasaTangulizi

Makonda awapopoa wanaomtofautisha Magufuli na Samia

KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, amewataka viongozi wa chama hicho na watu wanaojaribu kumtenganisha Rais Dk....

AfyaHabari Mchanganyiko

Marekani kuipa Tanzania bilioni 980 kudhibiti VVU, UKIMWI

SERIKALI ya Tanzania inatarajiwa kupewa msaada wa fedha kiasi cha Sh. 980 bilioni na Serikali ya Marekani, kwa ajili kuongeza nguvu katika mapambano...

Habari Mchanganyiko

Waandishi wa habari Lindi wafariki ajalini, Nape awalilia

AJALI ya gari iliyotokea usiku wa kuamkia tarehe leo 26 Machi 2024, maeneo ya Nyamwage mkoani Pwani, imekatisha maisha ya waandishi wa habari...

Habari za SiasaMakala & Uchambuzi

Miaka 28 watumishi UDSM yaliwa na nzige, madumadu

GEORGE Francis anasikitika; anatembea akiwa na mawazo mengi, hajui la kufanya. Kinachomfanya awe katika hali hiyo ni baada ya kujikuta miaka 18 aliyotumika...

Habari za Siasa

ACT-Wazalendo yatangaza baraza mawaziri kivuli

CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimetangaza baraza lake kivuli la mawaziri litakalobeba majukumu ya kushughulikia changamoto zinazowakabili wananchi. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam…(endelea). Baraza...

Habari za Siasa

Rais Samia aeleza athari wanawake kukosekana katika maamuzi

RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan amesema licha ya Tanzania kuongeza jitihada za kuongeza ushiriki wa wanawake katika vyombo vya maamuzi, bado kuna ombwe...

Habari za Siasa

Sakata la kujiondoa SUK: ACT-Wazalendo yamhoji maswali 8 Rais Mwinyi

CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimemhoji maswali nane Rais Dk. Hussein Mwinyi, kikimtaka atoke hadharani ayajibu, kuhusu madai yao ya kutaka kujiondoa katika Serikali ya...

Habari Mchanganyiko

Wajane, walemavu Kivule wapewa msaada mfungo wa Ramadhan

BAADHI ya wajane, yatima na watu wenye ulemavu waishio katika Kata ya Kivule wilayani Ilala mkoani Dar es Salaam, wamepewa msaada wa vyakula...

Habari Mchanganyiko

Kibano cha wanaotiririsha majitaka kwenye mvua chaja

SERIKALI imeziagiza halmashauri zote nchini kuweka sheria kali kwa ajili ya kuwashughulikia watu watakaotiririsha maji taka wakati wa mvua, lengo likiwa ni kudhibiti...

AfyaHabari Mchanganyiko

Matende, mabusha tishio Kinondoni, wananchi waitwa kupata kinga tiba

MAGONJWA yasiyopewa kipaumbele ya Mabusha na Matende, bado yanaendelea kusumbua kata 10 za Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, mkoani Dar es Salaam, kutokana...

Habari za Siasa

Wanasiasa Tz walaani Serikali ya Burundi kumuondoa madarakani kiongozi wa upinzani

VIONGOZI wa vyama vya siasa vya upinzani nchini, wamelaani kitendo cha kiongozi wa chama kikuu cha upinzani Burundi cha National Pour la Liberty...

error: Content is protected !!