Saturday , 15 June 2024

Tangulizi

MAIN STORY: Minimum – a picture, video, audio and pull-quote. It might also include a picture gallery, a text box (2 paragraphs – linking to a profile), a time line, a fact file (list of bullet points), Q&A, a map and embedded tweet(s).

Habari MchanganyikoHabari za SiasaTangulizi

Samia: Wakuu wa mikoa, wilaya wanaendeleza ubabe

RAIS Samia Suluhu Hassan amesema bado wakuu wa wilaya na mikoa hawafuati waraka uliotolewa na Serikali unaoelekeza uzingatiaji wa sheria na kanuni katika...

Habari za SiasaKimataifaTangulizi

Ramaphosa achaguliwa tena kuwa rais Afrika Kusini

Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa amechaguliwa na wabunge wa nchi hiyo kuanza muhula wa pili madarakani. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea)....

Habari za SiasaKimataifaTangulizi

DA, ANC waridhia kuunda serikali ya mseto Afrika Kusini

Chama tawala nchini Afrika Kusini cha African National Congress, ANC, kimefikia makubaliano na chama cha mrengo wa kati cha Democratic Alliance (DA) pamoja...

Habari za SiasaTangulizi

Gesi asilia, petroli kodi juu

Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba amependekeza kufanya marekebisho kwenye Sheria ya Ushuru wa Barabara na Mafuta, Sura 220 ili kutoza Sh 382...

Habari za SiasaTangulizi

Bilioni 155.4 kugharamia kicheko cha wastaafu 2022-2030

Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba amesema jumla ya Sh 155.4 bilioni zinatarajiwa kupungua kwenye mapato ya Serikali kutokana na pendekezo la kufanya...

BiasharaHabari za SiasaTangulizi

Ushuru kwenye bia, urembo kuchangia bima ya afya

Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba amependekeza kufanya marekebisho kwenye Sheria ya Ushuru wa Bidhaa, Sura 147  ili kuelekeza  asilimia mbili  ya mapato...

BiasharaHabari za SiasaTangulizi

Kamari kodi juu kwenda kuchangia bima ya afya

Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba amependekeza kutoza ushuru wa bidhaa kwa kiwango cha asilimia 10 kwenye thamani ya dau la kamari kwenye...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Mwigulu: Rais Samia amekopa trilioni 17.2

Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba amesema katika kipindi cha Serikali ya Awamu ya Sita, wamekopa jumla ya Sh 17.2 trilioni kutoka katika...

Habari MchanganyikoHabari za SiasaTangulizi

Samia apandisha kikokotoo kutoka asilimia 33-40

HATIMAYE Serikali imesikia kilio cha wastaafu wa utumishi wa umma kuhusu mabadiliko ya kikokotoo baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kuagiza kuongezwa malipo...

Habari MchanganyikoHabari za SiasaTangulizi

Polisi wamtia mbaroni RC wa zamani aliyedaiwa kulawiti

Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linamshikilia aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu (RC) Dk Yahya Nawanda kwa tuhuma za kumlawiti mwanafunzi wa Chuo...

Habari za SiasaTangulizi

Mbunge Dk. Shogo Mlozi afariki dunia

Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) ambaye pia ni Mkurugenzi wa Taasisi ya kusaidia wanawake na vijana kujikwamua kiuchumi ya FUNGUA TRUST,...

KimataifaTangulizi

Boti yazama DRC, 80 wafariki dunia

JUMLA ya watu 80 wameripotiwa kufariki dunia huko nchini Congo DRC- baada ya boti waliyokuwa wakisaifiri kuzama kwenye mto unaofahamika kwa jina la...

Habari za SiasaTangulizi

ACT Wazalendo wapinga TAMISEMI kusimamia uchaguzi serikali za mitaa

Chama cha ACT Wazalendo kwa kushirikiana na Asasi za Kiraia kinatarajia kufungua kesi kuzuia hatua za maandalizi ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia: Waliopiga kelele mama kauza bandari, faida ni hii

RAIS Samia Suluhu Hassan amesema licha ya kupigiwa kelele kuwa ameuza bandari baada ya kuruhusu wawekezaji wawili kwenye bandari ya Dar es Salaam,...

Habari za SiasaKimataifaTangulizi

Makamu Rais Malawi, wengine 9 wafariki kwa ajali ya ndege

Makamu wa Rais wa Malawi, Saulos Chilima pamoja na watu wengine 9 wamefariki katika ajali ya ndege iliyopotea  jana Jumatatu. Inaripoti Mitandao ya...

Habari za SiasaTangulizi

Samia amtumbua RC aliyedaiwa kulawiti mwanafunzi

Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali akiwemo aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Momba, Kenan Laban Kihongosi kuwa Mkuu wa Mkoa...

