Sunday , 5 February 2023

Elimu

Elimu

ElimuHabari Mchanganyiko

Waliopata Division one St Anne Marie Academy waula, Waahidiwa kupelekwa Ngorongoro, Mikumi

WANAFUNZI wa shule ya St Anne Marie Academy waliofanya vizuri kwenye matokeo ya kidato cha nne wanaandaliwa ziara ya kutembelea mbuga za wanyama...

ElimuMakala & Uchambuzi

Waraka maalumu kwa NECTA, “hawapaswi kuungwa mkono”

HATUA iliyotangazwa na Baraza la Taifa la Mitihani (NECTA), ya kufuta utaratibu wa kutangaza shule bora na wanafunzi bora katika matokeo ya mitihani...

Elimu

NACTVET yafungua dirisha la udahili

  BARAZA la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) limefungua dirisha la udahili wa mkupuo wa mwezi Machi...

Elimu

Prof. Mwakalila awafunda wanafunzi Chuo Mwalimu Nyerere, “ulipaji ada ni muhimu”

  MKUU wa Chuo cha Kumbukumbu cha Mwalimu Nyerere (MNMA), Profesa Shadrack  Mwakalila amewataka wanafunzi wa mwaka wa kwanza wa masomo kwa mwaka...

ElimuMakala & UchambuziTangulizi

Shule ya msingi yajengwa miaka 25 bila kukamilika, wanakijiji wachoka kuchangia

  Wakazi wa Kijiji cha Makomba kilichopo kata ya Makazi katika wilaya ya Uyui mkoani Tabora wameililia serikali kwa kuwatenga katika miradi ya...

Elimu

Musoma Vijijini wafanya harambee posho za walimu, ujenzi wa sekondari

  WAKAZI wa Jimbo la Musoma Vijijini, wakiongozwa na Mbunge wao, Profesa Sospeter Muhongo, wamefanya harambee ya kuchangisha fedha za kukamilisha ujenzi wa...

Elimu

Wizara ya Elimu kuchunguza tuhuma vitendo vya ulawiti shuleni

  SERIKALI ya Tanzania kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, imetuma timu maalum kwenda mkoani Kilimanjaro kuchunguza tuhuma za wanafunzi kufundishwa vitendo...

Elimu

Walimu tuache kufundisha kwa mazoea: Rais Samia

  RAIS wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa walimu wote nchini kuacha kufundisha kwa mazoea na badala yake wajifunze mbinu mpya...

ElimuHabari

Wanafunzi 14 kidato cha pili wafutiwa matokeo kwa kuandika matusi

BARAZA la Mitihani Tanzania (NECTA) limefuta matokeo yote ya wanafunzi 14 walioandika matusi katika mtihani wa Upimaji wa Kitaifa wa kidato cha pili...

ElimuHabariTangulizi

Tazama matokeo ya kidato cha pili hapa

BARAZA la Mitihani Tanzania (Necta) leo tarehe 4 Januari, 2023 limetangaza matokeo ya kidato cha pili na darasa la nne mwaka 2022. https://matokeo.necta.go.tz/ftna2022/ftna.htm

Elimu

Serikali yapiga marufuku wanafunzi waliopangiwa shule za kutwa kuhamia bweni

  SERIKALI imepiga marufuku wanafunzi wa kidato cha kwanza 2023 waliochaguliwa kujiunga na shule za kutwa, kuhamia shule za bweni, hadi zitakapotokea nafasi...

Elimu

Wizara ya Elimu yaipa Zanzibar vishikwambi vya walimu 6,600

WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia leo Desemba 22, 2022 imetoa jumla ya vishikwambi 6,600 kwa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali...

ElimuTangulizi

Haya hapa majina wanafunzi waliochaguliwa kujiunga VETA

  VYUO vya Mafunzo ya Ufundi Stadi nchini (VETA) vimetoa orodha ya majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na mafunzo ya ufundi stadi kwa...

ElimuHabari

Walimu waipongeza Serikali kulipa malimbikizo ya bilioni 117 , yataka kasi iongezeke

  CHAMA cha Walimu Tanzania (CWT), kimeipongeza Serikali inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan, kwa kulipa malimbikizo ya madai ya walimu 88,297 yenye...

Elimu

Serikali yaombwa kufuta huduma za bweni kwa shule msingi

Serikali ya Tanzania imeombwa kufuta huduma za mabweni katika shule za awali hadi msingi, ili kutoa nafasi kwa watoto kulelewa na familia zao...

ElimuHabari

Serikali yaahidi kutatua changamoto za DMI

WIZARA ya Ujenzi na Uchukuzi imeahidi kuzifanyia kazi changamoto mbalimbali zinazokikabili Chuo ch bahari Dar es Salaam (DMI). Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea) Ahadi hiyo...

