SHIRIKISHO la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), liko mbioni kufufua gazeti lake litakalokuwa linatoa habari za wafanyakazi nchini, ambalo litatambulika mtaani kwa jina...
By Regina MkondeApril 27, 2024WANANDOA na watu waliko kwenye mahusiano ya kimapenzi, wamekumbushwa kwamba, zawadi wanazopeana wakati wa furaha, ni marufuku kunyang’anyana wakiwa katika mifarakano. Anaripoti...
By Regina MkondeApril 25, 2024ALIYEKUWA mtangazaji wa kipindi cha Jahazi kinachorushwa na kituo cha Redio cha Clouds Fm, Gardner G Habash, maarufu kama Captain, amefariki dunia leo...
By Regina MkondeApril 20, 2024MBUNGE wa Kisesa, Luhaga Mpina, amemtaka Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, ajiuzulu kwa madai kuwa maagizo 12 aliyoyatoa mwaka 2023 kuhusu migogoro ya...
By Regina MkondeApril 19, 2024SERIKALI imetangaza nafasi za ajira za watumishi wa umma 46,000 katika sekta mbalimbali, ikiwemo 12,000 katika sekta ya elimu na zaidi ya 10,000...
By Regina MkondeApril 18, 2024RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amerejesha utaratibu wa utoaji mikopo inayotokana na asilimia 10 ya mapato ya halmashauri kwa vikundi vya wanawake, vijana...
By Regina MkondeApril 16, 2024SERIKALI imepata hasara ya kiasi cha Sh. 111.76 milioni, baada ya baadhi ya hospitali za rufaa za mikoa kutoa msamaha wa matibabu kwa...
By Regina MkondeApril 16, 2024WIZARA Ofisi ya Rais-TAMISEMI, imetenga fedha kiasi cha Sh. 17.79 bilioni, kwa ajili ya uratibu na kusimamia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa...
By Regina MkondeApril 16, 2024KUFUATIA ajali ya basi la shule ya msingi ya Ghati Memorial, iliyogharimu maisha ya wanafunzi nane, Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu...
By Regina MkondeApril 15, 2024UKAGUZI wa Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichele, kwa mwaka wa fedha wa 2022/2023, umebaini madudu katika vyama...
By Regina MkondeApril 15, 2024MAKUSANYO ya Serikali katika mwaka wa fedha wa 2022/2023 yameongezeka kwa Sh. 3.582 trilioni, hadi kufikia Sh. 41.880 trilioni, kutoka Sh. 38.398 trilioni...
By Regina MkondeApril 15, 2024WATU wanaodai kwamba serikali ya Chama Cha Mapinduzi ni sikivu, basi wafuatilie kuona ilivyofunga masikio yake kusikiliza malalamiko ya wananchi zaidi ya 1,800...
By Regina MkondeApril 15, 2024RIPOTI kuu ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka wa fedha ulioishia tarehe 30 Juni 2023, imewasilishwa bungeni...
By Regina MkondeApril 15, 2024KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Emanuel Nchimbi, amesema ndani ya chama chake kuna changamoto ya wagombea kukataa matokeo ya uchaguzi....
By Regina MkondeApril 13, 2024CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeanza maandalizi ya uchaguzi wa viongozi wa kanda kwa kufungua dirisha la uchukuaji na urejeshaji fomu za...
By Regina MkondeApril 13, 2024CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimesema hakihitaji ushindi wa makandokando katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa 2024 na kwamba kinajipanga kuandaa wagombea bora...
By Regina MkondeApril 13, 2024KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amos Makala, amewataka wananchi wenye madai ya haki ambayo hayajafikishwa mahakamani kuwasilisha migogoro...
By Regina MkondeApril 13, 2024KITENDO cha Serikali kuanza kutumia sheria mpya ya tume huru ya taifa ya uchaguzi ya 2024, pasina kubadili muundo na utendaji wa tume,...
By Regina MkondeApril 12, 2024WAKATI mjadala ukiibuka juu ya hatma ya viongozi wa sasa katika Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), baada ya sheria yake kufanyiwa marekebisho...
By Regina MkondeApril 11, 2024WATU 30 wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, kwa tuhuma za kughushi nyaraka za mafao ili kujipatia fedha...
By Regina MkondeApril 9, 2024SERIKALI imeanza utekelezaji wa mpango jumuishi wa wahudumu wa afya ngazi ya jamii, kwa kuanza kutoa mafunzo ya wahudumu wa afya ngazi ya...
By Regina MkondeApril 8, 2024Mtandao wa wanawake watetezi wa haki za binadamu Tanzania (CWHRDs TZ), umeendesha mkutano wake mkuu uliolenga kuweka mikakati ya kuimarisha harakati za kundi...
By Regina MkondeApril 6, 2024WATU wanaopewa fedha na wapenzi wao kwa ajili ya matumizi mbalimbali, wametakiwa kutunza kumbukumbu ili kutojiweka katika hatari ya kufunguliwa kesi za uhujumu...
By Regina MkondeApril 5, 2024KATIBU mpya wa itikadi na uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla, amesema chama hicho kitaendelea kumpa ushirikiano mtangulizi wake, Paul Makonda,...
By Regina MkondeApril 5, 2024RAIS Daktari Samia Suluhu Hassan, amesema aliyekuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, alikiamsha chama hicho kutoka...