Habari MchanganyikoHabari za SiasaTangulizi

Afya ya Malisa yaimarika, wakili ataja sababu kuugua ghafla

Wakili wa Mwanaharakati Godlisten Malisa, Hekima Mwasipu amesema chanzo cha ugonjwa wa mteja kuugua ghafla alipokuwa mikononi mwa polisini, ni kutokana na mazingira...

ElimuHabari za SiasaTangulizi

Walimu 12,000 kuajiriwa mwaka huu, wa kike kupewa kipaumbele

KATIKA mwaka 2023/2024, Serikali inatarajia kuajiri walimu 12,000 wa masomo mbalimbali wakiwemo wa sayansi ambao watapangiwa vituo vya kazi katika maeneo yenye upungufu...

Habari MchanganyikoHabari za SiasaTangulizi

Zitto: Vyama vya siasa haviandai ilani kwa kufuata dira ya Taifa

Mwanasiasa na mwanachama wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema vyama vya siasa vikiwemo vya upinzani haviandai ilani zao kwa kuzingatia vipaumbele vilivyopo kwenye...

Habari za SiasaTangulizi

Polisi Moshi wamng’ang’ania Malisa, wafufua madai ya Waziri Mkenda

WAKILI wa Mwanaharakati Godlisten Malisa, Hekima Mwasipu amesema mteja wake anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoa wa Kilimanjaro kwa tuhuma za kusambaza taarifa...

Habari MchanganyikoHabari za SiasaTangulizi

Rais Samia apangua Ikulu, wizara, mikoa na wilaya

RAIS Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi na uhamisho wa viongozi mbalimbali, huku sababu ikitajwa ni kuboresha utendaji kazi . Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...

Habari za SiasaTangulizi

Makamba: Tulifunga milango matokeo tuliyaona

WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba amesema hakuna mjadala kuhusu muelekeo wa Serikali ya Rais Samia Suluhu...

Habari MchanganyikoTangulizi

14 wafa lori la kokoto likiparamia coster, hiace

  WATU 14 wamefariki 14 wamefariki dunia katika ajali ya barabarani iliyotokea jijini Mbeya baada lori moja lililokuwa limebeba kokoto kuparamia basi dogo...

BiasharaHabari MchanganyikoTangulizi

Bei mafuta ya petroli, dizeli zashuka

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza bei kikomo ya mafuta ya petroli kupitia Bandari ya Dar es Salaam...

Habari MchanganyikoTangulizi

NGO ya Kapuya yachunguzwa kwa ushoga

SERIKALI imeanza kuichunguza Taasisi ya Athuman Kapuya, dhidi ya tuhuma za usambazaji ushoga inazoikabili shirika hilo lisilo la kiserikali. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...

Habari MchanganyikoHabari za SiasaTangulizi

Mchungaji Msigwa kupinga ushindi wa Sugu Kanda ya Nyasa

ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa, amekata rufaa kupinga matokeo ya uchaguzi yaliyomng’oa madarakani...

Habari za SiasaTangulizi

Sumaye airushia dongo Chadema

MWANASIASA mkongwe nchini Tanzania, Frederick Sumaye amesema hakuna chama cha siasa cha upinzani kinachoweza kuendesha nchi zaidi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mke mbaroni kwa mauaji ya mumewe, ni baada ya penzi la bodaboda kukolea

JESHI la Polisi mkoani Songwe linamshikilia mwanamke mmoja anayedaiwa kula njama na hawara yake ambaye ni dereva bodaboda, kumuua mumewe ili wapate uhuru...

Habari MchanganyikoHabari za SiasaTangulizi

Makonda kumtesa Samia kama ilivyokuwa Mwinyi na Mrema

RAIS Samia Suluhu Hassan, yuko hatarini kutumbukia katika shimo alilopitia aliyekuwa rais wa pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi....

Habari za SiasaTangulizi

Genge la urais laundwa, Bashe ahusishwa nalo

 MMOJA wa mawaziri wandamizi katika serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan, ameunda genge litakalotumika kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa mwaka kesho na...

Habari za SiasaTangulizi

Lema abwaga manyanga Chadema kaskazini

MWENYEKITI anayemaliza muda wake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema, ametangaza kutogombea tena nafasi hiyo ili kulinda...

ElimuHabari za SiasaTangulizi

Haya hapa majina wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha tano, vyuo vya kati

JUMLA ya wanafunzi 131,986 wakiwemo wasichana 66,432 na wavulana 65,554 wenye sifa, wamechaguliwa kujiunga na Shule za Sekondari za Kidato cha Tano 622...

Habari za SiasaTangulizi

Msigwa afunguka baada ya kuangushwa na Sugu

ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa, amempongea Joseph Mbilinyi (Sugu) kwa kichaguliwa kurithi mikoba...

Habari za SiasaTangulizi

Sugu ambwaga Msigwa uenyekiti Kanda ya Nyasa

Uchaguzi wa Viongozi wa CHADEMA Kanda ya Nyasa unafanyika leo May 29,2024 katika Mji wa Makambako Mkoa wa Njombe kwa kushuhudia Joseph Mbilinyi...

