MAIN STORY: Minimum – a picture, video, audio and pull-quote. It might also include a picture gallery, a text box (2 paragraphs – linking to a profile), a time line, a fact file (list of bullet points), Q&A, a map and embedded tweet(s).
RAIS Samia Suluhu Hassan, ametuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Balozi wa Tanzania nchini Austria, Celestine Mushy, kilichotokea katika ajali ya gari...
By Mwandishi WetuDecember 15, 2022IDARA ya Uhamiaji nchini Tanzania, imewataka Watanzania kuwa makini dhidi ya vitendo vya utapeli vilivyoibua katika mchakato wa maombi ya nafasi za...
By Regina MkondeDecember 15, 2022CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeitaka Serikali iweke wazi mikataba ya mikopo inayokopa katika taasisi za kimataifa, ili kujua masharti yake na...
By Mwandishi WetuDecember 15, 2022MAHAKAMA Kuu Kanda ya Arusha kesho tarehe 14 Disemba, 2022 inatarajiwa kutoa uamuzi mdogo juu ya mapingamizi mawili yaliyowasilishwa na mawakili wa aliyekuwa...
By Gabriel MushiDecember 13, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan ameridhia Tanzania kuwa mwenyeji wa mkutano mkubwa wa kilimo utakaohusisha viongozi, watu mashuhuri na wadau wapya 3,000. Uamuzi huo...
By Mwandishi WetuDecember 13, 2022MKUU wa Machifu wilayani Rungwe mkoani Mbeya, Joel Mwakatumbula amewataka vijana kuacha tabia ya kuvaa suruali chini ya kiuno ‘mlegezo’ na wasichana kuacha...
By Gabriel MushiDecember 12, 2022MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amesema mazungumzo ambayo chama hicho inafanya na Serikali ni ya wazi na wala...
By Mwandishi WetuDecember 10, 2022TIMU ya Taifa ya Morocco imefanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali ya mashindano ya Kombe la Dunia baada ya kuiondoa timu ya Taifa...
By Mwandishi WetuDecember 10, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan, amewataka Watanzania kuitumia siku ya maadhimisho ya miaka 61 ya uhuru wa Tanzania Bara, kutafakari namna ya kuongeza...
By Mwandishi WetuDecember 9, 2022RAIS mstaafu Dk. Jakaya Kikwete ameushauri uongozi mpya wa CCM unaongozwa na Mwenyekiti Dk Samia Suluhu Hassan kuwa wakali na kutovumilia maneno yanayokigawa...
By Mwandishi WetuDecember 9, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan ametajwa na jarida la Forbes kwa mwaka wa pili mfululizo kuwa miongoni mwa wanawake 100 wenye ushawishi, nguvu...
By Mwandishi WetuDecember 9, 2022RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), amesema Katibu Mkuu mstaafu wa chama hicho, Yusuph...
By Mwandishi WetuDecember 9, 2022MSIMAMIZI wa uchaguzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Ali Mohamed Shein ambaye ni Rais mstaafu wa Zanzibar leo tarehe 7 Disemba,...
By Mwandishi WetuDecember 7, 2022NAFASI za idadi ya wajumbe wa Halmashauri Kuu (NEC), imeongezwa kutoka wajumbe 15 hadi 20 Tanzania Bara vivyo hivyo kwa upande wa...
By Mwandishi WetuDecember 7, 2022KESI ya kupinga kuvuliwa uanachama wa Chama cha Chadema, iliyofunguliwa na wabunge viti maalum 19 katika Mahakama Kuu, Masjala Kuu, jijini Dar...
By Mwandishi WetuDecember 6, 2022WAKALA wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA), umewataka wananchi kuchangamkia huduma zinazotolewa na taasisi hiyo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Akizungumza na...
By Mwandishi WetuDecember 6, 2022MAHAKAMA Kuu Tanzania leo tarehe 5 Disemba, 2022 imetoa uamuzi kuwa Rais wa Awamu ya Tano, Dk. John Magufuli alivunja Katiba alipomwondoa Prof....
