WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Charles Mwijage ametahadharisha kuwa, wasiokuwa na utamaduni wa kulipa kodi yanaweza kuwakuta aliyoyakuta kwenye nchi nyingine, ya kunyimwa...
By Regina MkondeOctober 29, 2018WATU takribani 188 wanahofiwa kupoteza maisha kwenye ajali ya ndege ya abiria ya Shirika la Lion Air iliyokuwa safarini kutoka mji mkuu wa...
By Regina MkondeOctober 29, 2018MBUNGE wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete amesema shamba la baba yake, Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete lililoko kata ya Kibindu wilayani...
By Regina MkondeOctober 26, 2018MWANAFUNZI wa darasa la kwanza katika Shule ya Msingi Seliani iliyoko wilayani Arusha, Emanuel Zacharia amenusurika kifo baada ya kutumbukia katika shimo la...
By Regina MkondeOctober 26, 2018ALIYEKUWA Miss Tanzania mwaka 2006, Wema Sepetu amefungiwa kwa muda usiojulikana kujishughulisha na filamu na uigizaji, na Bodi ya Filamu Tanzania. Anaripoti Regina...
By Regina MkondeOctober 26, 2018WANAFUNZI kadhaa katika Shule ya Msingi Seliani iliyoko wilayani Arusha wanadaiwa kutumbukia katika shimo la choo cha shule hiyo mchana huu. Anaripoti Regina...
By Regina MkondeOctober 26, 2018SERIKALI imekanusha madai ya Kampuni ya Madini ya Acacia, ya kwamba usalama wa watumishi wake uko hatarini kutokana na kuwindwa na vyombo vya...
By Regina MkondeOctober 26, 2018SHIRIKA la Viwango Nchini (TBS) limepiga marufuku matumizi ya tairi za vyombo vya moto zilizotumika na kuisha muda wake. Anaripoti Mwandishi Wetu …...
By Regina MkondeOctober 24, 2018MAMLAKA ya Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (SUMATRA) imetangaza ruti mpya za kwenda Hospitali ya Taifa ya Muhimbili tawi la Mloganzila. Anaripoti...
By Regina MkondeOctober 24, 2018SHIRIKA la Reli nchini (TRC) linatarajia kuhamisha makaburi kwenye mikoa ya Pwani na Morogoro ili kupisha ujenzi wa reli ya kisasa ‘Standar Gauge....
By Regina MkondeOctober 24, 2018UFAULU wa mtihani wa darasa la saba nchini umeongezeka maradufu kwa miaka minne mfululizo kuanzia mwaka 2015 ambapo ufaulu ulikuwa asilimia 56.99 hadi...
By Regina MkondeOctober 23, 2018ASA Mwaipopo (55), Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni za Madini za Bulyanhulu, North Mara na Pangea zilizokuwa chini ya Acacia, amepandishwa kizimbani katika Mahakama...
By Regina MkondeOctober 23, 2018RAIS John Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na Rais mstaafu wa awamu ya nne, Dk. Jakaya Kikwete leo tarehe 23 Oktoba 2018 Ikulu...
By Regina MkondeOctober 23, 2018WATAHINIWA 733,103 kati ya 943,318 wamefaulu mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi wa mwaka 2018. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Akitangaza matokeo hayo...
By Regina MkondeOctober 23, 2018PRESHA imeshuka. Ndivyo unavyoweza kusema baada ya wanafunzi 682 wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam waliofutiwa usajili kutakiwa kurejeshwa. Anaandika Regina Mkonde …...
By Regina MkondeOctober 22, 2018MBUNGE wa Arusha Mjini, Godbless Lema ameitikia wito wa Jeshi la Polisi uliomtaka kuwasili katika Kituo Kikuu cha Polisi Arusha bila kukosa. Anaripoti...
By Regina MkondeOctober 22, 2018RAMADHANI Mrisho Ditopile, msanii wa maigizo katika Kundi la ‘Kaole Sanaa Group’ amefariki dunia asubuhi ya leo tarehe 20 Oktoba 2018 katika hospitali...
