Friday , 19 April 2024

Elimu

Elimu

ElimuHabari Mchanganyiko

Wanafunzi 214 wafutiwa matokeo, 555 wazuiliwa

  Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza kufuta matokeo yote ya watahiniwa 214 waliofanya udanganyifu katika upimaji kitaifa wa darasa la nne,...

ElimuHabari

Somo la Hisabati pasua kichwa matokeo mtihani Kidato cha nne (2021

Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha nne mwaka 2021 huku yakionesha somo la Basic Mathematics ndilo...

ElimuHabariTangulizi

Shule 10 bora kitaifa mtihani wa Kidato cha nne (2021) hizi hapa, Dar yachomoza

  Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha nne mwaka 2021 huku mkoa wa Dar es Salaam...

ElimuTangulizi

Matokeo kidato cha nne 2021 haya hapa

  Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta) leo Jumamosi tarehe 15 Januari 2022, limetangaza matokeo ya kidato cha nne 2021. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)...

Elimu

Wadau wajadili elimu jumuishi, kuwainua wenye ulemavu

  SHIRIKA la Light for the Word, limeitaka jamii ya Kitanzania kushirikiana kwa pamoja kusaidia kutatua changamoto zinazowakabili wanafunzi ikiwemo za macho na...

Elimu

NBC yatoa mifuko 920 ya saruji, madawati 100 kuboresha elimu Mara, Mtwara

  BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imetoa msaada wa mifuko ya saruji 920 (sawa na tani 46) yenye thamani ya sh milioni...

Elimu

Wasira awapa mbinu wahitimu Chuo cha Mwalimu Nyerere

  MWENYEKITI wa bodi ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere nchini Tanzania, Stephen Wasira amewataka wahitimu wa chuo hicho kuangalia fursa zitakazowasaidia katika maisha...

ElimuTangulizi

Waliofaulu darasa la saba 2021 wachaguliwa kujiunga kidato cha kwanza 2022

  JUMLA ya wanafunzi 907,802 waliofaulu mtihani wa darasa la saba mwaka huu wamechaguliwa kujiunga na kidato cha mwaka mwaka 2022. Anaripoti Mwandishi...

ElimuHabari za Siasa

Wanafunzi wapya Chuo cha Mwalimu Nyerere wakaribishwa kwa ujumbe

  MKUU wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, jijini Dar es Salaam, Prof Shadrack Mwakalila amewataka wanafunzi wa chuo hicho kujiepusha na...

ElimuTangulizi

Waliopata ujauzito kurudi shule

  SERIKALI imesema imeamua kuondoa vikwazo vya elimu hususani kwa wasichana ambao wamekatisha masomo yao kwa kukumbwa na matatizo mbalimbali ikiwamo kupata ujauzito....

Elimu

Mkuu Chuo Uhasibu Arusha amlilia Rais Samia uhaba wa wahadhiri

  MKUU wa Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA), Prof. Eliamani Sedoyeka amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kutupia jicho elimu ya juu kwani ina...

ElimuHabari Mchanganyiko

GGML yamwaga milioni 248 kuwezesha watumishi wake kuhitimu Shahada ya uzamili

  JUMLA ya watumishi waandamizi 18 wa kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) wamehitimu Shahada ya Uzamili ya Usimamizi wa Biashara kutoka...

ElimuTangulizi

Kidato cha nne waanza mitihani, Rais Samia awatakia kheri

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan Hassan amewatakia kheri wanafunzi wa kidato cha nne, walioanza mitihani yao ya Taifa leo Jumatatu tarehe...

AfyaElimu

Mitihani ya utabibu iliyovuja kurudiwa, waliovujisha kikaangoni

  BARAZA la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) limeagiza kurudiwa upya kwa mitihani iliyovuja ya utabibu ndani ya wiki sita kuanzia tarehe...

Elimu

Lindi, Mara, Dodoma kinara ongezeko ufaulu darasa la saba

  MIKOA ya Lindi, Mara na Dodoma, imetajwa kinara kwa kuwa na kiwango kikubwa cha ufaulu wa mtihani wa darasa la saba, katika...

Elimu

Watahiniwa 393 wafutiwa matokeo mtihani darasa la saba

  BARAZA la Mitihani Tanzania (NECTA), limefuta matokeo ya watahiniwa 393, waliobainika kufanya udanganyifu wakati wa kufanyika mitihani ya kumaliza elimu ya msingi....

ElimuTangulizi

Ufaulu darasa la saba waongezeka kwa 6.69% , Kiswahili chang’ara

  BARAZA la Mitihani Tanzania (NECTA), limesema asilimia 81.97 ya wanafunzi 1,107,460, waliotunukiwa matokeo ya mtihani wa darasa la saba, uliofanyika tarehe 8...