ElimuHabari

DMI yaomba meli ya mafunzo kwa wahitimu

CHUO cha Bahari Dar es Salaam, (DMI), kimeomba serikali ikipatie meli ya mafunzo kwaajili ya kuwaongezea ujuzi wahimu wa mafunzo chuoni hapo. Anaripoti...

Elimu

Wanafunzi 1,143 wajitokeza mashindano ya tafiti za kisayansi

  ZAIDI ya wanafunzi 1143 wamejitokeza kuomba kushiriki mashindano ya gunduzi na tafiti za kisayansi yaliyoandiliwa na Shirikisho la Wanasayansi Chipukizi (YST) ambayo...

ElimuHabari

Jaji Mkuu mstaafu awatunuku wahitimu 943 ARU

WAKUFUNZI 54 wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU), wamepata ufadhili wa kusoma Shahada za Uzamili kupitia mradi unaolenga kufanya tafiti kutatua changamoto za Mkoa...

ElimuHabari

Anne Makinda afurahia ubora wahitimu HKMU

CHUO Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki (HKMU), kimeiomba serikali kuendelea kuongeza mikopo na ufadhili kwa wanafunzi wa fani za afya hali ambayo...

Elimu

Happines Sanga awa mwanafunzi bora ARU

WANAFUNZI 96 wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU),   wametunukiwa tuzo mbalimbali kutokana na kufanya vizuri kitaaluma kwa mwaka wa masomo 2021/22. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)...

Elimu

Darasa la saba 2022 wafeli kiingereza

  MATOKEO ya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi (PSLE) 2022 yanaonesha kuwa ufaulu wa watahiniwa katika masomo yote uko juu ya wastani...

ElimuTangulizi

Tazama hapa matokeo ya Darasa la Saba 2022

  BARAZA la Mitihani la Tanzania (NECTA) leo Alhamisi limetangaza matokeo ya darasa la saba ambapo jumla ya watahiniwa 1,730,402 kati ya watahiniwa...

Elimu

Kikwete ataka utafiti uchache wa wanaume kujiunga UDSM

  MKUU wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Dk. Jakaya Kikwete ametaka utafiti ufanyike ili kujua kwa nini idadi ya wanaume...

Elimu

Kikwete ahoji wanaume wamekwenda wapi

  MKUU wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Dk. Jakaya Kikwete, ametaka utafiti ufanyike ili kujua kwa nini idadi ya wanaume...

ElimuHabari

Anne Makinda kutunuku wahitimu 291 HKMU

SPIKA Mstaafu ambaye ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Hubert Kairuki (HKMU), Anne Makinda anatarajiwa kuwatunuku wahitimu 291 wa masomo mbalimbali kwenye mahafali...

Elimu

Mapitio sera, mitaala ya elimu msingi yakamilika

  MAPITIO ya Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 na Mitaala ya Elimu Msingi yamekamilika na yanasubiri mchakato wa ndani ya...

Elimu

Waliokosa mikopo elimu ya juu wapewa siku 7 kukata rufaa

BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imefungua dirisha la rufaa ndani ya siku saba kwa wanafunzi ambao hawakuridhika na...

ElimuTangulizi

566,840 kidato cha IV kuanza mitihani ya Taifa kesho

WATAHINIWA 566,840 wa kidato cha nne nchini Tanzania wanatarajia kuanza mitihani yao ya Taifa kesho Jumatatu tarehe 14, Novemba, 2022. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

ElimuHabariTangulizi

Waziri Ndalichako aitaka CBE kujitanua zaidi mikoani

SERIKALI imevitaka vyuo kuzingatia mafunzo ya vitendo kwa wanafunzi vyuoni ili kuondoa malalamiko kutoka kwa waajiri kwamba wahitimu wengi wanahitimu bila kuwa na...

ElimuHabari

Siku ya wahasibu duniani yafana Dar

WAHASIBU na Wakaguzi wa Hezabu nchini wametakiwa kuweka mbele maslahi ya umma, kuwa waadilifu na kuzingatia maadili na sheria zinazowaongoza kwenye kazi zao...

ElimuHabari

TRA yaipongeza CBE kwa kuanzisha klabu ya kodi

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), imepongeza Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), kwa kuanzisha klabu ya kodi kwa wanafunzi wanaosoma kwenye chuo hicho...

Elimu

Serikali yakamilisha rasimu marekebisho sera ya elimu

SERIKALI ya Tanzania imekamikisha rasimu ya marekebisho ya sera ya elimu, ambayo hivi karibuni itatolewa ili wadau kutoa maoni kwa ajili ya kuiboresha...

ElimuHabari

Watakaofiwa na wazazi St Anne Marie kuendelea kusoma bure

MBUNGE wa Bukoba Vijijini, Dk. Jasson Rweikiza, amesema mwanafunzi ambaye atafiwa na wazazi wake wakati akiendelea na masomo kwenye shule yake ya St...

