WADAU wa madini nchini wakiwemo watafiti, wachimbaji wadogo wa madini, kampuni za uchimbaji wa kati na mkubwa wa madini wameshauriwa kutumia maabara ya ...
By Mwandishi WetuAugust 5, 2023KATIKA kuendelea kuhakikisha bidhaa ya mafuta ya petroli inapatikana kwa uhakika maeneo yote nchini, Chama cha Waagizaji na Wasambazaji Mafuta Tanzania (TAOMAC) wamekutana...
By Mwandishi WetuAugust 5, 2023WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, ameipongeza Benki ya NMB kwa kutenga mabilioni ya fedha za mikopo katika kipindi cha miaka miwili kuunga...
By Mwandishi WetuAugust 5, 2023Tume ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza kuwa uchaguzi mdogo wa Ubunge katika Jimbo la Mbarali na madiwani katika kata sita za Tanzania Bara,...
By Mwandishi WetuAugust 5, 2023POLISI wa Jimbo la Massachusetts, limedai chanzo cha kifo cha Tafari Campbell (45), aliyekuwa mpishi wa Rais mstaafu wa Marekani,Baraka Obama, kilikuwa...
By Mwandishi WetuAugust 4, 2023WAFANYABIASHARA wametakiwa kutumia Bandari ya Dar es Salaam, kusafirisha mizigo yao badala ya kutumia bandari za mbali, ili kuokoa muda na gharama....
By Mwandishi WetuAugust 4, 2023KAMPUNI ya Usafirishaji majini, PMM Shipping Limited imezindua huduma ya kusafirisha makontena kutoka Bandari ya Dar es Salaam, kwenda maeneo mengine ikiwemo...
By Regina MkondeAugust 4, 2023TANZANIA kupitia Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo na Serikali ya Cuba kupitia Taasisi ya INDER ya nchini humo zimekubaliana kushirikiana katika...
By Mwandishi WetuAugust 4, 2023SERIKALI imesema itahakikisha gharama za usafishaji figo zinakuwa nafuu ili kuokoa maisha ya watanzania. Anaripoti Mwandishi Wetu, … (endelea). Kauli hiyo imebainishwa...
By Mwandishi WetuAugust 4, 2023HALMASHAURI ya Wilaya ya Bahi imewaomba wawekezaji kuwekeza kwenye sekta za kilimo, mifugo na uvuvi wilayani humo ili kuongeza uzalishaji na kuleta...
By Danson KaijageAugust 4, 2023RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan atakuwa mgeni Rasmi katika Tamasha la Michezo Simba Day litakalofanyika Jumapili...
By Mwandishi WetuAugust 4, 2023KIJANA mmoja anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 20 amewashambulia watu 14 kwa kuwagonga na gari na kuwachoma kwa kutumia kitu chenye ncha...
By Mwandishi WetuAugust 4, 2023KATIKA hali isiyo ya kawaida Mzee Isaac Mwasilu mkazi wa Kata ya Iyela – Mbeya Mjini mkoani Mbeya, amesema bora arudi nyumbani na...
By Gabriel MushiAugust 3, 2023WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Kilimo iweke katika lugha rahisi andiko juu ya upatikanaji wa mitaji na pembejeo kwa wakulima na...
By Gabriel MushiAugust 3, 2023MAKAMU wa Rais Dk. Philip Mpango ametoa wito kwa taasisi za fedha nchini kutumia vema Maonesho ya Kilimo ya NaneNane yanayoendelea jijini...
By Mwandishi WetuAugust 3, 2023KATIKA kuuunga mkono juhudi za Serikali kuwainua vijana kupitia mradi wa kuwawezesha kulima, kuvua na kufuga kibiashara (BBT), Benki ya NMB imetenga jumla...
By Gabriel MushiAugust 3, 2023WATU wanne akiwemo aliyekuwa Mwalimu wa Chuo Kikuu cha Mzumbe, Tawi la Dar es Salaam, Nora Msuya, wamefariki dunia katika ajali ya...
By Mwandishi WetuAugust 3, 2023RAIA wa Ukraine takribani 10,749, wamefariki dunia huku 15,599 wakijeruhiwa katika vita inayoendelea nchini humo. Anaripoti Mlelwa Kiwale, TUDARCo kwa msaada wa...
