Tuesday , 27 February 2024

Kitengo

Categorizing posts based on content

Michezo

Wizara yaahidi kuboresha, kuimarisha michezo

Ikiwa ni saa kadhaa baada ya kumalizika kwa mashindano ya mbio “Kili Marathon 2024”, Uongozi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano...

Kimataifa

Wanajeshi Ukraine waishiwa risasi, 31,000 wauawa

Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy amesema zaidi ya wanajeshi 31,000 wamefariki vitani katika muda wa miaka miwili tangu Urusi ilipoivamia Ukraine. Inaripoti Mitandao...

Kimataifa

Waziri mkuu Palestina ajiuzulu

Waziri Mkuu wa Palestina, Mohammed Shtayyeh ametangaza kujiuzulu pamoja na serikali yake katika hatua ambayo huenda ikafungua njia ya mageuzi yanayoungwa mkono na...

Habari MchanganyikoMichezo

Nje jogging yanyakua medali 20 Kili Marathon

Timu ya riadha ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki – Nje Jogging imeshiriki mashindano ya Mbio za Kimataifa...

Biashara

Meridianbet yaimarisha usafi Kijitonyama

MABINGWA wa michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet leo imefanikiwa kufika maeneo ya Kijitonyamajijini Dar-es–Saslaam katika zahanati inayopatikana katikaeneo hilo na kutoa msaada wa...

Afya

Dk. Biteko aagiza uboreshaji huduma za afya kwa wazee

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ameagiza wasimamizi wa vituo vya afya, zahanati na hospitali zote nchini kuhakikisha wanayasimamia...

Michezo

Siku ya kukusanya maokoto ni leo, usipange kukosa

  HATIMAYE Jumamosi imefika ndugu mteja wa Meridianbet na mechi zote za kukufanya ujikwapulie pesa zipo hapa. Unachotakiwa kufanya ni kuingia na kusuka...

Kimataifa

Rais mstaafu ahukumiwa miaka 4 jela

Mahakama ya mjini Tunis imemhukumu rais wa zamani wa Tunisia, Moncef Marzouki kifungo cha miaka nane jela baada ya kupatikana na hatia kwa...

Biashara

Kampeni SBL ya unywaji pombe chini ya umri yafika Kilimanjaro

KAMPUNI ya bia ya Serengeti Breweries Limited (SBL) inewahimiza wanafunzi wa shule za sekondari kujiepusha na unywaji pombe chini ya umri ili kujihakikishia...

Michezo

Kuwa milionea na Meridianbet ni rahisi sana

  JE, unajua kuwa leo hii ni siku nzuri kwako kujipigia mkwanja wa maana endapo utabashiri mechi zako za uhakika ndani za meridianbet....

Biashara

Cheza Pragmatic Play na ushinde mgao wa Bil 12 za Meridianbet kasino

  HII habari njema kwa wapenzi wote wa michezo ya kasino ya mtandaoni kutoka Meridianbet ambao tayari wamejisajili na hata wasiojisajili, wana nafasi...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Mitaala yaandaliwa kukabili uhaba wa watalaam uchimbaji chini ya ardhi

KATIKA kukabiliana na uhaba wa watalaam wa uchimbaji  wa kina kirefu chini ya ardhi (Underground Mine), Chemba ya Migodi Tanzania (TCM) kwa kushirikana...

Michezo

Unakosaje maokoto za Meridianbet na mechi za EUROPA?

  EUROPA Ligi hatua ya 16 bora kuendelea leo ambapo kutakuwa na mechi kibao zenye ODDS KUBWA pale meridianbet, na hizi ni mechi...

Biashara

Faida ipo kwenye sloti ya 100 Super Icy, shinda na Meridianbet kasino

  IKIWA wewe ni mpenzi wa kucheza kasino ya Mtandaoni basi Meridianbet Kasino ni tulizo la moyo wako. Nakushauri tu cheza mchezo wa...

Michezo

Mtanange wa UEFA unaendelea kuwaka leo

JUMATANO  ya leo ni siku nyingine ya kushuhudia kandandasafi la ligi ya mabingwa ulaya ambapo michuano hiyoitaendelea na michezo mikali itapigwa katika viwanja...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Exim yaungana na Dk. Mwinyi kuchochea utalii Z’bar

Benki ya Exim Tanzania imesisitiza dhamira yake kuhudumia wadau mbalimbali wa sekta ya utalii ndani na nje ya nchi ili kuunga mkono na...

Biashara

Shinda mgao wa Mil 13 ukicheza kasino za Expanse na Meridianbet

  JE, unatambua kwamba kuna Milioni 13 TZS zipo Meridianbet kasino ya mtandaoni hivi sasa zinakusubiri? Na unaweza kuzipata kupitia simu yako yam...

