Thursday , 2 May 2024
Home Gazeti Habari za Siasa Mbunge CCM afariki ghafla, Bunge laahirishwa
Habari za SiasaTangulizi

Mbunge CCM afariki ghafla, Bunge laahirishwa

Spread the love

SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Ackson ametangaza msiba wa Mbunge wa Kwahani, Ahmed Yahya Abdulwakil (CCM), aliyefariki dunia ghafla Visiwani Zanzibar. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea).

Akitangaza msiba huo leo jioni bungeni jijini Dodoma, amesema Abdulwakil amefariki ghafla kutokana na matatizo ya shinikizo la damu.

Amesema kwa kuwa mwili wa mbunge huyo unatarajiwa kuzikwa kesho Jumanne shughuli za Bunge hazitokuwepo ili kutoa nafasi kwa wabunge kushiriki mazishi hayo lakini pia kwa kuwa Jumatano au Alhamis ni sikukuu ha Eid,hivyo anaahirisha Bunge hadi Jumatatu wiki ijayo.

1 Comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Chadema waendelea kulilia katiba mpya

Spread the loveCHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeendelea kudai upatikanaji wa...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema kumshtaki Rais Samia

Spread the loveCHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimetishia kumfungulia kesi ya...

Habari za Siasa

Tume huru ya uchaguzi yatangaza uchaguzi mdogo Jimbo la Kwahani

Spread the love  TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi, imetangaza uchaguzi mdogo...

AfyaHabari za Siasa

Dk. Biteko aagiza utoaji huduma saratani usiwe wa kibaguzi

Spread the loveNaibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko...

error: Content is protected !!