MAIN STORY: Minimum – a picture, video, audio and pull-quote. It might also include a picture gallery, a text box (2 paragraphs – linking to a profile), a time line, a fact file (list of bullet points), Q&A, a map and embedded tweet(s).
MWENYEKITI wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe anatarajiwa kuongozi jopo la viongozi wa chama hicho katika uzinduzi rasmi wa mikutano ya hadhara itakayofanyika jijini...
By Gabriel MushiJanuary 15, 2023CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimemtaka Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia na Habari, Nape Nnauye aviache vyombo vya habari vitimize wajibu...
By Gabriel MushiJanuary 15, 2023CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza safu mpya уа Wajumbe Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa (CC) na Wajumbe wa Sekretarieti ya...
By Mwandishi WetuJanuary 14, 2023WAKALA wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART), umetangaza nauli mpya kwa watumiaji wa mabasi yaendayo haraka, zitakazoanza kutumika kuanzia tarehe 16 Januari 2023....
By Regina MkondeJanuary 14, 2023MAKAMU Mwenyekiti wa Chadema Bara, Tundu Lissu ametangaza kurejea nchi rasmi tarehe 25, Januari, 2023 ikiwa ni zaidi ya miaka mitano ya...
By Mwandishi WetuJanuary 13, 2023MVUA mkubwa iliyoanza kunyesha usiku wa kuamkia leo Ijumaa, tarehe 13 Januari 2023 mkoani Morogoro, imesababisha maafa kwa wananchi wa baadhi ya maeneo...
By Mwandishi WetuJanuary 13, 2023KUNDI la 17 la wananchi wanaohama kwa hiari kutoka eneo la Hifadhi ya Ngorongoro kwenda Kijiji cha Msomera na maeneo mengine limeondoka...
By Mwandishi WetuJanuary 12, 2023CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimemtaka Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi, atimize ahadi yake ya kuondoa siasa za uhasama visiwani humo, kwa kuwa...
By Mwandishi WetuJanuary 12, 2023SERIKALI imesema kwa kipindi cha miaka saba kumekuwepo na ongezeko kubwa la walipa kodi kutoka milioni 2.2 mwaka 2015/16 hadi milioni 4.4...
By Mwandishi WetuJanuary 11, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan, amewataka vijana watumie mazingira mazuri ya kibiashara na uwekezaji yaliyopo nchini kujiajiri kwa kuwa Serikali kazi yake siyo...
By Mwandishi WetuJanuary 10, 2023MTANZANIA aishiye Ujerumani, Lucy Koble aliyeomba msaada kwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, amezidi kuomba msaada kwa kiongozi huyo mkuu wa nchi kwani...
By Mwandishi WetuJanuary 10, 2023CHAMA cha Mapinduzi (CCM), kimejitabiria kupata ushindi wa kishindo katika Uchaguzi Mkuu wa 2025. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea)....
By Regina MkondeJanuary 10, 2023MWENYEKITI wa Chama Cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba amemtaka Rais Samia Suluhu Hassan, kuwa jasiri akidai kwamba kuna baadhi ya watu hawapendi...
By Regina MkondeJanuary 7, 2023KAMATI ya Sheria na Hadhi za Wachezaji wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imeamua kuwa Feisal Salum bado ni mchezaji...
By Mwandishi WetuJanuary 7, 2023WAFUASI wa Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, anayedaiwa kufukuzwa James Mbatia, wamepanga kufanya mikutano ya hadhara Januari 2023. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...
By Mwandishi WetuJanuary 7, 2023VYAMA vya siasa nchini Tanzania vimefunguliwa kutoka katika kifungo cha takribani miaka sita baada ya katazo lisilo la kikatiba wala kisheria la...
By Mwandishi WetuJanuary 6, 2023CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kitazindua rasmi mikutano ya hadhara kitaifa tarehe 21 Januari 2023, ikifuatiwa na uzinduzi wa mikutano hiyo...
By Mwandishi WetuJanuary 6, 2023KESI ya kimkataba kati ya Feisal Salum (Fei Toto) dhidi ya klabu ya Yanga itasikilizwa kwa saa 3 na kamati ya Sheria...
By Kelvin MwaipunguJanuary 6, 2023CHAMA cha Wananchi (CUF), kimetangaza kuanza mikutano ya hadhara huku kikiagiza matawi yake kuandaa mikutano hiyo. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam...
By Mwandishi WetuJanuary 6, 2023HUENDA tarehe 5 Januari 2023, ikawa ni siku chungu kwa Kamishna Diwani Athuman, baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kutengua uteuzi wake...
By Mwandishi WetuJanuary 5, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan, ametengua uteuzi wa Kamishna Diwani Athumani, katika nafasi ya Katibu Mkuu Ikulu, na kumteua Mululi Majula Mahendeka, kushika...
By Regina MkondeJanuary 5, 2023MWENYEKITI wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) kata ya Kaselya Wilaya ya Iramba mkoani Singida, Ramadhani Hamisi (30) ameuawa kwa kuchomwa na...
By Mwandishi WetuJanuary 5, 2023MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini huku mafuta...
By Gabriel MushiJanuary 4, 2023BARAZA la Mitihani Tanzania (Necta) leo tarehe 4 Januari, 2023 limetangaza matokeo ya kidato cha pili na darasa la nne mwaka 2022. https://matokeo.necta.go.tz/ftna2022/ftna.htm
By Gabriel MushiJanuary 4, 2023RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Hussein Katanga kuwa Balozi wa Kudumu wa Umoja wa Mataifa Mjini New York akichukua...