By Regina MkondeOctober 20, 2018MKUU wa Jeshi la Polisi, IGP Simon Sirro amesema silaha ya kivita aina ya AK-47, pisto tatu pamoja na risasi 19 zimekutwa katika...
By Regina MkondeOctober 20, 2018RAIS John Magufuli amewataka wachezaji wa Timu ya Taifa ‘Taifa Stars’ kuifunga timu ya taifa ya Lesotho katika mchezo wa kuwania kufuzu kucheza...
By Regina MkondeOctober 19, 2018MKUU wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Simon Sirro amesema suala la kufanya uchunguzi sio sawa na kwenda barabarani na kumkuta mwanamke anayefanya...
By Regina MkondeOctober 19, 2018MKUU wa Jeshi la Polisi, Simon Sirro amesema polisi wamefanikiwa kumtambua dereva na gari lililohusika katika tukio la kutekwa mfanyabiashara Mohammed Dewji maarufu...
By Regina MkondeOctober 19, 2018POLISI mjini Mombasa nchini Kenya inamtafuta baba mmoja (40) anayetuhumiwa kuchoma moto nyumba ya mpenzi wake iliyoko maeneo ya Magongo, kutokana na wivu...
By Regina MkondeOctober 18, 2018MBUNGE wa Ubungo, Saed Kubenea pamoja na wa Moshi Vijijini, Anthony Komu wametoa ufafanuzi wao kuhusu sauti iliyosambaa katika mitandao ya kijamii hivi...
By Regina MkondeOctober 18, 2018KAMATI Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimewapa onyo kali wabunge wake Saed Kubenea wa Ubungo na Anthony Komu wa Moshi...
By Regina MkondeOctober 18, 2018SERIKALI imeruhusu hospitali na zahanati za Shirika la Marie Stopes kuendelea kutoa huduma baada ya kufungiwa wiki kadhaa zilizopita kutokana na kukiuka miongozo...
By Regina MkondeOctober 17, 2018CHAMA cha Chadema kimeitaka serikali kuruhusu wachunguzi wa kimataifa kuchunguza tukio la kutekwa kwa Mfanyabiashara, Mohammed Dewji ‘MO’ lililofanywa na watu wasiojulikana tarehe...
By Regina MkondeOctober 16, 2018ZACHARIA Hans Pope, Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Klabu ya Simba amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kuunganishwa kwenye kesi...
By Regina MkondeOctober 16, 2018FAMILIA ya Mfanyabiashara, Mohammed Dewji ‘MO’ aliyetekwa tangu Alhamisi ya Oktoka 11 2018, maeneo ya Osterbay jijini Dar es Salaam, imetangaza zawadi nono...
By Regina MkondeOctober 15, 2018UTATA umeibuka kufuatia madai ya kupotea kwa Rais wa Shirika la Polisi la Kimataifa (Interpol), Meng Hongwei baada ya Afisa Mkuu wa masuala...
By Regina MkondeOctober 6, 2018MAOMBI ya Rufaa ya viongozi wa chama cha Chadema yametupiliwa mbali na Mahakama ya Rufaa kutokana na hati ya taarifa ya kusudio la...
By Regina MkondeOctober 5, 2018ALIYEKUWA Rais wa Korea Kusini, Lee Myung-bak amehukumiwa kifungo cha miaka 15 jela baada ya kupatikana na hatia ya makosa ya rushwa. Anaripoti...
By Regina MkondeOctober 5, 2018WAFANYAKAZI wa Kiume katika kampuni ya Chloride Exide nchini Kenya, wametinga ofisini wakiwa wamevaa mavazi ya kike ikiwa ni mkakati wao wa kuhamasisha...
By Regina MkondeOctober 5, 2018KUKOSEKANA kwa usimamizi bora wa rasilimali za maji kumetajwa kuwa sababu ya watanzania takribani milioni 21 kutofikiwa na huduma ya maji safi na...
