Tuesday , 21 May 2024

Month: August 2023

Biashara

Bosi NMB akabidhi misaada ya milioni 10 kwa New Hope for Girls

MIEZI mitano tangu alipotunukiwa Tuzo ya Malkia wa Nguvu (wa Sekta Binafsi Tanzania), Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna,...

Biashara

ASAS Dairies yajitosa kuokoa afya za watoto wadumavu Z’Bar

KATIKA kuunga mkono jitihada za Serikali ya Mapindizi Zanzibar za kumaliza tatizo la udumavu kwa watoto  kampuni ya Asas Dairies  imezindua programu ya...

Habari za Siasa

Dk. Tax awapa wakuu wa mikoa mbinu kutekeleza diplomasia ya uchumi

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk. Stergomena Tax amewapa Wakuu wa Mikoa mbinu mbalimbali za kutekeleza Diplomasia ya...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia amtumbua DC Mtwara, wananchi walirudisha kadi…

RAIS Samia Suluhu Hassan leo jumapili amemtumbua Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, Hanafi Msabaha kutokana na madai ya kusababisha baadhi ya wananchi wa...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia aonya viongozi wanaosubiri maelekezo kutoka juu

RAIS Samia Suluhu Hassan leo jumapili amewaonya viongozi wa umma kuacha ‘kujidogosha’ kwa kutekeleza majukumu yao kwa kusubiri maelekezo kutoka juu badala yake...

Elimu

Serikali yaombwa kupunguza kodi shule binafsi

SERIKALI imeombwa kuzipunguzia mzigo wa kodi shule binafsi ili zimudu gharama za uendeshaji kwa lengo la kutoa huduma bora za elimu. Anaripoti Regina...

Biashara

Wakulima walia anguko bei ya Vanila, Serikali yawa bubu

LICHA ya Serikali kuhamasisha kilimo kwa ajili ya kuwainua wakulima kipato cha chini, wakulima wa zao la vanila katika kata ya Kanyangereko Wilaya...

Habari Mchanganyiko

Kiongozi wa waasi ADF aliyeuawa adaiwa kua Mtanzania

JESHI la Uganda limedai kumuua mmoja wa makamanda wa kundi la waasi wa ADF lenye mafungamano na wanamgambo wa dola la Kiislamu nchini...

Elimu

Wadau waombwa kutatua changamoto shule za umma

SERIKALI na wadau wametakiwa kujitoa katika kutatua changamoto zinazokabili shule za umma. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam…(endelea). Ushauri huo umetolewa na Mwenyekiti...

Biashara

Biashara ya China, Tanzania yafikia trilioni 20

BALOZI wa China nchini, Chen Mingjian, amesema ukuaji wa biashara kati yake Tanzania kuanzia mwaka 2022 hadi Juni, 2023, umefikia Dola za Marekani...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mikoa 16 kupata umeme kwa mgawo kuanzia leo

SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO)  limetangaza kuzimwa kwa njia ya kusafirisha umeme wa msongo wa Kilovoti 220 Kidatu -Kihansi kwa tarehe 26 hadi...

Kimataifa

Trump ajisalimisha polisi, aachiwa kwa dhamana

Rais Mstaafu wa Marekani, Donald Trump jana Alhamisi amejisalimisha kwa Polisi katika Jimbo la Georgia kutokana na mashtaka yanayomkabili akidaiwa kujaribu kubadili matokeo...

Habari MchanganyikoTangulizi

Askofu Dk. Alex Malasusa mkuu wa KKKT mpya mteule

Wajumbe wa Mkutano Mkuu 21 wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) wamemchagua Askofu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani Dk. Alex...

Habari za Siasa

Msajili vyama vya siasa ateta na viongozi Chadema

Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi  leo Alhamisi amekutana kwa mazungumzo na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman...

Michezo

Mkurugenzi Special Olympics Tanzania aivuruga taasisi

MKURUGENZI wa Taasisi ya Special Olympics Tanzania (SOT), Charles Rays anaivuruga taasisi hiyo inayojishughulisha na michezo kwa watu wenye ulemavu wa akili kwa...

Habari za Siasa

Naibu Spika Zungu kufungua kongamano la EAC, China

NAIBU Spika wa Bunge la Tanzania, Mussa Zungu, anarajiwa kufungua kongamano la kimataifa la kusherekea miaka 10 ya ushirikiano baina ya nchini za...

Kimataifa

Upinzani Zimbabwe walia rafu uchaguzi mkuu

Kiongozi wa upinzani nchini Zimbabwe, Nelson Chamisa, ameituhumu serikali ya nchi hiyo kwa udanganyifu na wizi wa kura katika uchaguzi mkuu uliofanyika jana...

Habari MchanganyikoTangulizi

TMA yatabiri uwepo wa mvua za juu ya wastani hadi wastani msimu wa vuli katika maeneo mengi ya nchi

  MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema mvua za juu ya wastani hadi wastani zinatarajiwa katika maeneo mengi ya mikoa ya...

