Friday , 29 September 2023
Home Kitengo Habari Kimataifa Historia ya miaka 43 ZANU-PF kutamatika?
Kimataifa

Historia ya miaka 43 ZANU-PF kutamatika?

Spread the love

Raia wa Zimbabwe leo Jumatano wanapiga kura kuwachagua wabunge na rais katika uchaguzi ambao upinzani unalenga kumaliza utawala wa miaka 43 ya chama tawala wa Zanu-PF. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea).

Hata kabla ya vituo vya kupigia kura kufunguliwa, misururu mirefu tayari ilikuwa imeanza kuonekana Mbare, kitongoji kidogo kidogo cha mji mkuu Harare.

Baadhi ya wapiga kura waliuleza Mtandao wa BBC kwamba walikuwa na shauku ya kutekeleza haki zao ya kushiriki uchaguzi.

Uchumi wa nchi hiyo umedorora lakini msemaji wa serikali alisema anaamini raia wa Zimbabwe wanataka kumpa Rais Emmerson Mnangagwa muhula mwingine wa uongozi.

Kipindi cha kampeni kilikabiliwa na kukamatwa kwa wanaharakati wa chama cha upinzani cha Citizens Coalition for Change, ambacho hakijaangaziwa sana kwenye vyombo vya habari vya serikali.

Wapiga kura milioni 6.5 wanatarajiwa kujitokeza kushiriki uchaguzi huo wa leo. Upigaji kura utafungwa saa 19:00 kwa saa za Harare.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Kimataifa

Wadukuzi wa Kichana waiba barua pepe 60,000 za Serikali ya Marekani

Spread the loveWADUKUZI wa kichana wamedukua barua pepe 60000 serikali ya Marekani...

Kimataifa

Mahakama yamkuta na hatia Donald Trump

Spread the love  ALIYEKUWA Rais wa Marekani, Donald Trump, amekutwa na hatia...

Kimataifa

Harusi yageuka msiba 100 wakifariki kwa ajali ya moto

Spread the love  WATU takribani 100, akiwemo bibi na bwana harusi, wamefariki...

Kimataifa

Kampuni ya mali ya China Oceanwide yapata agizo la kufilisiwa huko Bermuda

Spread the love  MAHAKAMA ya Bermuda imetoa amri ya kufilisiwa kwa Kamapuni...

error: Content is protected !!