By Regina MkondeOctober 4, 2018RAIS Mstaafu wa Awamu ya Pili, Alhaji Ali Hassan Mwinyi amesema anamhusudu Rais John Magufuli kutokana na mambo mazuri anayofanya kwa ajili ya...
By Regina MkondeOctober 3, 2018BAADA ya kuteuliwa na kuapishwa kuwa Skauti Mkuu wa Chama cha Maskauti Tanzania, Mwantumu Mahiza ameahidi kuieneza skauti katika vyuo vya kati na...
By Regina MkondeOctober 3, 2018KATIBU Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk. Faraji Mnyepe amemtoa wasiwasi Rais John Magufuli kuhusu kibarua...
By Regina MkondeOctober 3, 2018RAIS John Magufuli leo tarehe 3 Oktoba 2018 amemteua Dk. Arnold Mathias Kihaule kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA)....
By Regina MkondeOctober 3, 2018ZAIDI ya watu 60 wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa tuhuma za uharibifu wa miundombinu ya Shirika...
By Regina MkondeOctober 2, 2018BARAZA la Mitihani la Taifa (NECTA) limewasimamisha kazi maafisa elimu, maafisa taaluma, waratibu wa elimu na wakuu wa shule za msingi wa Wilaya...
By Regina MkondeOctober 2, 2018BARAZA la Mitihani la Taifa (NECTA) limefuta matokeo ya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi wa mwaka 2018 katika shule zote za msingi...
By Regina MkondeOctober 2, 2018IKIWA leo tarehe 1 Oktoba 2018, ni kilele cha siku ya maazimisho ya Wazee Duniani, wazee wameitumia siku hii kuiomba serikali kuhakikisha kundi...
By Regina MkondeOctober 1, 2018BARAZA la Wazee la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), limetaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kubadilisha utaratibu wa kuwapata wabunge, katikati...
By Regina MkondeOctober 1, 2018MWANAMKE mmoja kutoka jimbo la Las Vegas nchini Marekani, Kathryn Mayorga ameibuka hadharani na kumtuhumu nyota wa mpira wa miguu duniani, Cristiano Ronaldo...
By Regina MkondeOctober 1, 2018RAIS John Magufuli amewataka mabalozi wa Tanzania katika nchi za nje ambao hawajatumia vyema madaraka yao katika kuiletea nchi maendeleo, kujiandaa kurudi nyumbani....
By Regina MkondeSeptember 29, 2018RAIS John Magufuli amesema anamuonea huruma Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk. Damas Ndumbaro, kwa kuwa anakwenda...
By Regina MkondeSeptember 29, 2018TAASISI na Mashirika yasiyo ya kiserikali nchini Burundi yamesitishwa kutoa huduma katika kipindi cha miezi mitatu kuanzia mwezi Oktoba hadi Disemba mwaka huu,...
By Regina MkondeSeptember 29, 2018RAIS John Magufuli amesema serikali yake itabadilisha muonekano wa Jiji la Dar es Salaam kupitia miradi mbalimbali ya ujenzi wa miundombinu hasa ya...
By Regina MkondeSeptember 27, 2018RAIS John Magufuli amewakaribisha wabunge na madiwani wa upinzani wanaosumbuka na mizigo katika vyama vyao, kuingia CCM. Anaripoti Regina Kelvin … (endelea). Rais...
By Regina MkondeSeptember 27, 2018RAIS John Magufuli amemteua Mbunge wa Songea Mjini, Dk. Damas Ndumbaro kuwa Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa...
By Regina MkondeSeptember 26, 2018MAREKANI imeitaka serikali ya Rais wa Uganda, Yoweri Museveni kufuta mashtaka ya uhaini iliyofungua mahakamani dhidi ya Mbunge wa Kyadondo Mashariki , Robert...
By Regina MkondeSeptember 25, 2018