Sunday , 19 May 2024

Month: August 2023

AfyaHabari Mchanganyiko

Rais Samia akagua ujenzi wa kituo cha afya Kizimkazi kinachojengwa na Serikali, NBC

RAIS Samia Suluhu Hassan ametembelea ujenzi wa Kituo cha Afya cha Kizimkazi kilichopo Mkoa wa Kusini Unguja kinachojengwa na Serikali kwa kushirikiana na...

Habari za SiasaTangulizi

JUKATA waanika sababu Dk. Ndumbaro kung’olewa

JUKWAA la Katiba Tanzania (Jukata) limeeleza kuwa mojawapo ya sababu ya kuhamishwa Dk. Damas Ndumbaro kutoka Wizara ya Katiba na Sheria kuelekea wizara...

KimataifaTangulizi

Mwanaye rais aliyepinduliwa Gabon, afumwa na mabegi ya pesa

Mabegi, mifuko pamoja na masanduku yaliyojazwa fedha za nchi mbalimbali yamekutwa ndani ya nyumba ya Yann Ngulu mtoto mkubwa wa Rais Ali Bongo...

Habari za Siasa

Bunge laridhia itifaki kufungua soko la biashara SADC

BUNGE la Tanzania, limeridhia Itifaki ya Biashara ya Huduma ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) ya 2012, yenye lengo la kufungua...

Habari za Siasa

Kinana: Vyama vinampongeza Samia namna anavyoongoza nchi

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Abdulrahman Kinana, amesema vyama vya siasa vinampongeza Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, kwa namna anavyoongoza...

Habari za Siasa

Rais Samia awataka wananchi washiriki uandaaji dira ya maendeleo

RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amewataka wananchi washiriki katika zoezi la kutoa maoni kwa ajili ya maandalizi ya Dira ya Maendeleo ya Taifa...

Biashara

Prof. Kitila asisitiza uwekezaji hatifungani ya kijani

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo ametoa rai kwa wananchi, kampuni za sekta binafsi na umma, taasisi...

Habari za Siasa

Othman: Tutumie rasilimali zetu kwa manufaa ya wote

MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud Othman yeye pamoja na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wako tayari kushirikiana na wawekezaji, Serikali...

Habari za Siasa

Mpina aibana Serikali kuadimika kwa dola

MBUNGE wa Kisesa, ameihoji Serikali sababu za Dola za Marekani kuadimika nchini, wakati ikijinasibu kwamba kuna ongezeko la uwekezaji, utalii na mauzo ya...

Biashara

Rais Samia azindua tawi la 230 NMB Kizimkazi Zanzibar

RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan jana Jumatano amezindua Tawi la Benki ya NMB Paje, Mkoa wa Kusini Unguja Visiwani Zanzibar, uzinduzi unaoendelea kupanua...

Kimataifa

Binamu wa Ali Bongo ateuliwa kuwa rais wa mpito Gabon

VIONGOZI wa kijeshi waliochukua madaraka nchini Gabon wamemtangaza mkuu wa kitengo cha walinzi wa rais, Brice Clotaire Oligui Nguema, kama kiongozi wa mpito...

Biashara

Rais Samia aipongeza Camel Oil kwa mradi wa bilioni Zanzibar

RAIS Samia Suluhu Hassan ameipongeza  Kampuni ya Camel Oil kwa kufadhili ujenzi wa mradi wa kituo cha michezo cha kufurahisha watoto kuanzia miaka...

Kimataifa

70 wahofiwa kufa kwa ajali ya moto Sauz

ZAIDI ya watu 70 wanahofiwa kufa baada ya kuungua kwa ajali ya moto katika jengo la ghorofa tano ambalo linatumiwa na watu wasio...

Kimataifa

Kiwango cha deni la Kenya chafikia rekodi ya juu, deni la China latajwa

pPAMOJA na jitihada za Rais wa Kenya William Ruto za kudhibiti kiwango cha deni la taifa hilo lakini inaripotiwa madeni kufika rekodi za...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia apangua tena Manaibu Mawaziri, Mnyeti ahamishwa kabla ya kuapishwa

  RAIS Samia Suluhu Hassan amefanya uhamisho na uteuzi wa viongozi mbalimbali ikiwamo Naibu Waziri David Silinde ambaye amehamishwa kutoka Wizara ya Mifugo...

Habari za Siasa

Chadema yataka Serikali kutumia mbinu za kisayansi kudhibiti uvamizi wanyama pori

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeitaka Serikali kutumia mbinu za kisayansi kudhibiti uvamizi wa wanyamapori katika maeneo wanaoyoishi wananchi. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Habari Mchanganyiko

Serikali yaandaa mpango Watanzania kutumia Shilingi China

NAIBU Waziri wa Fedha, Hamadi Chande amesema serikali inatarajia kuja na mpango wa kuwezesha wafanyabiashara wa Tanzania na China kutumia sarafu ya Tanzania...

