ALIYEKUWA Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Dk Wilbrod Slaa amesema, anamwombea kwa Mwenyezi Mungu, Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ili haki iweze...
By Mwandishi WetuFebruary 28, 2022MABEKI wa klabu ya Simba Shomary Kapombe na Henock Inonga sambamba na kiungo mshambuliaji wa klabu hiyo Peter Banda wamewekwa kwenye kinyang’anyiro...
By Mwandishi WetuFebruary 28, 2022KOCHA mkuu wa kikosi cha Yanga, Mohammed Nasredin Nabi hakusita kumwagia sifa mshambuliaji wake kiongozi, Fiston Mayele raia wa Jamhuri ya Congo...
By Kelvin MwaipunguFebruary 28, 2022MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ya Taasisi ya Kumbukumbu ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, Mizengo Pinda, ameshauri liundwe jukwaa la...
By Regina MkondeFebruary 28, 2022KATIKA kuunga mkono juhudi za wajasiriamali na kuhakikisha wanajikwamua kiuchumi na kujiongezea kipato, Halmashauri ya Morogoro imetoa mkopo wa Sh milioni 340 kwa ...
By Gabriel MushiFebruary 28, 2022SERIKALI ya Tanzania imetangaza kuondoa tozo ya Sh.100 kwa lita ya mafuta ya Dizeli, Taa na Petroli zinazopaswa kulipwa na watumiaji wa...
By Mwandishi WetuFebruary 28, 2022KAMPUNI ya Uchimbaji madini ya dhahabu Geita (GGML) imetunukiwa tuzo ya Usalama ya Dunia ya 2021 kwa mwaka wa tatu mfululizo na kuifanya...
By Gabriel MushiFebruary 28, 2022RAIS wa Chama cha Soka Poland, Cezary Kulesza amesema taifa hilo litakataa kuchuana na Urusi katika mechi ya mchujo ya kuwania Kombe la...
By Mwandishi WetuFebruary 28, 2022WAKATI mapigano kati ya majeshi ya Urusi na Ukraine yakiingia siku ya nne, taarifa zinaeleza kwamba Urusi imekumbana na upinzani mkali ambao...
By Mwandishi WetuFebruary 27, 2022JESHI la Polisi mkoani Mwanza linamshikilia Dianna Edward Bundala maarufu kama ‘Mfalme Zumaridi’ kwa kosa la usafirishaji haramu wa binadamu na unyonyaji....
By Mwandishi WetuFebruary 27, 2022MKUU wa Mkoa wa Tanga, Adam Malima amesema hajaridhishwa na kasi ya ujenzi wa Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Handeni na...
By Mwandishi WetuFebruary 27, 2022MKUU wa Mkoa wa Tanga, Adam Malima amesema mkoa wake unakusudia kuanzisha kituo cha Mifupa (Orthopaedic Centre) kwa ajili ya watu wanaopata...
By Mwandishi WetuFebruary 27, 2022WAKATI vita kati ya Urusi na Ukraine ikiendelea kwa siku ya nne mfululizo, Umoja wa Mataifa umetoa taarifa kuwa hadi sasa jumla...
By Mwandishi WetuFebruary 27, 2022RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Brigedia Jenerali, Yohana Mabongo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Posta Tanzania...
By Mwandishi WetuFebruary 27, 2022SHIRIKA la Bima Zanzibar (ZIC) limewakaribisha wawekezaji Visiwani Zanzibar kuwekeza kwa kuwahakikishia usalama wa uwekezaji na mali zao wakati wote wakiwepo Visiwani humo....
By Mwandishi WetuFebruary 26, 2022UONGOZI wa klabu ya Soka ya Yanga umesema kuwa, katika mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Tanzania Bara wanahitaji pointi 35 tu,...
By Kelvin MwaipunguFebruary 26, 2022NI kama swala la muda tu kikosi cha klabu ya Soimba kushuka dimbani kwenye mchezo wa kombe la Shirikisho barani Afrika dhidi...
By Mwandishi WetuFebruary 26, 2022SERIKALI ya Tanzania, imewataka wananchi kuchukua tahadhari dhidi ya mlipuko wa ugonjwa Polio, ulioibuka hivi karibu katika nchi jirani ya Malawi. Anaripoti...
By Mwandishi WetuFebruary 26, 2022RAIS wa Marekani, Joe Biden amemteua mwanamke wa kwanza mweusi kuwa jaji wa Mahakama ya Juu kabisa nchini humo. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa...
By Mwandishi WetuFebruary 26, 2022WAKATI vita kati ya Urusi na Ukraine ikizidi kushika kasi kwa siku ya tatu mfululizo, imeelezwa kuwa Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky...
By Mwandishi WetuFebruary 26, 2022MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Tanga, imemuachia kwa masharti Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo, Ahmed Kidege na wenzake wawili, baada ya Mkurugenzi wa...
By Mwandishi WetuFebruary 26, 2022RAIS wa Marekani, Joe Biden ametia saini mkataba wa kutoa fedha kiasi cha Dola za Marekani milioni 600 (sawa na Sh trilioni...
By Mwandishi WetuFebruary 26, 2022WAKATI leo tarehe 26 Februari, 2022 ikiwa ni siku ya tatu tangu kuibua kwa vita kati ya mataifa Ukraine na Urusi, imeelezwa...
By Mwandishi WetuFebruary 26, 2022CHAMA kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema, kimezindua program maalum iitwayo ‘Join the Chain’ yenye lengo la kukusanya fedha za ujenzi...