By Mwandishi WetuJanuary 4, 2023MWENYEKITI wa Chadema, Freeman Mbowe amesema haikuwa kazi nyepesi kufikia makubaliano ambayo yametangazwa na Rais Samia Suluhu Hassan kwamba sasa mkwamo wa...
By Mwandishi WetuJanuary 3, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan, ameondoa zuio la mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa, lililowekwa na mtangulizi wake, Hayati John Magufuli, kwa...
By Mwandishi WetuJanuary 3, 2023RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amesema Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimekubali kushiriki mkutano wa pamoja wa vyama vya siasa Tanzania,...
By Mwandishi WetuJanuary 3, 2023MAMLAKA ya mapato Tanzania (TRA), imevunja rekodi ya makusanyo ya mapato Kwa mwezi baada ya kukusanya Sh. 2.77 trilioni kati ya lengo...
By Regina MkondeJanuary 2, 2023Ndugu Wananchi na Watanzania wenzangu; NAWASALIMU KWA JINA LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA! Nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu Mtukufu, Mwingi wa Rehema...
By Gabriel MushiJanuary 1, 2023Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amepokea taarifa ya Maendeleo ya mazungumzo ya mchakato wa maridhiano ya kisiasa, Ikulu Jijini Dar es Salaam...
By Gabriel MushiJanuary 1, 2023MAZISHI ya Baba Mtakatifu Mstaafu Benedikto XVI aliyefariki dunia leoJumamosi saa 3: 34 Asubuhi tarehe 31 Desemba 2022 akiwa na umri wa miaka...
By Gabriel MushiDecember 31, 2022WAKATI ikiwa imesalia siku moja kwa 2022 kufika tamati, dunia haitosahau vifo vya watu mashughuri vilivyotikisa ndani ya mwaka huo. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuDecember 31, 2022PAPA wa zamani Benedict XVI amefariki dunia katika makazi yake Vatican, akiwa na umri wa miaka 95, karibu muongo mmoja baada ya kujiuzulu...
By Gabriel MushiDecember 31, 2022CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), imesema Kikosi Kazi cha kuratibu maoni ya kuimarisha demokrasia ya vyama vingi cha Rais Samia Suluhu, ilikuwa...
By Mwandishi WetuDecember 30, 2022RAIS wa mstaafu wa Marekani, Barack Obama ameeleza namna alivyoguswa na kifo cha Mfalme wa Soka duniani, Edson Arantes do Nascimento maarufu kama...
By Gabriel MushiDecember 30, 2022GWIJI wa soka raia wa Brazil – Edson Arantes do Nascimento maarufu kama Pele amefariki dunia leo tarehe 29 Disemba, 2022 akiwa na...
By Gabriel MushiDecember 29, 2022CHAMA cha Wananchi (CUF), kimeitaka Serikali ifikapo 2023 kuja na mkakati wa kitaifa wa kukuza uchumi, kuongeza ajira na kutoa huduma bora...
By Mwandishi WetuDecember 29, 2022WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amemuwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan kumjulia hali Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa anayeendelea na matibabu Afrika Kusini. Anaripoti...
By Mwandishi WetuDecember 28, 2022IKIWA zimesalia siku tatu kufika tamati ya mwaka 2022, Chama cha ACT-Wazalendo kimeutaja mwaka huo kuwa wa misukosuko, “mchungu kwa wanyonge na...
By Mwandishi WetuDecember 28, 2022CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimetangaza nia ya kukiondoa madarakani Chama Cha Mapinduzi (CCM), ifikapo 2025 kupitia Uchaguzi Mkuu. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuDecember 28, 2022MTAMBO wenye uwezo wa kuzalisha Megawati 45 za umeme mali ya Kampuni ya uzalishaji na usambazaji umeme nchini – Aqua Power Tanzania Limited...
By Mwandishi WetuDecember 23, 2022RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema mradi wa Bwawa la Umeme la Julius Nyerere (JNHPP)ni ushahidi tosha kuwa Tanzania inaweza kufanya mambo...
By Mwandishi WetuDecember 22, 2022VYUO vya Mafunzo ya Ufundi Stadi nchini (VETA) vimetoa orodha ya majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na mafunzo ya ufundi stadi kwa...
By Mwandishi WetuDecember 20, 2022MAMLAKA za Mabonde ya Maji nchini, zimeagizwa kuanza mara moja ubomoaji wa matuta yaliyojengwa kwaajili ya kuchepusha maji ya mito kwenda kwenye mashamba...
By Mwandishi WetuDecember 19, 2022MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kivukoni/Kinondoni imetoa amri ya kufukuliwa mwili wa Stella Moses ili ufanyiwe uchunguzi kujua chanzo cha kifo chake baada ya...
By Regina MkondeDecember 19, 2022TIMU ya Taifa ya Argetina imevunja rekodi ya miaka 36 iliyopita baada ya kuinyuka Ufaransa jumla ya penalti 4 – 3 na...
By Mwandishi WetuDecember 19, 2022WATANZANIA sita waishio nje ya nchi (DIASPORA), wamefungua kesi ya kikatiba Na. 18/2022 katika Mahakama Kuu, Masjala Kuu, ya Dar es Salaam, kupinga...
By Gabriel MushiDecember 16, 2022CHAMA cha ACT Wazalendo kimehitimisha kampeni ya mgombea wake jimbo la Amani leo kwa kuonya kuwa kitazuia hujuma yoyote ya kuvuruga uchaguzi mdogo...
By Mwandishi WetuDecember 16, 2022VIJANA zaidi ya 30,000 wanatarajia kukutana tarehe 17 Disemba, 2022 kwa ajili ya kuliombea taifa wakiongozwa na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la...
By Mwandishi WetuDecember 15, 2022