Biashara

Serikali yaanza mchakato kumsaka mwekezaji General Tyre

Serikali imesema ipo mbioni kukamilisha taratibu za kuutangaza zabuni ya kufufua kiwanda cha kutengeneza matairi cha General tyre kilichopo mkoani Arusha ifikapo Oktoba,...

Habari Mchanganyiko

TCRA, COSTECH kuinua teknolojia ya kidijiti

MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) pamoja na Tume ya Sayansi na Teknolojia Tanzania (COSTECH) zimeungana kwa lengo la kutoa rasilimali za mawasiliano bila...

Habari za Siasa

Bunge laridhia marekebisho ushirikiano anga Afrika

BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, limepitisha azimio la kuridhia mapendekezo ya Katiba ya Tume ya Usafiri wa Anga ya Afrika ya...

Habari za SiasaTangulizi

Mabula, Masanja ‘out’, Makamba apelekwa mambo ya nje

  MABADILIKO madogo ya Baraza la Mawaziri, yaliyofanywa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, yamegusa kwa namna tofauti baadhi ya mawaziri, ambapo wapo...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia apangua baraza la mawaziri, Biteko awa Naibu Waziri Mkuu, Silaa aula

  RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amefanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri, kwa kuanzisha nafasi mpya ya Naibu Waziri Mkuu, kuunda wizara...

Habari za Siasa

Serikali kuwashtaki wanaosambaza picha za wahanga wa ukatili mitandaoni

SERIKALI imewaonya watu wanaosambaza mitandaoni picha na video za wahanga wa vitendo vya ukatili wa kijinsia, ikisema itawashtaki kama hawataacha mara moja. Anaripoti...

Habari za Siasa

Chadema yamjia juu Spika Tulia kisa mkataba wa bandari

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimepinga uamuzi wa Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson, kuzuia wabunge kujadili bungeni sakata la mkataba wa...

Kimataifa

Ruto ageuka mbogo walanguzi sukari, “wahame au waende mbinguni”

RAIS wa Kenya, William Ruto ametoa onyo kwa walanguzi wa biashara ya sukari nchini humo ambao wanazuia mchakato wa kutaka kufufuliwa kwa kampuni...

Habari za SiasaTangulizi

Bunge lagoma kurekebisha sheria kuwezesha uwekezaji bandarini

BUNGE limegoma kufanyia kazi muswada uliowasilishwa na Serikali kwa ajili ya kurekebisha sheria zinazosimamia rasilimali na maliasili za nchi, uliolenga kuwezesha uwekezaji bandarini,...

Habari za SiasaTangulizi

Wabunge waibana Serikali kikokotoo cha mafao, wataka muswada sheria ifutwe

WABUNGE leo Jumanne wameitaka Serikali kupeleka bungeni muswada wa marekebisho ya Sheria hifadhi ya jamii ya mwaka 2017 ili iruhusu wastaafu kulipwa kwa...

Elimu

TCU yatoa maelekezo tisa, yaonya vyuo

TUME ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU), imetoa maelekezo tisa yanayopaswa kufuatwa vyuo vya elimu ya juu na waombaji wapya katika mchakato wa udahili...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Dugange arejea bungeni, amshukuru Rais Samia

HATIMAYE Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Dkt. Festo Dugange leo Jumanne amerejea bungeni na kuendelea...

Biashara

Rais Samia azindua ujenzi skuli ya Mil. 600/- inayojengwa na NMB

RAIS Samia Suluhu Hassan ameweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Skuli ya Maandalizi Tasani, iliyopo Shehia ya Tasani, Makunduchi – Zanzibar inayojengwa...

Habari Mchanganyiko

Mwenyekiti wa Bodi ya TMA akagua ofisi, kituo cha tahadhari ya Tsunami

  MWENYEKITI wa Bodi ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dk. Buruhani Nyenzi amekagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa Ofisi...

Kimataifa

Kesi ya Trump Machi mwakani, mbio za urais shakani

KESI dhidi ya rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump kutokana na madai ya kujaribu kuingilia matokeo ya uchaguzi wa rais wa 2020...

Kimataifa

Raia wa China atiwa mbaroni kwa kusambaza sigara ‘feki’ Colombo

RAIA wa China aliyekamatwa kwa kosa la kusambaza sigara zenye chapa ya kichina huko Colombo Sri Lanka amehukumiwa kulipa faini ya Rupia Milioni...

Habari Mchanganyiko

TRA yazindua kampeni ya kuhamasisha wafanyabiashara kutoa risiti

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA, Mkoa wa Kikodi wa Kariakoo wamebandika stika maalumu kwaajili ya uzinduzi rasmi wa kuhamasisha wafanyabiashara kutoa risiti pale...

