TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza uchaguzi mdogo wa Jimbo la Liwale Mkoa wa Lindi, kufutia kujiuzulu kwa Zuberi Kuchauka aliyekuwa Mbunge...
By Regina MkondeAugust 25, 2018MAHAKAMA ya Kikatiba nchini Zimbabwe imetupilia mbali maombi yaliyowasilishwa mahakamani hapo na chama kikuu cha upinzani nchini humo MDC, ya kukata rufaa dhidi...
By Regina MkondeAugust 24, 2018BARAZA la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) limevitaka vyuo na taasisi za elimu kutoa matokeo ya wahitimu wao mapema kwa ajili ya...
By Regina MkondeAugust 24, 2018JESHI la Polisi mkoa wa Mbeya limewafikisha mahakamani watu nane ambao ni wanakijiji cha Ngole kwa tuhuma za kufanya uharibifu wa mabomba na...
By Regina MkondeAugust 24, 2018BAADA ya Jeremiah Mtobesya, wakili anayetetea viongozi waandamizi wa Chadema wanaokabiliwa na kesi ya jinai namba 112, kujitoa katika kesi hiyo. Freeman Mbowe,...
By Regina MkondeAugust 23, 2018KIZZA Besigye, Kiongozi Mkuu wa Upinzani nchini Uganda amekamatwa na Jeshi la Polisi nchini humo wakati akijaribu kuondoka nyumbani kwake mjini Kasangati. Anaripoti...
By Regina MkondeAugust 23, 2018SERIKALI ya Uganda imemuondolea mashtaka Mbunge wa Kyadondo, Robert Kyagulanyi maarufu kama Bobi Wine, lakini alikamatwa tena muda mfupi baada ya kuachiwa huru....
By Regina MkondeAugust 23, 2018BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limewaalika wadau kutoa maoni yao yatakayotumika katika mchakato wa uchambuzi wa miswada ya sheria kwenye ngazi...
By Regina MkondeAugust 21, 2018JESHI la Polisi mkoa wa Kilimanjaro linawashikilia raia 25 wa Ethiopia waliongia nchini bila ya kufuata sheria. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Waethiopia...
By Regina MkondeAugust 21, 2018MTU mmoja amepoteza maisha na zaidi ya watu 100 wamekamatwa na Jeshi la Polisi nchini Uganda, katika maandamano yaliyozuka kwa ajili ya kupinga...
By Regina MkondeAugust 21, 2018MONICA Joseph Magufuli, Dada wa Rais John Magufuli amefariki dunia asubuhi ya leo tarehe 19 Agosti, 2018 kwenye Hospitali ya Bugando iliyoko jijini...
By Regina MkondeAugust 19, 2018CHAMA cha Wananchi (CUF) kimetoa msimamo wake kuhusu kuhama kwa waliokuwa viongozi, wabunge na madiwani wa chama hicho, kikisema kuwa kitafanya vikao vyake...
By Regina MkondeAugust 19, 2018JESHI la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watu 68 kwa tuhuma za kufanya uharibifu wa miundombinu ya maji katika Kijiji cha Ngole kilichopo...
By Regina MkondeAugust 18, 2018ALIYEKUWA Naibu Meya wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, Mussa Kafana amejiuzulu uanachama wa CUF na kuomba kupokelewa ndani ya CCM....
By Regina MkondeAugust 18, 2018DK. John Magufuli, Rais wa Tanzania ameteuliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC). Anaripoti Regina Kelvin … (endelea)....
By Regina MkondeAugust 18, 2018CHAMA cha Chadema kimeteua wagombea ubunge katika majimbo matatu yaliyoachwa wazi baada ya wabunge wawili kujiuzulu na mmoja kufariki. Anaripoti Regina Kelvin …...
By Regina MkondeAugust 17, 2018SERIKALI imetakiwa kuhakikisha waraka wa mishahara unapitiwa kila baada ya miaka mitatu na kufanyiwa marekebisho kama inavyotakiwa kisheria ili kuhakikisha haki ya ujira...