ElimuTangulizi

Haya hapa matokeo ya mtihani wa Darasa la Saba 2021

  BARAZA la Mitihani la Taifa Tanzania (NECTA), leo limetangaza matokeo ya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi (Darasa la Saba) mwaka 2021....

ElimuHabari Mchanganyiko

TAMWA yalaani tuhuma za ngono UDOM yaipa ujumbe Takukuru

  CHAMA cha Wanahabari Wanawake Tanzania, (TAMWA) kinalaani tukio la Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Peter Mswahili kutuhumiwa kujihusisha na mahusiano...

Elimu

Prof. Ndalichako aanika matumizi mabilioni ya fedha za UVIKO-19, aonya wafujaji

  WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, imepanga kutumia mabilioni ya fedha zilizotokana na Mpango wa Serikali wa Kuinua Uchumi na Kukabiliana na...

Elimu

Wanafunzi 7,364 wapangiwa mkopo wa bilioni 19.4 kwa awamu ya pili

  BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza orodha ya awamu ya pili yenye wanafunzi 7,364 wa mwaka wa...

Elimu

Prof. Ndalichako aipa rungu TCU wanaowasajilia vyuo waombaji

  WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia nchini Tanzania, Profesa Joyce Ndalichako ameitaka Tume ya Vyuo Vikuu nchini humo (TCU) kuwachukua hatua taasisi...

AfyaElimuHabari za Siasa

Serikali kujenga madarasa 15,000, vituo vya afya 250

  RAIS Samia Suluhu Hassan amesema kuna fedha ambayo ameipata na sasa anatarajia kushirikiana na halmashauri zenye uwezo kifedha kujenga madarasa 15,000 nchi...

ElimuHabari za SiasaTangulizi

Veta kujengwa kila halmashauri Tanzania

  SERIKALI ya Tanzania inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan imedhamiria kuendeleza ujenzi wa Vyuo vya Ufundi Stadi (Veta) kwa kila halmashauri. Anaripoti...

Elimu

Serikali kupanua shule 100 zipokee wanafunzi wa kidato cha 5, 6

  SERIKALI imepanga wa kuongeza upanuzi wa shule 100 ili ziwe na uwezo wa kupokea wanafunzi wa kidato cha tano na sita. Anaripoti...

ElimuHabari Mchanganyiko

Serikali, Huawei Kuwaendeleza Wanawake Sekta Ya TEHAMA

SERIKALI imeahidi  kushirikiana na kuunga mkono  jitihada za kampuni ya Mawasiliano ya Huawei katika kuweka mkazo zaidi  na kuwaendeleza wanawake katika sekta ya...

Elimu

Nape: Serikali itoe mikopo kwa wanafunzi kidato cha tano, sita

  MBUNGE wa Mtama, Nape Nnauye (CCM) ameitaka Serikali kutoa mikopo kwa wanafunzi wa kidato cha tano na sita kama ilivyo kwa wanafunzi...

ElimuTangulizi

Mkakati mpya wanafunzi wanaopata ujauzito kurejea shule

  SERIKALI ya Tanzania, imeweka mkakati mpya kwa wanafunzi waliokatisha masomo kwa kupata ujauzito kuwawezesha kuwaendelea kimasomo. Anaripoti Mwanaharusi Abdallah, TUDARCo … (endelea)....

Elimu

Wanafunzi elimu ya juu wapewa wiki mbili kukamilisha maombi ya mkopo

  BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetoa muda wa wiki mbili kwa wanafunzi ambao hawajakamilisha maombi ya mkopo...

Elimu

Udahili waanza shule mbili zilizojengwa na GGML, Halmashauri Geita 

Wanafunzi wa kidato cha tano katika Shule ya Sekondari Bugando ambayo ni shule ya sekondari ya pili ya serikali katika Halmashauri ya Wilaya...

Elimu

Serikali yakwama kuzuia kesi ya kupinga malipo elimu juu

  MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, imetupilia mbali mapingamizi ya Serikali, katika kesi Na. 16/2021, iliyofunguliwa na Alexandra Bakunguza, kupinga elimu ya juu kutolewa...

Elimu

Majaliwa atoa maagizo wanufaika mafunzo ya ufundi

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewataka vijana waliopata ufadhili wa Serikali kupitia programu maalum ya kupata mafunzo ya ufundi stadi watumie...

Elimu

Vyuo vikuu Tanzania vyatakiwa kupitia mitaala

  WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia nchini Tanzania, imevitaka vyuo vikuu na taasisi zingine za elimu kufanya mapitio ya mitalaa ili iweze...