Habari za SiasaTangulizi

Balozi Ali Idi Siwa bosi mpya usalama wa Taifa

RAIS Samia Suluhu Hassan ameendelea kupangua Idara ya Usalama wa Taifa baada ya leo Jumatatu kumteua Balozi Ali ldi Siwa kuwa Mkurugenzi Mkuu...

Habari za Siasa

Chadema yaanza kuchochea moto uchaguzi serikali za mitaa

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeendelea kutumia mikutano yake ya hadhara kuwataka wananchi kutumia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa 2024, kung’oa...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe: CCM mmerogwa?

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Taifa, Freeman Mbowe amekitaka Chama Cha Mapinduzi (CCM), kiikabidhi Chadema Serikali kama kimeshindwa kusimamia rasilimali...

Afya

Rais Dk. Mwinyi azindua ujenzi wa kituo cha afya Kizimkazi

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amezindua ujenzi wa Kituo cha Afya cha Kizimkazi kilichopo Mkoa...

Biashara

NBC yashiriki ‘Wogging’ ya AMREF, yakabidhi msaada wa Mil. 200

BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imeungana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi pamoja na...

ElimuMichezo

Tunda Man azishauri shule kuwa na programu za kuibua vipaji

  MWANAMUZIKI Khaleed Ramadhan maarufu kama Tunda Man alifanya onyesho la aina yake kwenye shule ya Brilliant na kuzishauri shule ziwe na profamu...

Habari za SiasaTangulizi

Serikali yavunja ukimya mchakato katiba mpya, kutoa elimu kwa miaka 3

SERIKALI imevunja ukimya kuhusu utekelezaji mchakato wa marekebisho ya katiba, ikisema kwa sasa imeweka kipaumbele katika kutoa elimu kwa wananchi kuhusu suala hilo,...

Kimataifa

Nimedhulmiwa ushindi wa Urais– Chamisa

MPINZANI katika uchaguzi mkuu nchini Zimbabwe, Nelson Chamisa amelalamika kudhulumiwa haki yake ya kushinda kuwa Rais wa Zimbabwe dhidi ya Emmerson Mnangagwa kwenye...

Biashara

DC Same atoa mwezi mmoja halmashauri kuhamisha gulio

MKUU wa Wilaya ya Same, Kasilda Mgeni ametoa mwezi mmoja kwa uongozi wa halmashauri hiyo kuhamisha gulio linalofanyika Jumatano hadi Jumapili eneo lililotengwa...

Habari za Siasa

ACT-Wazalendo yahofia mkwamo mageuzi kisiasa

CHAMA cha ACT-Wazalendo, imeitaka Serikali kutoa ratiba ya utekelezaji wa mageuzi ya kisiasa nchini. Anaripoti Matilda Peter, Dar es Salaam…(endelea). Wito huo umetolewa...

Habari Mchanganyiko

Balozi atoa ufafanuzi binti Sayuni kutimuliwa ubalozini India

Ubalozi wa Tanzania nchini India umetoa ufafanuzi kuhusu Mtanzania, Sayuni Eliakim aliyedaiwa kushindwa kusaidiwa ubalozini hapo kupata hati ya kusafiria ili arudi Tanzania,...

Elimu

Wanafunzi bora shule ya Brilliant kutesa na iphone macho matatu

MKURUGENZI wa shule ya Brilliant Dk. Jasson Rweikiza, amesema hakuna mwanafunzi wa shule hiyo atakayefukuzwa kwa kukosa ada baada ya kufiwa na mzazi...

Michezo

Mkewe Messi amkumbatia Jordi Alba kimakosa akidhani ni mumewe

BAADA ya ushindi wa timu anayochezea Lionel Messi, Inter Miami dhidi ya FC Cincinnatti kwa matuta ya penalty nchini Marekani, uwanja ulifurika kwa...

Kimataifa

Waziri Libya atumbuliwa baada ya kukutana na mwenzie wa Israel

KIONGOZI wa serikali ya Libya amemsimamisha kazi waziri wake wa mambo ya nje baada ya mwenzake wa Israel kutangaza kuwa, wawili hao walifanya...

Kimataifa

Rais Mnangagwa ashinda uchaguzi, upinzani wapinga

TUME ya taifa ya uchaguzi nchini Zimbabwe imemtangaza Rais Emmerson Mnangagwa kuwa mshindi wa kiti cha Urais katika uchaguzi uliofanyika Jumatano 23 Agosti...

Habari Mchanganyiko

Madiwani Msalala wamtumia ujumbe Rais Samia

MADIWANI wa Halmashauri ya Msalala, wilayani Kahama, Mkoa wa Geita, wametuma ujumbe wa pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan, kutokana na Serikali yake...

error: Content is protected !!