By Regina MkondeAugust 17, 2018MATOKEO ya ripoti ya Haki za Binadamu na Biashara ya mwaka 2017 ya Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) yamebainisha kwamba...
By Regina MkondeAugust 16, 2018MKUU wa jeshi la polisi nchini (IGP), Simon Sirro, ametangaza mabadiliko ya makamanda wa mikoa katika jeshi lake kwa kuhamisha baadhi huku na...
By Regina MkondeAugust 15, 2018CHAMA cha ACT-Wazalendo kimeitaka serikali pamoja na wadau wa demokrasia nchini kuitisha mkutano wa kitaifa wa maridhiano ya kisiasa kwa ajili ya kujadili...
By Regina MkondeAugust 15, 2018DK. Bashiru Ally, Katibu Mkuu wa CCM amesema kitendo cha wabunge na madiwani wa vyama vya CUF na Chadema kujivua unachama na kujiunga...
By Regina MkondeAugust 15, 2018KAMATI Kuu Maalum ya Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM imeteuwa wagombea watatu watakaokiwakilisha chama hicho katika uchaguzi mdogo wa ubunge. Anaripoti...
By Regina MkondeAugust 14, 2018HALI ya Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamis Kigwangalla inazidi kuimarika ambapo kwa mara ya kwanza tangu alazwe katika Hospitali ya Taifa...
By Regina MkondeAugust 14, 2018CHAMA cha Demorasia na Maendeleo (Chadema), mkoani Mara, kimepanga kwenda mahakamani kupinga ushindi wa mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika uchaguzi mdogo...
By Regina MkondeAugust 14, 2018IFUATAYO ni orodha ya majina ya Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri mbalimbali walioteuliwa na kuhamishiwa vituo vya kazi leo tarehe 13...
By Regina MkondeAugust 13, 2018ALIYEKUWA Mbunge wa Jimbo la Liwale mkoani Lindi kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Zubeir amehamia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti Regina Kelvin …...
By Regina MkondeAugust 13, 2018RAIS John Magufuli leo tarehe 13 Agosti, 2018 amefanya mabadiliko kadhaa kwa Wakuu wa Wilaya na wakurugenzi wa halmashauri mbalimbali nchini huku sehemu...
By Regina MkondeAugust 13, 2018MSIMAMIZI wa Uchaguzi Jimbo la Buyungu, Lusubilo Mwakabibi amemtangaza Christopher Chiza, Mgombea wa CCM kuwa mshindi wa uchaguzi mdogo wa jimbo hilo uliofanyika...
By Regina MkondeAugust 13, 2018WAKAZI wa Jimbo la Buyungu lililoko Wilayani Kankonko mkoa wa Kigoma, wamejitokeza kupiga kura kwenye uchaguzi mdogo wa ubunge. Anaripoti Regina Kelvin …...
By Regina MkondeAugust 12, 2018NAPE Nnauye, Mbunge wa Jimbo la Mtama ametoa neno baada ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi CUF Taifa, Julius Mtatiro kukihama chama...
By Regina MkondeAugust 11, 2018JULIUS Mtatiro, Aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya Chama cha CUF, amejivua uanachama wa chama hicho na kuonesha nia ya kuhamia Chama...
By Regina MkondeAugust 11, 2018IKIWA kesho tarehe 12 Agosti, 2018 ni siku ya upigaji kura katika uchaguzi mdogo wa ubunge Buyungu na kata thelathini na sita (36),...
By Regina MkondeAugust 11, 2018CHAMA kikuu cha upinzani nchini Zimbabwe ‘Movement for Democratic’ (MDC) kimeenda mahakamani kwa lengo la kukata rufaa, ili kupinga matokeo ya uchaguzi wa...