By Mwandishi WetuFebruary 25, 2022MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema, tangu kuanza kwa matumizi ya Mfumo wa Stempu za Kodi za Kielektroniki (ETS) umeonesha mafanikio makubwa...
By Jonas MushiFebruary 25, 2022KAMATI ya Amani ya Viongozi wa Dini Mkoa wa Mwanza, imeiomba Serikali iweke sheria kali na sera za kuwalinda watu wenye ulemavu...
By Mwandishi WetuFebruary 25, 2022RAIS wa Ukraine, Volodomyr Zelenskky, amesema dunia imewaacha peke yake katika mapambano ya kivita dhidi ya Urusi. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa …(endelea)....
By Mwandishi WetuFebruary 25, 2022MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Bunadamu Tanzania (THRDC), umepewa msaada wa fedha kiasi cha Sh. 90 milioni na Shirika la International...
By Regina MkondeFebruary 25, 2022WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Tanzania itaendelea kushirikiana na mataifa mengine ili kuhakikisha amani, ushirikiano, ustawi wa kijamii...
By Mwandishi WetuFebruary 25, 2022WAZIRI wa Kilimo, Hussein Bashe amesema kuwa Tanzania ipo tayari kushirikiana na kampuni kubwa duniani kuwekeza kwenye kilimo ili kukiongezea thamani na kuhakikisha...
By Mwandishi WetuFebruary 24, 2022RAIS wa Awamu ya Nne Tanzania, Dk. Jakaya Kikwete, ameishauri Serikali iwe na sera zinazotabirika katika usimamizi wa sekta ya madini, ili...
By Mwandishi WetuFebruary 24, 2022NCHI ya Urusi, imeanzisha rasmi mapigano ya kijeshi katika mikoa ya mashariki ya Ukraine, baada ya Rais wake, Vladimir Putin kutangaza operesheni...
By Mwandishi WetuFebruary 24, 2022KLABU ya Soka ya Yanga imeendelea kujichimbia kileleni mara baada ya kuibuka na alama tatu kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara...
By Mwandishi WetuFebruary 23, 2022NAIBU Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk amekutana na kumuaga Balozi wa Vatican nchini, Askofu...
By Gabriel MushiFebruary 23, 2022KAMPUNI ya uchimbaji wa madini ya dhahabu mkoani Geita (GGML) imetoa msaada wa Sh milioni 90 kudhamini Mkutano wa nne wa Uwekezaji wa...
By Gabriel MushiFebruary 23, 2022RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema uanzishwaji wa Shule ya Uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere itakwenda kujibu...
By Mwandishi WetuFebruary 23, 2022JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limemuachia kwa dhamana Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Chadema, Hashim Issa Juma, aliyekamatwa...
By Regina MkondeFebruary 23, 2022WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema sekta ya madini imeendelea kukua kwa kasi na kuwa na mchango mkubwa kwa maendeleo ya...
By Mwandishi WetuFebruary 23, 2022KUKAMILIKA kwa mradi wa kupeleka umeme kwenye Kampuni ya uchimbaji madini ya dhahabu ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kunatarajiwa kutaliwezesha Shirika la...
By Gabriel MushiFebruary 23, 2022MWENYEKITI wa Baraza la Wazee la chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema, Hashim Issa Juma, amekamatwa na Jeshi la Polisi,...
By Kelvin MwaipunguFebruary 23, 2022NI dhahiri sasa kuwa ajira ni tatizo la kidunia. Hakuna ubishi sasa hili ni janga. Nchi zote ulimwenguni zinajaribu kukabiliana na janga...
By Mwandishi MaalumFebruary 23, 2022MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema, inafuatilia wale wote ambao wamekuwa wakituma ujumbe mfupi wa maandishi ‘sms’ wa kuwashawishi watu kujiunga na...
By Mwandishi WetuFebruary 22, 2022ASKOFU wa Jimbo Katoliki la Rulenge-Ngara mkoani Kagera, Severine Niwemugizi amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kushughulikia changamoto sita zinazoikabili wilaya hiyo hususani...
By Mwandishi WetuFebruary 22, 2022ASKOFU wa Jimbo Katoliki la Rulenge-Ngara mkoani Kagera, Severine Niwemugizi amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan asikubali kamwe kulinganishwa na Mungu kwa namna...
By Mwandishi WetuFebruary 22, 2022WALINZI wa pembeni wa klabu ya Yanga, Djuma Shabani na Kibwana Shomari watakuwa sehemu ya kikosi cha Yanga kitakachoshuka dimba ni kwenye...
By Mwandishi WetuFebruary 21, 2022WANANCHI wametakiwa kutumia vipimo maalumu vinavyoonesha ugonjwa na aina ya matibabu yake sahihi, ili kuepukana na tatizo la usugu wa dawa. Anaripoti Regina...
By Gabriel MushiFebruary 21, 2022JUMLA ya Sh milioni 59 zinatarajiwa kutumika kukarabati madarasa sita katika Shule ya Msingi Chamwino (A) iliyopo katika Kata ya Chamwino jijini Dodoma....
By Gabriel MushiFebruary 21, 2022KADA mkongwe wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Waziri wa zamani wa Maliasili na Utalii, Balozi Khamis Kagasheki amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan...
By Gabriel MushiFebruary 21, 2022LICHA ya kupata chanjo tatu za kudhibiti maambukizi ya virusi vya Corona, janga hilo limebisha hodi katika familia ya Malkia Elizabeth wa Uingereza...
By Gabriel MushiFebruary 21, 2022