By Regina MkondeApril 4, 2024RAIS Samia Suluhu Hassan, amewaagiza mawaziri wake wakafanyie kazi ripoti ya ukaguzi uliofanywa na Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG), kwa...
By Regina MkondeApril 4, 2024MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, amepanga kushiriki maandamano ya amani yaliyoandaliwa na waumini wa kiislam dhehebu la Shia, kwa...
By Regina MkondeApril 4, 2024SHERIA ya Bima ya Afya kwa Wote, inatarajiwa kuanza kutumika kabla ya mwisho wa mwezi Aprili 2024, baada ya vifungu muhimu kuwasilishwa katika...
By Regina MkondeApril 3, 2024MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema wamejipanga kuhakikisha Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa 2024 na Uchaguzi Mkuu wa...
By Regina MkondeApril 3, 2024BEI za mafuta zimeongezeka kwa mwezi Aprili 2024, ikilinganishwa na bei elekezi zilizotangazwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji...
By Regina MkondeApril 3, 2024ALIYEKUWA Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mzee Yusuph Makamba, amesema chama hicho chini ya uongozi wa mwenyekiti wake taifa, Dk. Samia...
By Regina MkondeApril 2, 2024RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amesaini miswada ya sheria za uchaguzi kwa ajili ya kuwa sheria kamili na kuanza kutumika, licha ya kelele...
By Regina MkondeApril 2, 2024JESHI la Polisi nchini, limesema limeanza uchunguzi wa tukio la gari la Mbunge wa Simanjiro (CCM), Christopher Ole Sendeka, kushambuliwa na risasi na...
By Regina MkondeMarch 30, 2024MASHIRIKA matano ya Serikali yanayojiendesha kibiashara, yamepata hasara ya mabilioni ya fedha katika mwaka wa fedha ulioisha wa 2022/23. Anaripoti Regina Mkonde, Dar...
By Regina MkondeMarch 28, 2024RIPOTI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere, kwa mwaka wa fedha wa 2022/23, imeibua madudu katika halmashauri...
By Regina MkondeMarch 28, 2024RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali yake itafanyia kazi mambo yaliyoibuliwa katika Ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali...
By Regina MkondeMarch 28, 2024DENI la Serikali imeongezeka kwa takribani Sh. 11 trilioni sawa na asilimia 15, kutoka Sh. 71.31 trilioni (2021/22) hadi kufikia Sh. 82.25 trilioni...
By Regina MkondeMarch 28, 2024MAPYA yameibuka kuhusu zoezi la Serikali kuwahamisha kwa hiari wamasai waliokuwa wanaishi ndani ya hifadhi ya Ngorongoro kwenda maeneo ya Msomera mkoani Tanga,...
By Regina MkondeMarch 27, 2024RAIS wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, amempongeza mwanasiasa wa upinzani, Bassirou Diomaye Faye, kwa kufanikiwa kushinda kiti cha urais wa Senegal, katika...
By Regina MkondeMarch 27, 2024USHINDI wa aliyekuwa mgombea urais wa upinzani nchini Senegal, Bassirou Diomaye Faye ambaye amevunja rekodi ya kuwa Rais mwenye umri mdogo zaidi barani...
By Regina MkondeMarch 26, 2024KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, amewataka viongozi wa chama hicho na watu wanaojaribu kumtenganisha Rais Dk....
By Regina MkondeMarch 26, 2024SERIKALI ya Tanzania inatarajiwa kupewa msaada wa fedha kiasi cha Sh. 980 bilioni na Serikali ya Marekani, kwa ajili kuongeza nguvu katika mapambano...
By Regina MkondeMarch 26, 2024AJALI ya gari iliyotokea usiku wa kuamkia tarehe leo 26 Machi 2024, maeneo ya Nyamwage mkoani Pwani, imekatisha maisha ya waandishi wa habari...
By Regina MkondeMarch 26, 2024GEORGE Francis anasikitika; anatembea akiwa na mawazo mengi, hajui la kufanya. Kinachomfanya awe katika hali hiyo ni baada ya kujikuta miaka 18 aliyotumika...
By Regina MkondeMarch 25, 2024CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimetangaza baraza lake kivuli la mawaziri litakalobeba majukumu ya kushughulikia changamoto zinazowakabili wananchi. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam…(endelea). Baraza...
By Regina MkondeMarch 20, 2024RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan amesema licha ya Tanzania kuongeza jitihada za kuongeza ushiriki wa wanawake katika vyombo vya maamuzi, bado kuna ombwe...
By Regina MkondeMarch 15, 2024CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimemhoji maswali nane Rais Dk. Hussein Mwinyi, kikimtaka atoke hadharani ayajibu, kuhusu madai yao ya kutaka kujiondoa katika Serikali ya...
By Regina MkondeMarch 15, 2024BAADHI ya wajane, yatima na watu wenye ulemavu waishio katika Kata ya Kivule wilayani Ilala mkoani Dar es Salaam, wamepewa msaada wa vyakula...
By Regina MkondeMarch 14, 2024SERIKALI imeziagiza halmashauri zote nchini kuweka sheria kali kwa ajili ya kuwashughulikia watu watakaotiririsha maji taka wakati wa mvua, lengo likiwa ni kudhibiti...
By Regina MkondeMarch 12, 2024MAGONJWA yasiyopewa kipaumbele ya Mabusha na Matende, bado yanaendelea kusumbua kata 10 za Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, mkoani Dar es Salaam, kutokana...
By Regina MkondeMarch 12, 2024