ElimuHabari Mchanganyiko

SUMAJKT yatoa msaada jozi 500 za viatu kwa wanafunzi vijijini

  SHIRIKA la Uzashaji Mali la Jeshi la Kujenga Taifa SUMAJKT imekabidhi jozi 500 za viatu vya wanafunzi kwa ajili ya kusaidia kampeni...

Elimu

Wadau kupeana uzoefu ubunifu wa kiteknolojia

  WADAU wa ubunifu wa teknolojia katika masuala ya kilimo, fedha na elimu wamekutana jijini Dar es Salaam kubadilishana uzoefu ili kukuza bunifu...

ElimuHabari za Siasa

Bodi ya Mikopo ya wanafunzi kuhojiwa bungeni

  SPIKA wa Bunge, Dk. Tulia Ackson, ameitaka Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), ifike mbele ya Kamati ya...

ElimuHabari

Dk. Mwinyi mgeni rasmi kongamano la uchumi na biashara la CBE

CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kimeandaa kongamano la maendeleo ya biashara na uchumi ambalo linatarajaiwa kufunguliwa na Rais wa Zanzibar Dk. Hussein...

ElimuTangulizi

Waziri awafuta kazi walimu waliombadilishia namba ya mtihani mwanafunzi la 7

  SERIKALI imeifungia Shule ya Awali na Msingi ya Chalinze Modern Islamic kuwa kituo cha Mitihani pamoja na kuwafuta kazi wasimamizi wa mtihani...

Elimu

Waziri Mkenda aionya Bodi ya Mikopo ‘nitakula kichwa cha mtu’

  WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda ametuma salamu kwa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) kwamba ‘atakula...

ElimuMakala & UchambuziTangulizi

Mwanachuo aliyepasuliwa korodani na Polisi afichua mazito

  MWANACHUO wa Chuo Kikuu cha SAUT mkoani Mwanza, Warren Lyimo anayedaiwa kupigwa na kuteswa  na Polisi hadi kupasuka korodani, amesimulia mambo mazito na...

Elimu

Wito watolewa wananchi kujiunga elimu ya watu wazima

TAASISI  ya Elimu ya watu wazima (TEWW) imetoa wito kwa wananchi kujiunga na program za elimu ya watu wazima. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma...

ElimuHabari

Mbunge aipongeza shule ya Brilliant kwa kutopandisha ada

  MBUNGE wa Viti Maalum, (CCM), Dk. Thea Ntara, ameipongeza shule ya Brilliant kwa kutopandisha ada kwa miaka mine mfululizo na amezitaka shule...

ElimuHabari

St Mary’s Mbezi Beach yapongezwa kwa maendeleo ya taaluma

WAZAZI wameshauriwa kufuatilia kwa karibu maendeleo ya watoto wao kitaaluma na tabia ili waweze kufanya vizuri kwenye mitihani huku shule ya St Mary’s...

ElimuHabari

Shule ya Hazina yaanza kutoa elimu bure

KATIKA jitihada za kuunga mkono serikali ya awamu ya sita katika utoaji wa elimu, Shule Kimataifa ya Hazina ya Magomeni jijini Dar es...

Elimu

Rais Samia awatakia heri watahiniwa darasa la saba

RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewatakia heri watahiniwa wanaofanya mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi, huku akiwaahidi kwamba Serikali itahakikisha inaandaa mazingira...

Elimu

Waliopata daraja la kwanza mitihani ya Taifa Ipepo Sekondari wakabidhiwa zawadi

  WADAU wa elimu kata ya Ipepo Wilaya Makete Mkoani Njombe wametimia ahadi ya kutoa zawadi kwa wanafunzi wa Sekondari ya Ipepo waliopata...

ElimuHabari

CBE yawashukuru waliochangia harambee, yakusanya shilingi milioni 56

  CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kimefanikiwa kukusanya shilingi milioni 56 kwaajili ya ujenzi wa mabweni ya wasichana kwenye kampasi yake ya...

Elimu

Mwalimu Benki yazindua “Bando la Mwalimu”, Serikali yatoa neno

BENKI ya Mwalimu imezindua Bando la Mwalimu kupitia kampeni yake ya ‘Asante Mwalimu’ yenye lengo la kurudisha shukrani kwa mwalimu, ambapo Serikali imeahidi...

ElimuHabari

Serikali yaipongeza St Anne Marie kwa kutochuja wanafunzi, Yaahidi kuendelea kuongoza Dar/kitaifa

  SERIKALI imepongeza shule ambazo hazina kawaida ya kuchuja wanafunzi unapofikia muda wa mitihani ya kitaifa iiwemo St Anne Marie Academy . Mwandishi...

error: Content is protected !!