BiasharaHabari MchanganyikoTangulizi

Bei vocha za simu zapanda kinyemela, TCRA CCC waonya

IMEBAINIKA kuwa bei za vocha za kampuni mbalimbali za mitandao ya simu zimepandishwa bei kinyemela katika mikoa ya Nyanda za Juu Kusini ambayo...

Habari MchanganyikoTangulizi

Watatu wafungwa maisha kwa kutengeneza pombe feki

  MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kinondoni jijini Dar es Salaam imewahukumu kifungo cha maisha jela washtakiwa watatu wa Kesi ya uhujumu uchumi waliokuwa...

Habari za SiasaTangulizi

Makonda amjibu Mwenyekiti UWT, “wananipa nguvu ya kuwapiga spana”

MKUU wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amemshukia Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake ya CCM, (UWT), Mary Chatanda na kusisitiza kuwa...

BiasharaHabari za SiasaTangulizi

Mkataba wa Tanesco, Songas watakiwa bungeni

WAKATI mkataba wa Ununuzi wa Umeme kati ya Shirika la Umeme nchini (TANESCO) na Kampuni ya kuzalisha umeme -SONGAS ukitarajiwa kufikia ukomo tarehe...

Habari za SiasaTangulizi

‘Aliyemtonya’ Lissu kuhusu rushwa arejea madarakani

Mwenyekiti wa zamani wa Chadema Mkoa wa Iringa, William Mungai ametetea nafasi yake baada ya kuzoa kura 45 dhidi ya kura 34 ambazo...

Habari za SiasaTangulizi

Wabunge wacharuka kukatika kwa umeme

TATIZO la kukatika kwa umeme kila mara katika maeneo mbalimbali ya nchi limewaamsha wabunge ambao kwa nyakati tofauti wameibana Serikali bungeni na kuitaka...

Habari za SiasaTangulizi

Watu 1,673 wamchangia Lissu Sh. 20 milioni kununua gari

WATU 1,673 wamechanga fedha zaidi ya Sh. 20 milioni kwa ajili ya kumuunga mkono Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)...

Habari MchanganyikoTangulizi

11 wafariki dunia baada ya mtambo wa Kiwanda cha Mtibwa Sugar kupasuka

WATU 11 wamefariki dunia huku watatu wakijeruhiwa katika ajali ya moto iliyotokea usiku wa kuamkia leo tarehe 23 Mei 2024, kwenye kiwanda cha...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu kutikisa kanda ya kati

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Bara, Tundu Lissu, anatarajiwa kufanya ziara ya miezi mitatu mfululizo katika mikoa ya Kanda...

AfyaKimataifaTangulizi

Waliowekewa damu yenye VVU, homa ya ini kulipwa fidia trilioni 32.9

Waziri mkuu wa Uingereza, Rishi Sunak ameahidi kulipa fidia ya paundi bilioni 10 sawa na Sh 32.9 trilioni kwa watu waliowekewa damu yenye...

Habari za SiasaTangulizi

Serikali yanawa mikono fidia Kimara-Kibamba

SERIKALI imewataka waathiriwa wa bomoabomoa ya upanuzi wa barabara ya Morogoro kuanzia Kimara – Kibamba uliofanyika mwaka 2017/2018, kuelewa kwamba Serikali ilitumia sheria...

KimataifaTangulizi

Rais Iran afariki kwa ajali ya helkopta

Rais wa Iran, Ebrahim Raisi, Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo na maofisa wengine wa serikali wamepatikana wakiwa wamefariki katika eneo...

Habari MchanganyikoHabari za SiasaTangulizi

Wakili Mwabukusi anusurika kufungiwa, asema hatarudi nyuma

WAKILI Boniface Mwabukusi amesema kuwa hatorudi nyuma kuwatetea Watanzania na rasilimali zao licha ya uamuzi wa Kamati ya Maadili ya Mawakili kumpa onyo...

Habari MchanganyikoHabari za SiasaTangulizi

Lissu akabidhiwa gari lake, aomba msaada wa matengenezo

Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, Tundu Lissu leo Ijumaa amekabidhiwa gari lake aina ya Toyota Land Cruiser V8, VXR na Jeshi la Polisi...

Habari za SiasaTangulizi

Haya hapa majina walioteuliwa kugombea nafasi mbalimbali CHADEMA

CHAGUZI wa kanda za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) zimeendelea kupamba moto baada ya Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje,...

Habari MchanganyikoHabari za SiasaTangulizi

Uingereza yamwaga bil. 9 kumuunga mkono Samia matumizi nishati

Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Selemani Jafo amesema jitihada za Rais Samia Suluhu Hassan katika kubeba ajenda ya nishati...

error: Content is protected !!