By Mwandishi WetuAugust 3, 2023OFISI ya Msajili wa Vyama vya siasa nchini, inaendelea na zoezi la uhakiki wa masharti ya usajili wa vyama hivyo, ambapo hadi...
By Regina MkondeAugust 3, 2023MLINZI wa Hoteli ya Twiga, aliyefahamika kwa jina la Cyprian, anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Geita, kwa tuhuma za kuchoma gari...
By Mwandishi WetuAugust 3, 2023JESHI la kujenga Taifa Nchini(JKT) limewataka wananchi wa mkoa wa Mbeya na mikoa jirani kuendelea kujitokeza kwa wingi kwenye banda lake lililopo...
By Mwandishi WetuAugust 3, 2023KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imesema ipo tayari kushirikiana kikamilifu na Shirika la Umeme nchini (Tanesco) kwa kutumia umeme gridi...
By Mwandishi WetuAugust 3, 2023RAIS wa zamani wa Marekani, Donald Trump ameshtakiwa mara ya tatu ndani ya miezi minne iliyopita, sasa anatuhumiwa kula njama ya kutaka...
By Mwandishi WetuAugust 2, 2023BENKI ya NMB imetambuliwa na kupokea tuzo tatu za kimataifa ambazo ni Benki Bora Tanzania 2023, benki bora ya wateja maalum kutoka...
By Mwandishi WetuAugust 2, 2023MCHUNGAJI Paul Mackenzie na washtakiwa wenzake 29 wamesababisha vurugu katika Mahakama ya Shanzu wakipinga ombi la upande wa mashtaka kwa mahakama kutaka watuhumiwa...
By Mwandishi WetuAugust 2, 2023CHAPA ya simu mahiri inayoongoza kwa ubora Infinix Mobile LTD imegonga vichwa vya habari wiki hii baada ya Infinix NOTE 30 kushinda...
By Mwandishi WetuAugust 2, 2023Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini zitakazotumika kuanzia...
By Mwandishi WetuAugust 2, 2023MHASIBU wa kiwanda cha kuzalisha mafuta ya kula ya alizeti – Malaika Sunflower Oil, Ester Lumambo amewashauri wakulima wa mazao ya alizeti nchini...
By Mwandishi WetuAugust 1, 2023BAADHI ya vyama vya siasa vya upinzani nchini vimeitaka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, ivifutie usajili vyama vinavyokiuka sheria katika...
By Regina MkondeAugust 1, 2023MAKAMU wa Rais nchini Dk. Philip Mpango ameweka wazi mipango ya serikali ya kuimarisha sekta ya kilimo, ufugaji na uvuvi ili kuongeza thamani...
By Mwandishi WetuAugust 1, 2023RAIS wa Kenya, William Ruto amemtimua Waziri wa Biashara, Moses Kuria na mwenzake wa Usalama wa Ndani Kithuri Kindiki baada ya kuchelewa kwenye...
By Mwandishi WetuAugust 1, 2023Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Algeria, Abdelmadjid Tebboune amekutana kwa mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa...
By Mwandishi WetuAugust 1, 2023KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe ameitaka Serikali itoe elimu kwa vyama vya siasa, kuhusu mkataba wa uwekezaji bandari nchini, ili kuondoa...
By Regina MkondeAugust 1, 2023WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angelina Mabula amempongeza Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Halima Bulembo kwa ubunifu wake wa...
By Mwandishi WetuAugust 1, 2023HOSPITALI ya Taifa Muhimbili Mloganzila imesema hadi sasa imetoa huduma ya kupunguza uzito kwa watu 128 wenye uzito uliopitiliza kwa kutumia puto maalum...
By Mwandishi WetuAugust 1, 2023Uongozi mpya wa kijeshi nchini Niger umeituhumu Ufaransa kutaka kuingilia kati kijeshi ili kumrejesha madarakani Rais aliyeng’olewa Mohammed Bazoum. Anaripoti Mariam Mudhihiri kwa...
By Mwandishi WetuAugust 1, 2023BARAZA la Vyama vya Siasa nchini, limeitisha mkutano wa dharura kwa ajili ya kujadili hali ya siasa nchini. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es...
By Regina MkondeAugust 1, 2023MKUU wa mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule amewataka Watanzania kutoibeza na kuikwamisha miradi mikubwa ya maendeleo inayotekelezwa na serikali kwa kushirikiana na baadhi...
By Mwandishi WetuAugust 1, 2023