Sunday , 28 April 2024
Home Gazeti Habari za Siasa Msajili vyama vya siasa ateta na viongozi Chadema
Habari za Siasa

Msajili vyama vya siasa ateta na viongozi Chadema

Spread the love

Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi  leo Alhamisi amekutana kwa mazungumzo na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe na kujadili namna ya kuimarisha demokrasia nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea).


Mbowe ambaye pia alikuwa ameambatana na Katibu Mkuu wa chama hicho, John Mnyika pamoja na Katibu wa Baraza la Wazee (BAZECHA), Rodrick Rutembeka amekutana na Msajili baada ya kumaliza kikao chenye lengo la kuimarisha demokrasia ya vyama vingi vya siasa nchini.

Kikao hicho kilifanyika kwenye ofisi ndogo za Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa mtaa wa Shaaban Robert jijini Dar es Salaam.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari za Siasa

Askofu Shoo awataka ACT kupigania maslahi ya Taifa, wasikubali kuhongwa

Spread the loveALIYEKUWA Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri, Askofu...

Habari za Siasa

Biteko aagiza waajiri kudhibiti vifo mahali pa kazi

Spread the love  NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Mavunde aibana kampuni kutimiza masharti ya mkataba

Spread the loveWaziri wa Madini, Anthony Mavunde ameitaka Kampuni ya Xin Tai...

Habari za Siasa

Sauti ya Watanzania waeleza sababu za kuiunga mkono Chadema

Spread the love  KIKUNDI kinachojipambanua katika kupigania rasilimali na uhuru wa nchi,...

error: Content is protected !!