Habari Mchanganyiko

Wasanii kitanzini, JWTZ yatoa siku 7 wanaovaa, kuuza sare za jeshi hilo

JESHI la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limetoa muda wa siku saba kwa wananchi na wafanyabiashara nchini kusalimisha mavazi ya jeshi hilo...

Habari za Siasa

Rais Mwinyi ateua viongozi wapya wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar

RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameteua wajumbe wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) na kuingiza damu changa kutoka Chama cha ADA-...

Kimataifa

Mamlaka ya Afya China yazindua kampeni ya kupambana na rushwa, wachambuzi waja tofauti

  SEKTA za matibabu na dawa za nchini China zimetajwa kuwa ndio kipaumbele cha kipekee zaidi katika kampeni ya Rais Xi Jinping ya...

Biashara

Vodacom yazindua kampeni ya ‘Maisha ni Kujiongeza na M-Pesa’ kwa ajili ya wateja na wafanyabiashara

KAMPUNI ya teknolojia na mawasiliano, Vodacom Tanzania PLC, kupitia huduma yake ya M-Pesa, imezindua kampeni ijulikanayo kama ‘Maisha ni Kujiongeza na M-Pesa’ inayowalenga...

Elimu

Shule zinazofanya mtihani wa dini ya Kiislam zaongezeka matokeo yatangazwa

  IDADI ya Shule ya shule za msingi zinazofanya mitihani ya elimu ya dini ya Kiislam nchini imeongezeka kulinganisha na mwaka jana kutoka...

Habari za SiasaKimataifa

Aliyejaribu kumpindua Putin afariki kwa ajali ya ndege

WATU 10 wamefariki dunia leo Jumatano baada ya ndege binafsi iliyokuwa ikitokea katika jiji la Moscow kwenda St. Petersburg kuanguka huko nchini Urusi....

Habari za SiasaTangulizi

Mbunge Ngorongoro aachiwa, asema harudi nyuma, ashangaa kukamatwa bila kibali cha Spika

HATIMAYE Mbunge wa Ngorongoro, Emmanuel Ole Shangai (CCM) ambaye alidaiwa kushikiliwa na polisi tangu tarehe 21 Agosti 2023 ameachiwa huru leo huku akisisitiza...

Biashara

NIC yajivunia mafanikio ya tuzo mbalimbali kwa mwaka 2023

  SHIRIKA la Bima Taifa (NIC) inejivunia mafanikio waliyopata ndani ya mwaka huu wa 2023 zilizopelekea kupokea tuzo tofauti tofauti zikiwemo za Msajiri...

Habari Mchanganyiko

Wanahabari wasisitizwa kusambaza taarifa za hali ya hewa kwa wakati

  KAIMU Mkurugenzi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dk. Ladislaus Chang’a amewasisitiza waandishi wa habari nchini kuisaidia mamlaka hiyo kutoa...

Habari za Siasa

Tanzania, Cuba kuwanoa wanasiasa vijana

Tanzania na Cuba zimekubaliana kushirikiana na kuimarisha misingi ya kisiasa, ujengaji wa uwezo kwa wanasiasa vijana, sekta za elimu, afya, utalii, biashara na...

Kimataifa

Watoto 500 wafariki kwa njaa

SHIRIKA la kimataifa la hisani la Save the Children limesema takriban watoto 500 wamefariki kutokana na njaa nchini Sudan. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa…(endelea)....

Kimataifa

Historia ya miaka 43 ZANU-PF kutamatika?

Raia wa Zimbabwe leo Jumatano wanapiga kura kuwachagua wabunge na rais katika uchaguzi ambao upinzani unalenga kumaliza utawala wa miaka 43 ya chama...

Habari za Siasa

Msajili awatwisha mzigo wanasiasa malalamiko rafu za uchaguzi

NAIBU Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Sisty Nyahoza, amevitaka vyama vya siasa kurekebisha dosari za ndani zinazoleta changamoto katika chaguzi, badala ya...

Michezo

NMB yadhamini CDF Trophy 2023 kwa Mil. 30/-

BENKI ya NMB imetangaza udhamini wa Sh. 30 milioni wa Mashindano ya Gofu ya Mkuu wa Majeshi Tanzania (NMB CDF Trophy 2023), yanayotumika...

Habari za Siasa

NEC yateua 58 kugombea udiwani, ubunge Mbarali

TUME ya Taifa ya Uchaguzi, imeteua wagombea 58 kugombea ubunge wa Mbarali mkoani Mbeya pamoja na udiwani katika kata mbalimbali nchini kwenye uchaguzi...