ElimuTangulizi

Mtaka akaidi agizo la Prof. Ndalichako hadharani

  MKUU wa Mkoa wa Dodoma, Anthony Mtaka, amekaidi kutii agizo la Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako, la kuzuia...

ElimuTangulizi

Mambo tisa yaibuka kwenye mjadala mabadiliko mifumo ya elimu

  TAKRIBANI mambo tisa, yameibuka katika mkutano wa wadau, wa kujadili namna ya uboreshaji mitaala ya elimu nchini Tanzania. Anaripoti Regina Mkonde, Dar...

Elimu

Mitaala ya Elimu Tanzania kufumuliwa tena

  SERIKALI ya Tanzania iko mbioni kufanya maboresho ya mitaala ya elimu ya msingi, vyuo vya kati na ufundi stadi pamoja na vyuo...

Elimu

Majaliwa aagiza kufufuliwa madarasa MEMKWA

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewataka wakurugenzi wa halmashauri zote nchini (DED), kuhakikisha wanafufua madarasa kwa ajili ya Mpango wa Elimu...

Elimu

Mfumo wa elimu Tanzania kujadiliwa

  HUSNA Sekiboko, mbunge wa viti maalum, aiomba Serikali ya Tanzania, kufanya marekebisho ya mtaala wa elimu ya msingi na sekondari. Anaripoti Jemima...

Elimu

Majaliwa atoa maagizo NACTE

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, ameliagiza Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE), liongeze juhudi katika usimamizi wa taasisi na...

Elimu

Kilio darasa la saba kunyimwa ajira serikalini chafikishwa bungeni

MBUNGE Viti Maalum asiye na chama bungeni, Nusrat Hanje, amefikisha bungeni kilio cha wahitimu wa darasa la saba, wanaosoma katika Vyuo vya Ufundi...

ElimuHabari za Siasa

Ajira ualimu kizungumkuti, 89,958 wajitosa, nafasi ni 6,949

  WAZIRI wa Ofisi ya Rais-Tamisemi, Ummy Mwalimu, amekiri uwepo wa tatizo la ukosefu wa ajira za ualimu nchini, akisema kwamba, nafasi zinazotolewa...

Elimu

Mbunge ahoji vyuo vya kikanda, Serikali yamjibu

  SERIKALI ya Tanzania, imepanga kuboresha vyuo vikuu na taasisi za elimu ya juu, kwa kukarabati na kujenga miundombinu mipya pamoja na kuongeza...

Elimu

Prof. Ndalichako aweka wazi vipaumbele 2021/22

  WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia nchini Tanzania, Profesa Joyce Ndalichako amebainisha vipaumbele vitakavyofanyiwa kazi mwaka wa fedha 2021/22, ikiwemo kufanya mapitio...

Elimu

Tozo 6% bodi ya mikopo kuondolewa Julai 1

  WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia nchini Tanzania imesema, tozo ya asilimia sita inayotozwa kila mwaka na Bodi ya Mikopo ya Elimu...

Elimu

Mil 250 kukamilisha zahanati Minyeye, Mnung’una, Msikii

  SERIKALI ya Tanzania, imetenga Sh. 250 milioni kwa ajili ya kukamilisha maboma matano ya Zahanati ya Minyeye, Mnung’una na Msikii katika Wilaya...

Elimu

Bilioni 7.15 kutatua tatizo la madawati shule za msingi

  SERIKALI ya Tanzania, imetenga Sh.7.15 bilioni, kwa ajili ya kutengeneza madawati 710,000 kwa mwaka wa fedha 2021/2022 yatakayotumika shule za msingi. Anaripoti...

Elimu

Serikali kuanzisha mashindano Insha za Muungano

  SERIKALI ya Tanzania imesema, itaanzisha mashindano ya uandishi wa Insha kuhusu masuala ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, ili kuwawezesha vijana kufahamu...

Elimu

Serikali yatenga Mil 605 ukarabati Chuo Tango

  SERIKALI ya Tanzania inaendelea na ukarabati wa Chuo cha Maendeleo ya Wananchi, unaogharimu Sh. 605.2 milioni. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea)....

ElimuHabari Mchanganyiko

Ujuzi ni kipaumbele cha ajira – Majaliwa

  KASIM Majaliwa, Waziri Mkuu wa Tanzania amesema, ujuzi wa vijana utaangaliwa zaidi badala ya kuangalia viwango vya elimu yao. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Elimu

CWT waja juu, wagomea bodi mpya

  CHAMA cha Walimu Tanzania (CWT), kimegomea uanzishwaji wa Bodi ya Kitaaluma ya Walimu kwa madai, imelenga kumkandamiza mwalimu. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma...

error: Content is protected !!