Tuesday , 30 April 2024
Home upendo
1871 Articles238 Comments
Habari MchanganyikoTangulizi

Serikali yaendelea kulisakama TWAWEZA

SHIRIKA linaloshughulika na masuala ya utafiti nchini, linalofahamika kwa jina la TWAWEZA, lidai kutishwa na vyombo vya serikali. Anaripoti Regina Kelvin … (endelea)....

Habari za SiasaTangulizi

Mkurugenzi Twaweza anyang’anywa ‘Passport’

MAOFISA wa Uhamiaji wamemnyang’anya Hati ya Kusafiria (passport) Mkurugenzi wa taasisi ya utafiti isiyo ya kiserikali Twaweza Aidan Eyekuze. Anaandika Regina Kelvin … (endelea)....

Habari Mchanganyiko

Uongozi, Bodi Bank M wapigwa ‘stop’

BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imesimamiasha shughuli za Bodi ya Wakurugenzi na Uongozi wa Bank M. Anaripoti Regina Kelvin … (endelea). BoT imechukua...

Habari Mchanganyiko

Mbaroni kwa kujiteka jijini Mwanza

Mfanyabiashara Prosper Peniel (26) mkazi wa Kwimba mkoani Mwanza anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani humo kwa kosa la kutoa taarifa ya uongo...

Habari za Siasa

Serikali yawatangazia vita wanaotorosha madini

SERIKALI imewatangazia vita watu wanaotorosha madini ya Tanzanite pamoja na wanaokwenda kinyume na matakwa ya sheria. Anaripoti Regina Kelvin … (endelea). Akizungumza jana...

Habari za SiasaTangulizi

Spika Ndugai apokea barua ya Kalanga kujiuzulu

SPIKA wa Bunge, Job Ndugai amepokea barua ya kujivua uanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kujiuzulu nafasi ya ubunge kwa...

Habari Mchanganyiko

Mbaroni kwa kumchoma mtoto moto

WATU wawili, Judith Amoni Mwansansu (39) Mkazi wa Mwanjelwa na Aive Alex Swalo (17) Mkazi wa Mwanjelwa Mtaa wa Soko wanashikiliwa na Jeshi...

Habari za SiasaTangulizi

Kujiuzulu Meya Ilala, CUF pachimbika

CHAMA cha Wananchi (CUF) kumewaka baada ya aliyekuwa Naibu Meya wa Ilaya anayetokana na chama hicho, Omary Kumbilamoto leo Agosti mosi, 2018 kutimkia...

Habari za Siasa

Lugumi maji ya shingo, asalimu amri

MFANYABIASHARA Said Lugumi amesalimu amri kwa kukubali kukamilisha kufunga mfumo wa mashine za kielektroniki za kuchukua alama za vidole nchi nzima ndani ya...

Habari Mchanganyiko

Serikali kupanga bei elekezi ya madini

SERIKALI imesema itapanga bei elekezi ya madini ili kundoa urasimu wanaofanyiwa wachimbaji wadogo wakati wa uuzaji. Anaripoti Regina Kelvin … (endelea). Hayo yalisemwa...

Habari Mchanganyiko

JWTZ wawaita madaktari kujiunga na jeshi

JESHI la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limetangaza nafasi za kuandikishwa jeshini madaktari wa binadamu na fani nyingine za tiba. Anaripoti Regina...

Habari za SiasaTangulizi

Lugumi ajisalimisha kwa Kangi Lugola

MFANYABIASHARA Said Lugumi ametelekeza agizo la Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi. Kangi Lugola liliomtaka ajisalimishe ofisini kwake mara moja. Anaripoti Regina...

Habari za SiasaTangulizi

Mbunge mwingine Chadema ang’oka

JINAMIZI la kukimbiwa na wabunge na madiwani linazidi kuitafuna Chadema, ambapo jana tarehe 30, 2018 Mbunge wa Monduli, Julius Kalanga kupitia chama hicho...

Habari Mchanganyiko

Msako wa mashine za EFD waendelea

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema itaendelea kufanya ukaguzi wa matumizi za mashine za kutolea risiti za kielektroniki (EFD), ili kuhakikisha kila mfanyabiashara...

Habari Mchanganyiko

Waziri Ummy: Serikali isiwe kikwazo

TAASISI za serikali zinazohusika na masuala ya ukaguzi na udhibiti wa bidhaa, zimetakiwa kutokuwa kikwazo kwa maendeleo ya wajasiriamali na ujenzi wa viwanda...

Habari za Siasa

Maalim Seif aichamba CCM

MAALIM Seif Sharif Hamad, Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) amesema kuwa, Chama Cha Mapinduzi (CCM) sio chama cha kukimbilia.  Anaripoti Regina Kelvin...

Afya

Gonjwa hili, Ukimwi haugusi

UPUNGUFU wa Kinga Mwilini (Ukimwi) ndio unaoonekana kuwa tishio lakini Ugonjwa wa Homa ya Ini unatajwa kuuwa Ukimwi na hata Kifua Kikuu. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Jokate, Murro, Kafulila kumsaidia Rais Magufuli

RAIS John Magufuli amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali, ambapo amemteua Mwanamitindo, Jokate Mwegelo kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe huku aliyekuwa Mbunge wa...

Habari za Siasa

Zitto atoa neno zito kuondoka kwa Waitara

BAADA ya Mbunge wa Ukonga (Chadema) Mwita Waitara kutangaza kurudi CCM, Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe  ametoa neno kuhusu hatua hiyo. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema kwazidi kufukuta, Mbunge Waitara akimbilia CCM

KINYANG’ANYIRO cha uchaguzi mkuu ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeanza kukimega chama hicho. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Mbunge wa...

Habari Mchanganyiko

Auawa kwa tuhuma za ujambazi

MTU mmoja anayefahamika kwa jina la Mussa Faustine (19) mkazi wa Bugarika wilaya ya Nyamagana Mkoani Mwanza, ameuawa na wananchi wenye hasira kali...

error: Content is protected !!