Habari za Siasa

CCM: Marekebisho madogo ya katiba yatafanyika kupata uchaguzi huru

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimesema marekebisho madogo ya katiba yatafanyika ili kuondoa vipengele vinavyokwamisha upatikanaji wa uchaguzi huru na wa haki.Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Habari MchanganyikoTangulizi

Sekta mbalimbali zatakiwa kuchukua hatua stahiki uwepo wa El Nino

MKURUGENZI Msaidizi (Operesheni na Uratibu), Idara ya Menejimenti ya Maafa, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera , Bunge na Uratibu), Luteni Kanali Selestine Masalamado...

Habari za Siasa

Indonesia kufufua kituo cha mafunzo ya kilimo Morogoro

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameridhia uamuzi wa Serikali ya Indonesia wa kufufua shughuli za Kituo cha Mafunzo...

Habari za SiasaTangulizi

Mchungaji Lusekelo awavaa maaskofu Katoliki, awataka wakae kimya

MCHUNGAJI wa Kanisa la Maombezi jijini Dar es Salaam (GRC), Antony Lusekelo ameukosoa waraka wa Baraza la Maaskofu Katokili Tanzania (TEC) na kudai...

Kimataifa

Trump kujisalimisha kesi ya kubatilisha uchaguzi

RAIS wa zamani wa Marekani, Donald Trump amesema kuwa atajisalimisha mwenyewe jimboni Georgia Alhamis wiki hii ili kukabiliana na mashtaka ya udanganyifu na...

Elimu

DC Dar aipongeza St. Anne Marie Academy kwa ufaulu

Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Hashim Komba, amempongeza Mkurugenzi wa shule za St Anne Marie, Dk. Jasson Rweikiza kwa uwekezaji mkubwa alioufanya kwenye...

Kimataifa

Sheria ya kupinga mapenzi jinsia moja yaanza kung’ata Uganda

POLISI katika wilaya ya Buikwe nchini Uganda inawashikilia watu wanne katika kituo cha polisi Njeru kwa tuhuma za kujihusisha na mapenzi ya jinsia...

Habari za SiasaTangulizi

Njama za kuvuruga mkutano KKKT zafichuka

KUNA njama zinasukwa za kutaka kuvuruga mkutano mkuu wa Kanisa Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), kupitia kinachoitwa, “Kanisa Moja, Katiba Moja.” Anaripoti Mwandishi...

Habari za Siasa

DP World: KKKT yaunga mkono uwekezaji, yampongeza Rais Samia kwa hekima

  ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Fredrick Shoo, amesema kuwa kanisa lake lina imani na namna ambavyo...

Habari za SiasaTangulizi

KKKT latoa msimamo kuhusu sakata la bandari

  KANISA la Kiinjili La Kilutheri Tanzania (KKKT), limemtaka Rais Samia Suluhu Hassan, kutumia busara katika kutafuta suluhu kuhusu sakata la uwekezaji bandarini,...

Habari Mchanganyiko

Rais Indonesia kutua nchini leo kwa ziara ya siku 2

  RAIS wa Jamhuri ya Indonesia, Joko Widodo anatarajiwa kuwasili nchini leo Jumatatu kwa ziara ya siku mbili itakayoanza leo na kesho Jumanne...

Makala & Uchambuzi

Safari ya Siah Malle katika uhandisi inavyoibua vipaji vipya vya wanawake

Siah Malle ni mfano mzuri wa mwanamke ambaye amefanikiwa kuvunja dhana iliyojengeka na kuwagawa wanawake na wanaume kwenye uwanja wa taaluma mbalimbali duniani....

Habari Mchanganyiko

Serikali kufufua mradi wa umwagiliaji ulioachwa na Mwalimu Nyerere

  SERIKALI imeamua kufufua mradi wa kilimo cha umwagiliaji katika Bonde la Bwigema, Musoma Vijijini mkoani Mara, ulioasisiwa na Baba wa Taifa, Hayati...

Habari za Siasa

CUF yazindua sera mpya kuondoa umasikini

  CHAMA cha Wananchi (CUF), kimezindua sera mpya ya kipato cha msingi kwa wananchi wote (Universal Basic Income), inayolenga kupunguza makali ya ugumu...

Habari MchanganyikoTangulizi

KKKT yalia utapeli makanisa ya kisasa

  WAUMINI wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), wametakiwa kujiepusha na makanisa yaliyoibuka hivi karibuni, yanayodaiwa kutoa mafundisho ya kitapeli kinyume...

Kimataifa

Walinzi mpaka wa Saudi Aradia watuhumiwa kuua wahamiaji

Shirika la Kutetea Haki za Binadamu (Human Rights Watch) limewatuhumu walinzi wa mpaka wa Saudi Arabia kwa kutekeleza mauaji ya wahamiaji kwenye mpaka...

Biashara

Mchakato kuunganisha Tanga Cement, Twiga Cement wapata kizingiti, Jaji atoa uamuzi

BARAZA la Ushindani wa Biashara (FCT) limetoa uamuzi kuhusu uamuzi wa Tume ya Ushindani (FCC) wa kuruhusu kampuni ya Scancem International DA inayomiliki...

error: Content is protected !!