By Regina MkondeAugust 11, 2018MSIMAMIZI Msaidizi wa Uchaguzi wa Kata ya Turwa wilayani Tarime, Mara amesitisha mikutano yote ya kampeni ya vyama vya upinzani kwenye kata hiyo....
By Regina MkondeAugust 10, 2018WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amehidi kufanya ziara za kushtukiza kwenye vituo vya polisi nchini ili kupambana na baadhi...
By Regina MkondeAugust 10, 2018JUKWAA la Wahariri Tanzania (TEF) limelaani kitendo cha Jeshi la Polisi kumfungulia Mwanahabari wa gazeti la Tanzania Daima, Sitta Tuma mashitaka ya kuandamana...
By Regina MkondeAugust 10, 2018MFUMUKO wa Bei wa Taifa kwa mwezi Julai, 2018 umepungua kutoka asilimia 3.4 mwezi Juni, 2018 hadi kufikia asilimia 3.3. Anaripoti Regina Kelvin...
By Regina MkondeAugust 9, 2018JESHI la Polisi wilayani Tarime limewaachia kwa dhamana, Mbunge wa Tarime Mjini, Esther Matiko (Chadema) na Mwandishi wa habari wa gazeti la Tanzania...
By Regina MkondeAugust 9, 2018WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako amelitaka Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) kuvifungia vyuo visivyokidhi vigezo hasa...
By Regina MkondeAugust 9, 2018TUZO ya mwanamke mwenye ushawishi na mhamasishaji zaidi kisiasa Afrika imechukuliwa na Mange Kimambi, raia wa Tanzania. Anaripoti Regina Kelivin … (endelea). Waandiaaji...
By Regina MkondeAugust 9, 2018VYAMA vinavyounda Muungano wa Common Front for Congo (FCC) umemteua aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani nchini humo, Emannuel Shadari kuwa mrithi wa...
By Regina MkondeAugust 8, 2018JESHI la Polisi limezuia mkutano wa pamoja wa wabunge, Zitto Kabwe ( ACT), Upendo Peneza (Chadema) na John Heche (Chadema) wa kumnadi mgombea...
By Regina MkondeAugust 8, 2018SERIKALI imeiagiza Tume ya Madini Tanzania, kuzuia mali na mitambo yote ya Kampuni ya Canaco inayomiliki leseni ya Uchimbaji Madini ya dhahabu, kutokana...
By Regina MkondeAugust 8, 2018JESHI la Polisi mkoani Mwanza linawashikilia watu watatu kwa kosa la kufanya shughuli za uganga wa kienyeji bila kibali. Anaripoti Regina Kelvin …...
By Regina MkondeAugust 7, 2018YOWERI Museveni, Rais wa Jamhuri ya Uganda, anatarajiwa kufanya ziara ya kikazi ya siku moja hapa nchini ifikapo tarehe 9 Agosti 2018. Anaripoti...
By Regina MkondeAugust 7, 2018SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) limetakiwa kusitisha uagizaji wa viunganishi vya miundombinu ya umeme (Accessories) kutoka nje...
By Regina MkondeAugust 7, 2018WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, ametoa mwezi mmoja kwa Kampuni binafsi za Ulinzi kuhakikisha yanarekebisha mfumo wao wa kuajiri...
By Regina MkondeAugust 6, 2018TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) leo tarehe 4 Agosti, 2018 imetangaza Uchaguzi Mdogo wa Ubunge katika majimbo matatu na wa udiwani katika...
By Regina MkondeAugust 4, 2018WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla amepata ajali alfajiri ya leo tarehe 4 Agosti, 2018 kwenye eneo la Magugu mkoani Manyara...
By Regina MkondeAugust 4, 2018SHIRIKA linaloshughulika na masuala ya utafiti nchini, linalofahamika kwa jina la TWAWEZA, lidai kutishwa na vyombo vya serikali. Anaripoti Regina Kelvin … (endelea)....
By Regina MkondeAugust 3, 2018