Biashara

NMB yatajwa benki bora ya biashara Tanzania

Benki ya NMB imetunukiwa Tuzo ya Benki Bora ya Biashara Ndogo na za Kati Tanzania kutoka Jarida la Kimataifa la Global Finance katika...

BiasharaHabari Mchanganyiko

TPSF yataja mbinu ya kuibua vipaji vipya taaluma ya madini

Mkurugenzi wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), Raphael Maganga ametoa wito kwa kampuni za sekta binafsi kuiga mwongozo wa Kampuni ya Geita...

Biashara

Puma Tanzania yaneemesha wanafunzi 2,050 Z’bar

KATIKA jitihada za kuunga mkono serikali kupunguza uhaba wa matundu ya choo kwa wanafunzi shuleni, Puma Energy Tanzania imefanya ukarabati mkubwa wa majengo...

Michezo

Kusanya maokoto na mechi za UEFA leo

  LIGI ya mabingwa barani Ulaya inaendelea hii leo kwa hatua ya 16 kwa timu ambazo wiki iliyopita hazikucheza. Na wewe mteja una...

Biashara

Huu hapa mchezo mpya Poker “All Aces”, ushindi kugusa Meridiabet kasino 

  Unapotembelea kasino ya mtandaoni ya Meridianbet bila shaka huwa unakutana na michezo mingi ya Poker na kasino lakini mchezo wa All Aces...

Biashara

NMB yamwaga misaada kwa shule tano Rorya

BENKI ya NMB imetoa msaada wenye thamani ya zaidi ya Sh 80 milioni ukiwa ni madawati 250 pamoja na mabati 368 kwa shule...

Biashara

Mchezo wa karata usiotumia Jokeri, Poker Teen Patti kasino mtandaoni, ushindi kwa karata 3 tu 

  HABARI yako mpenzi wa Michezo ya Kasino, leo nataka kukupekea kwenye ulimwengu wa Poker Teen Patti. Kama hujapata fursa ya kucheza poker...

Michezo

Mkwanja utaendelea kutoka leo kupitia ligi kubwa barani Ulaya

LIGI mbalimbali barani ulaya zitaendelea kupigwa leoJumapili ambapo zitakuwezesha wewe mteja waMeridianbet kupiga mkwanja wa kutosha kupitia michezoambayo itapigwa leo,Kwani michezo hiyo imepewa ODDS...

Biashara

Meridianbet yatoa msaada kwa wauza chakula Coco Beach

KAMPUNI bingwa ya michezo ya kubashiri Meridianbet wamefanikia kufika eneo la Coco Beach jijini Dar-es-salaam leo na kuweza kutoa msaada wa vifaa vya usafi...

Michezo

Leo ndiyo siku yako ya wewe kuwa milionea na Meridianbet

  JUMAMOSI ya leo mechi mbalimbali zinaendelea kuanzia kule EPL, Laliga, Bundesliga, Ligue 1 na nyingine nyingi. Huu ndio muda wa wewe kujipigia...

Biashara

Giant Wild Goose Pagoda sloti kutoka Meridianbet kasino 

  GIANT Wild Goose Pagoda ni mchezo wa sloti kwenye kasino ya mtandaoni yenye nguzo tano zilizopangwa katika mistari minne na ina njia...

Michezo

Unaachaje kuwa milionea ukibashiri na Meridianbet?

  IJUMAA ya leo mechi mbalimbali zinaendelea kuanzia kule Laliga, Bundesliga, Ligue 1 na nyingine nyingi. Huu ndio muda wa wewe kujipigia mkwanja...

Michezo

Cobhams Asuquo agonga kolabo na Sauti Sol kwenye video “Lady Fiona”

MSANII maarufu nchini Nigeria, Cobhams Asuquo ameshirikiana na kundi maarufu nchini Kenya, Sauti Sol kwenye video inayokwenda kwa jina la ‘Lady Fiona’. Anaripoti...

Michezo

Leo ni Alhamisi ya Ligi ya UEFA Conference

ALHAMISI ya leo itakua ya neema kwa wateja wa Meridianbetkwani michezo ya Uefa Conference league itakwendakupigwa ambayo itakuwezesha wewe mteja lupiga mkwanjawa kutosha kupitia...

Biashara

Chronicles of Olympus 2 Zeus, sloti yenye historia ya Ugiriki

  MBELE yako ni mchezo wa kasino ya mtandaoni wa kusisimua unaofanyika kwenye Mlima Olympus wenye historia kubwa sana nchi ya Ugiriki kutokana...

Michezo

Alhamisi nyingine hii hapa kwa ajili ya Ligi ya EUROPA 

  BAADA za kushuhudia mechi za ligi ya mabingwa siku hizi mbili, leo hii ni siku ya EUROPA LEAGUE hatua ya 16 bora...

