Elimu
SERIKALI imekiri kukithiri kwa majanga ya moto mashuleni na kusababisha uharibifu mkubwa wa majengo, anaandika Dany Tibason. Akijibu swali bungeni leo, Naibu Waziri...
By Danson KaijageMay 18, 2017SAMIA Suluhu, Makamo wa Rais wa Tanzania anatarajiwa kuwa mgeni rasmi wa Kongamano ya Jinsia kwa Taasisi za Elimu ya Juu lililoandaliwa na...
By Hamisi MgutaApril 24, 2017MBUNGE wa Jimbo la Mtwara Vijijini Hawa Ghasia (CCM) amejikuta katika wakati mgumu baada ya mezomewa na baadhi ya wabunge pamoja na wadau...
By Danson KaijageApril 10, 2017UTAFITI wa taasisi inayoshughulikia masuala ya elimu ‘hakiElimu’ unaonesha kuwa serikali haijafikia lengo la sera ya kutoa elimu bure iliyoahidiwa mwaka 2015, anaandika...
By Hamisi MgutaApril 5, 2017FRANCIS Chang’ah, Mkuu wa Wilaya ya Ukerewe, mkoani Mwanza, ameamuru Eladislaus mwalimu wa shule ya msingi ya Uhuru, awekwe rumande kwa muda usiofahamika...
By Moses MsetiMarch 3, 2017KIJANA Alphonce Lusako amesema atapigania haki yake ya kusoma ndani ya ardhi ya Tanzania mpaka mwisho, licha ya Chuo Kikuu cha Dar es...
By Charles WilliamFebruary 4, 2017SERIKALI imesema licha ya malalamiko ya kuchelewa kwa ajira za walimu lakini hakuna wahitimu wa kutosha wa taaluma hiyo waliopeleka vyeti vyao ili...
By Charles WilliamFebruary 3, 2017MATOKEO ya mitihani ya kidato cha nne iliyofanyika mwaka jana (2016) yametolewa leo ambapo shule za serikali zimeendelea kufanya vibaya huku zile za...
By Mwandishi WetuJanuary 31, 2017TUHUMA kuwa Shule za Feza zilizopo hapa nchini zinamilikiwa na watu wanaojihusisha na vitendo vya ugaidi nchini Uturuki na kwamba zinapaswa kufutwa, zinaweza...
By Charles WilliamJanuary 27, 2017SERIKALI inadaiwa jumla ya Sh. 254.1 milioni na walimu wa Halmashauri ya Bahi mkoani Dodoma, ikiwa ni malimbikizo ya mishahara na posho, anaandika...
By Danson KaijageJanuary 13, 2017