Sunday , 28 April 2024
Home Kitengo Biashara NIC yajivunia mafanikio ya tuzo mbalimbali kwa mwaka 2023
Biashara

NIC yajivunia mafanikio ya tuzo mbalimbali kwa mwaka 2023

Spread the love

 

SHIRIKA la Bima Taifa (NIC) inejivunia mafanikio waliyopata ndani ya mwaka huu wa 2023 zilizopelekea kupokea tuzo tofauti tofauti zikiwemo za Msajiri wa Hazina, Utendaji bora wa Sekta ya Fedha, Superbrand Afrika Mashariki na Cheti cha Usimamizi wa unora wa Kimataifa (ISO). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). 

Mkurugenzi Mtendaji wa NIC Insurance Dkt.Elirehema Doriye (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wa Masoko na Mawasiliano wa Karim Meshack (kushoto) na Mkurugenzi wa Fedha na Uwekezaji, Lihami Masoli (kulia) kusherehekea kwa kampuni hiyo ya serikali kupatiwa cheti cha Usimamizi wa Ubora wa Kimataifa (ISO) jijini Dar es Salaam jana. Kwa mwaka huu pekee NIC imeshashinda takribani tunzo 7 ambapo hivi karibuni walipokea tunzo ya utendaji bora katika sekta za fedha pamoja na ya kutambuliwa kama kampuni bora ya huduma za bima na Superbrands kwa Ukanda wa Afrika ya Mashariki.

Mkurugenzi wa Masoko na Mawasiliano wa NIC Insurance, Karim Meshack akizungumza na wageni waalikwa (hawapo pichani) kusherehekea kwa kampuni hiyo ya serikali kupatiwa cheti cha Usimamizi wa Ubora wa Kimataifa (ISO) jijini Dar es Salaam jana. Kwa mwaka huu pekee NIC imeshashinda takribani tunzo 7 ambapo hivi karibuni walipokea tunzo ya utendaji bora katika sekta za fedha pamoja na ya kutambuliwa kama kampuni bora ya huduma za bima na Superbrands kwa Ukanda wa Afrika ya Mashariki.

Meneja wa Huduma za Bima za Kibenki kutoka TCB, Francis Kaaya akizungumza na wageni waalikwa (hawapo pichani) kama mdau mmojawapo wa kamkusherehekea kampuni ya NIC Insurance kupatiwa cheti cha Usimamizi wa Ubora wa Kimataifa (ISO) jijini Dar es Salaam jana. Kwa mwaka huu pekee NIC imeshashinda takribani tunzo 7 ambapo hivi karibuni walipokea tunzo ya utendaji bora katika sekta za fedha pamoja na ya kutambuliwa kama kampuni bora ya huduma za bima na Superbrands kwa Ukanda wa Afrika ya Mashariki.

Mkurugenzi Mtendaji wa NIC Insurance Dkt.Elirehema Doriye (waliokaa katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa kampuni hiyo kusherehekea kupatiwa cheti cha Usimamizi wa Ubora wa Kimataifa (ISO) jijini Dar es Salaam jana. Kwa mwaka huu pekee NIC imeshashinda takribani tunzo 7 ambapo hivi karibuni walipokea tunzo ya utendaji bora katika sekta za fedha pamoja na ya kutambuliwa kama kampuni bora ya huduma za bima na Superbrands kwa Ukanda wa Afrika ya Mashariki.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Biashara

Sloti ya Mega Jade kasino njia 10 za malipo unaposhinda

Spread the love  TUNAKULETEA mchezo wa kasino wa kufurahisha sana ambapo unapewa...

Biashara

Orb of Destiny kutoka Meridianbet kasino ushindi kwa njia 14  

Spread the love  ORB of Destiny ni mchezo wa sloti kutoka kwa...

Biashara

Jiandalie Strawberry Cocktail yako nyumbani huku unacheza kasino 

Spread the love  UTAANDAA matunda yako unayotaka kutumia unaweza kutumia Strawberry, Cantaloupe...

Biashara

420 Blaze It chimbo jipya la kuchota mihela Meridianbet kasino 

Spread the love  JE, umewahi kucheza mchezo wa droo wenye droo 10?...

error: Content is protected !!