Thursday , 2 May 2024
Home Kitengo Michezo Piga pesa na mechi za EUROPA leo hii
Michezo

Piga pesa na mechi za EUROPA leo hii

Spread the love

Hatimaye Alhamisi ya EUROPA imefika ambapo leo hii mechi kibao nne kupigwa kwenye viwanja mbalimbali hatua ya robo fainali kule, na wewe una nafasi ya kupiga mkwanja ukibashiri na meridianbet.

Tukianza na mechi ya Liverpool ambao wao watasafiri hadi Italia kulipa kisasi dhidi ya Atalanta ambao mechi ya kwanza waliwafunga wakiwa Anfield. Mechi hiyo itapigwa majira ya saa 4:00 usiku meridianbet wamempa nafasi kubwa ya kuondoka na ushindi Klopp na vijana wake kwa ODDS 1.57 kwa 4.90. Je Gasperin anaweza kubali kupigika nyumbani huku akiwa na uongozi wa mabao 3-0?. Beti mechi hii.

Kumbuka kucheza michezo ya Kasino ya Mtandaoniambayo inatolewa ndani ya meridianbet kama vile Poker, Roullette, Aviator, Rockertman, Keno, Sloti na mingine kibao. Ingia mchezoni na ucheze sasa.

Mechi nyingine itakuwa katika dimba la London ambapo mwenyeji West Ham United chini ya David Moyes atamleta nyumbani kwake Bayer Leverkusen ambaye ndiye bingwa wa Bundesliga ambalo alilichukua wiki iliyopita. Mechi ya kwanza Alonso alishinda akiwa kwake. Je leo hii atasonga hatua ya nusu fainali? Mechi hii imepewa ODDS 4.90 kwa Wagonga Nyundo na 1.83 kwa mgeni. Jisajili hapa.

Mpambano mwingine ni huu hapa ambao unazikutanisha timu mbili kutoka Italia ambazo zinashiriki ligi moja, yaani namaanisha AS Roma dhidi ya AC Milan ambayo ipo chini ya kocha mkuu Stephano Pioli.

AS Roma ambao wametoka kumuongezea mkataba kocha wao walishinda mechi ya kwanza walipokutana kule San Siro. Je leo hii Milan wanaweza nao shind awkaiwa ugenini? Meridianbet wamempa Pioli na vijana wake anafasi kubwa ya kushinda kwa ODDS 2.28 kwa 2.99. Tengeneza jamvi lako hapa.

Vilevile mechi ya pesa itakuwa ni hii hapa ya Olympique Marseille dhidi ya SL Benfica kutoka Ureno ambaye alishinda mechi ya kwanza. Marseille anataka kulipa kisasi na kushinda leo kwa ODDS ya 2.35 kwa 2.84. Wewe nani unaona atakupa pesa?. Suka jamvi lako sasa.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari MchanganyikoMichezo

Wanamichezo Mei Mosi wachangia wahitaji vitu vya mil. 11.5

Spread the loveWanamichezo wanaoshiriki Michezo ya Mei Mosi Taifa 2024 jijini Arusha...

Michezo

Usiku wa Ulaya umerejea kibabe kabisa

Spread the love  LIGI ya Mabingwa barani Ulaya imerejea tena na awamu...

Habari MchanganyikoMichezo

Mambo ya Ndani, Ulinzi zang’ara michezo ya Mei Mosi Arusha

Spread the loveRais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi nchini (TUCTA), Tumaini...

Michezo

Beti na Meridianbet mechi za leo

Spread the love IKIWA leo hii ni Jumapili tulivu kabisa, Meridianbet wanamkwambia...

error: Content is protected !!