BiasharaHabari za Siasa

Serikali yavutiwa na mpango wa Vodacom wa ‘Code like a Girl’

  SERIKALI imevutiwa na mpango wa Kampuni ya simu ya Vodacom Tanzania wa ‘Code like a Girl’ na kuahidi kujenga chuo maalum kitachofundisha...

Michezo

Jumatano ya kupigwa mkwanja kwenye usiku Ulaya 

  LIGI ya mabingwa ulaya itaendelea leo katika viwanja mbalimbali barani ulaya ambapo itakujia na ODDS KUBWA kama ilivyo kawaida ya mabingwa wa...

Biashara

Cake & Ice Cream kasino mtandaoni ushindi x2500

  HAKUNA mtu asiyejua utamu wa keki, na utamu huo hupatikana kwa kutengenezwa vizuri na kupambwa kwa Ice Cream bomba ili kuivutia keki,...

Michezo

Shinda na Meridianbet leo mechi hizi za UEFA

LEO hii ligi za Mabingwa barani Ulaya yani UEFA inarejea kwa kasi za kimbunga hatua za 16 bora huku ODDS za michezo hiyo...

Biashara

20 Imperial Crown ushindi kiganjani kwako 

  HATIMAYE Meridianbet Kasino Mtandaoni imekuja na mchezo mwingine wa matunda ambao kiukweli kama ukianza kucheza huwezi kujutia muda wako, mchezo huu wa...

Michezo

Olori aachia EP ya kwanza chini ya Davido

STAA wa muziki nchini Nigeria, Logos Olori ametoa albamu yake fupi (EP) akiwa chini ya lebo ya mwanamuziki nyota nchini humo, Davido. Anaripoti...

Elimu

Takukuru wambana Mwalimu mkuu, atema bungo

Mwalimu Mkuu wa shule msingi Hanihani, kata ya Igunga wilayani Igunga mkoani Tabora, Joseph Luyega aliyekuwa anatuhumiwa na baadhi wa wazazi wanaosomesha watoto...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Oryx Gas yatimiza ombi la Dk. Mwinyi, yagawa mitungi 1,000 Z’bar

KAMPUNI ya gesi ya Orxy imetekeleza maombi ya Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi kwa kupeleka mitungi ya gesi...

Biashara

Fuata nyayo za utajiri ukicheza kasino ya Cobra Queen 

  Meridianbet Kasino Mtandaoni utapata fursa ya kufurahia mchezo uliochochewa na mandhari maarufu zaidi. Unaweza kufikiri ni nini? Bila shaka, ni kuhusu Misri...

Biashara

NMB Pesa Day yatikisa, Weka na Ushinde yazinduliwa

MAELFU ya wananchi wa wilaya ya Temeke, hususani wakazi wa Mbagala na vitongoji vyake, wamefurika vilivyo katika Tamasha la Kuhamasisha Ufunguaji wa Akaunti...

Biashara

Jumatatu ya maokoto na Meridianbet imefika

  BAADA ya kushuhudia mechi mbalimbali wikendi hii zikipigwa, leo hii pia kuna timu zitakuwa viwanjani kusaka pointi 3 muhimu kuanzia kule Uingereza...

Michezo

Nigeria vs Ivory Coast kueleweka leo

UTAMU wa Fainali ya AFCON kule nchini Ivory Coast ni leo ambapo katika Dimba la Alassane Ouattara Kombe litakuwa likiwaniwa kati za Nigeria...

Biashara

Wadau wahimiza kudumisha uwekezaji nishati safi na salama majumbani

  UMOJA wa Wafanyabiashara wa Gesi (LPG) za Mitungi ya Majumbani nchini (TZLPGA) wamekutana na waandishi wa habari kujadili njia endelevu za kukuza...

Biashara

Kampuni ya ubashiri Tanzania Meridianbet yatua Mwenge

LEO hii siku za Jumamosi Meridianbet wakiongozwa na Mhariri wa kampuni hiyo za ubashiri Tanzania walifika maeneno za Mwenge jijini Dar es salaam...

Kimataifa

Malawi yaondoa vikwazo vya viza kwa nchi 79 ikiwamo TZ

Waziri wa usalama wa ndani nchini Malawi, Ken Zikhałe ametangaza mabadiliko ya kanuni za uhamiaji nchini humo kwa kuondoa vizuizi vya viza kwa...

Biashara

Unaanzaje kuacha kucheza kasino ya Regal Crown ikiwa na njia 100 za ushindi

  KUTANA na huu mchezo wa kasino mtandaoni kutoka Meridianbet unaitwa Regal Crown 100, kasino hii imetengenezwa na Amigo. Mchezo una majoka ambayo...

Biashara

NMB yakutana na viongozi Ofisi ya Waziri Mkuu

Ujumbe kutoka Benki ya NMB ukiongozwa na Mkuu wa Idara ya Huduma za Kibenki kwa Serikali na Ofisi ya Makao Makuu Ndogo ya...

error: Content is protected !!