By Gabriel MushiDecember 5, 2022KUNDI la madaktari nchini Uganda limezua mjadala mwishoni mwa wiki baada ya kupiga magoti mbele ya Rais wa muda mrefu wan chi hiyo,...
By Gabriel MushiDecember 5, 2022BARAZA la Mitihani la Tanzania (NECTA) leo Alhamisi limetangaza matokeo ya darasa la saba ambapo jumla ya watahiniwa 1,730,402 kati ya watahiniwa...
By Mwandishi WetuDecember 1, 2022WAKULIMA wa mpunga kutoka wilayani Mbarali mkoani Mbeya, Ihefu FC wameivunja rekodi ya Mabingwa wa Ligi Kuu Bara, Yanga SC. ya kutofungwa...
By Mwandishi WetuNovember 29, 2022KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, ameeleza kuwa chama hicho ni tofauti na Chama Cha Mapinduzi (CCM), pamoja na vyama vingine...
By Regina MkondeNovember 29, 2022WATUNZA kumbukumbu na nyaraka za Serikali sasa watalazimika kula kiapo cha maadili ya kazi yao kutokana na kile kilichoelezwa ni unyeti wa...
By Mwandishi WetuNovember 27, 2022MWENYEKITI wa Kamati ya Kitaifa ya Maaskofu na Mashekhe ya Maadili Amani na Haki za Binadamu kwa Jamii ya Madhehebu ya Dini...
By Mwandishi WetuNovember 27, 2022CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kinafanya ziara barani Ulaya kwa ajili ya kutafuta uungwaji mkono na Jumuiya za Kimataifa katika msuala...
By Mwandishi WetuNovember 27, 2022KATIBU Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu, Dk. John Jingu, amefunga warsha ya siku nne kwa makamishna na maafisa...
By Jonas MushiNovember 25, 2022SERIKALI ya Tanzania, imetoa taarifa rasmi kuhusu ripoti ya awali ya uchunguzi wa ajali ya ndege ya Precision Air, ikisema ilitumbukia ziwani...
By Regina MkondeNovember 24, 2022WAZIRI wa Kilimo nchini Tanzania, Hussein Bashe, amekanusha uwepo wa baa la njaa nchini humo lakini amekiri kupanda kwa bei za mazao....
By Mwandishi WetuNovember 23, 2022SHIRIKA la Umeme Tanzania (Tanesco) limesema ifikapo mwishoni mwa Disemba 2022, linategemea kupata megawati 65 kupitia Kinyerezi l, megawati 45 na Ubungo...
By Mwandishi WetuNovember 22, 2022TAARIFA ya awali ya ripoti ya ajali ya ndege ya shirika la Precision iliyotokea katika eneo la Ziwa Victoria Tanzania, imetolewa leo Jumanne...
By Mwandishi WetuNovember 22, 2022MWALAMI Sultan, aliyekuwa Kocha wa makipa wa Klabu ya Simba na mmiliki wa Kituo cha Soka cha Kambiasso Sports Academy, Kambi Seif na...
By Mwandishi WetuNovember 21, 2022CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimesimamisha chaguzi tatu kupisha uchunguzi wa tuhuma mbalimbali ikiwemo za rushwa zilizoibuliwa, ili kuchukua hatua kwa ajili ya...
By Regina MkondeNovember 21, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan amewataka mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania nje ya nchi kuangalia vipaumbele vya Taifa ikiwemo kufanya mapitio ya sera ya mambo...
By Mwandishi WetuNovember 19, 2022MWENYEKITI wa Kamati ya Kitaifa ya Maaskofu na Mashekhe ya Maadili Amani na Haki za Binadamu kwa Jamii ya Madhehebu ya Dini...
By Mwandishi WetuNovember 17, 2022MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Mussa Mbura amesema sababu ya ndege ya ATCL kushindwa kutua katika Uwanja...
By Mwandishi WetuNovember 17, 2022KAMATI maalum ya Kamati Kuu ya ACT-Wazalendo upande wa Zanzibar, imeagiza Sekretarieti ya chama hicho kuratibu vikao vya viongozi na wanachama kwa...
By Mwandishi WetuNovember 16, 2022MBUNGE wa Rwanda, Gamariel Mbonimana ambaye alijiuzulu ubunge juzi tarehe 14 Novemba, 2022, ameomba msamaha kwa kuendesha gari akiwa mlevi. Inaripoti Mitandao...
By Mwandishi WetuNovember 16, 2022JUMLA ya watuhimiwa 11 wamekamatwa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) ikiwamo Kocha wa makipa wa Klabu ya...
By Mwandishi WetuNovember 15, 2022BARAZA la Mawaziri nchini Tanzania limeelekeza vitengo vyote vinavyohusika na kukabiliana na majanga viimarishwe ili kuongeza uwezo wa kukabiliana na majanga. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuNovember 14, 2022KLABU ya Soka la Yanga imeibuka na ushindi mwembamba wa bao 1-0 dhidi ya Kagera Sugar na kurejea kileleni mwa Ligi Kuu Bara...
By Mwandishi WetuNovember 13, 2022WATAHINIWA 566,840 wa kidato cha nne nchini Tanzania wanatarajia kuanza mitihani yao ya Taifa kesho Jumatatu tarehe 14, Novemba, 2022. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Gabriel MushiNovember 13, 2022JUMLA ya mabalozi 45 wanaoiwakilisha Tanzania katika nchi mbalimbali duniani wanatarajiwa kukutana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia...
By Mwandishi WetuNovember 12, 2022SERIKALI imevitaka vyuo kuzingatia mafunzo ya vitendo kwa wanafunzi vyuoni ili kuondoa malalamiko kutoka kwa waajiri kwamba wahitimu wengi wanahitimu bila kuwa na...
By Mwandishi WetuNovember 12, 2022CHAMA cha Demokrasis na Maendelea (Chadema) kimewaagiza viongozi wake ngazi kanda, mikoa na majimbo kutoshiriki vikao vinavyotarajiwa kuanza kesho na kuratibwa na Tume...
By Mwandishi WetuNovember 10, 2022MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)- Bara, Tundu Lissu amesema kutokana na ajali ya ndege ya Precision Air iliyotokea Novemba...
By Gabriel MushiNovember 10, 2022MBUNGE wa Musoma Vijijini, Profesa Sospeter Muhongo, amesema Tanzania haipo tena miongoni mwa nchi za uchumi wa kati kwa vigezo vilivyotolewa na Benki...
By Mwandishi WetuNovember 9, 2022BAADHI ya wabunge viti maalum wameendelea kudai katika Mahakama Kuu, Masjala Kuu jijini Dar es Salaam, kwamba Chama cha Chadema kiliwateua kushika...
By Regina MkondeNovember 8, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan leo Jumatatu ameagiza kijana Jackson Majaliwa, mvuvi wa Bukoba aliyewezesha uokozi wa abiria 24 wa ndege ya Precision...
By Mwandishi WetuNovember 7, 2022RAIS wa Tanzania Samia Suluhu ametoa pole kwa wafiwa na majeruhi wa ajali ya ndege iliyotokea Jumapili huko Bukoba, Kagera. Watu 19...
By Mwandishi WetuNovember 7, 2022MAJINA ya watu 18 kati ya 19 waliofariki katika ajali ya ndege ya Precision Air iliyotokea leo Jumapili asubuhi katika Ziwa Victoria...
By Mwandishi WetuNovember 6, 2022WATU 19 wakiwemo abiria na wahudumu wamefariki dunia katika ajali ya ndege ya shirika la Ndege la Precision Air iliyotokea asubuhi ya leo...
By Gabriel MushiNovember 6, 2022