Friday , 3 February 2023
Home sule
41 Articles6 Comments
Elimu

NACTVET yafungua dirisha la udahili

  BARAZA la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) limefungua dirisha la udahili wa mkupuo wa mwezi Machi...

Habari Mchanganyiko

Maboresho Bandari Tanga kufanya mapinduzi ya kiuchumi, kijamii

MAMLAKA ya Bandari ya Tanga imesema maboresho ya bandari hiyo yatawezesha kupokea zaidi ya tani milioni 3 za shehena za mizigo kwa mwaka,...

Habari Mchanganyiko

TPAWU walia na nyongeza ya mshahara

CHAMA cha Wafanyakazi Mashambani na Kilimo Tanzania (TPAWU), kimesema Sh.40,000 iliyoongezwa kwenye kima cha chini cha mshahara wa mfanyakazi wa sekta ya kilimo...

Habari za Siasa

Wabunge Tabasamu, Manyanya wasema mradi wa JNHPP ni fursa

  WABUNGE wa Bunge la Tanzania wamesema Mradi wa Bwawa la Julius Nyerere (JNHPP) ukikamilika utakuwa fursa ya kiuchumi na kijamii kwa Watanzania....

Habari za Siasa

Dk Tulia: Rais Samia amefanya na zaidi

SPIKA wa Bunge, Dk Tulia Ackson amesema kasi ya utekelezaji wa miradi inayofanywa na Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa...

Habari za Siasa

Kinana:JNHPP ni utekelezaji wa Ilani ya CCM

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kanali mstaafu Abdulrahman Kinana amesema ujenzi wa Mradi wa Bwawa la Umeme la Julius Nyerere (JNHPP),...

Habari za Siasa

RC Pwani, Morogoro wajipanga kunufaika na Mradi wa JNHPP

WAKUU wa mikoa ya Pwani na Morogoro wamesema wamejipanga kuhakikisha umeme utakaozalishwa kupitia Mradi wa Bwawa la Julius Nyerere (JNHPP), unachochea shughuli za...

Habari Mchanganyiko

Wadau wa kilimo EAC kushirikiana kukabili GMO

WADAU wa kilimo kutoka nchi za Kenya, Tanzania na Uganda wametakiwa kushirikiana, ili kuzuia uingizaji na Bidhaa na Mbegu zilizobadilishwa Vinasaba (GMO) katika...

Habari Mchanganyiko

Katambi: Program ya Umajumui wa Mwalimu Nyerere iendelezwe

  TAASISI ya Mwalimu Nyerere (MNF), imeshauriwa kuendeleza Program ya Ufadhili wa Umajumui wa Mwalimu Nyerere kwa Viongozi Vijana Afrika (Mwalimu Nyerere Pan-Africa...

Habari Mchanganyiko

Wazalishaji vifaranga waiangukia Serikali

  WAZALISHAJI, wafugaji na wauzaji wa vifaranga wa kuku wa nyama wameiomba Serikali kupitia Wizara ya Mifugo ya Uvuvi kusitisha uingizaji wa vifaranga...

Habari Mchanganyiko

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu yazuru TCRA

  KAMATI ya kudumu ya Miundombinu ya Bunge imefanya ziara katika Ofisi za Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) na kupata maelezo ya usimamizi...

Habari Mchanganyiko

LG kuimarisha soko Afrika Mashariki

MKURUGENZI Mtendaji wa LG Electronics (LG)  William Cho, amesema kampuni hiyo inaendelea kuimarisha shughuli zake za kibiashara katika Ukanda wa Afrika Mashariki na...

Habari Mchanganyiko

Wadau wajadili namna ya kuhuisha mbegu asili

WADAU wa mbegu asili na zilizosahaulika  wamekutana jijini Dodoma kwa siku tatu kujadili changamoto na kuzitafutia majibu ili mbegu hizo ziweze kutambulika kutunzwa...

Habari Mchanganyiko

KOICA, WFP kuwanufausha wakulima, wakimbizi 228,000

  SHIRIKA Maalum la Serikali ya Jamhuri ya Korea (KOICA) na Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP), yanatarajia kutoa dola za Marekani...

Michezo

Tanzania kuandaa mpango kuhakikisha inashiriki Kombe la Dunia 2030

  WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mohammed Mchengerwa amesema Wizara hiyo inaandaa mpango mkakakati kuhakikisha 2030 Tanzania inashiriki kombe la Dunia, huku...

Habari Mchanganyiko

Jafo ataka utafiti wa bioteknolojia

OWAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Suleiman Jafo amewataka watafiti na wataalamu waliojikita kwenye teknolojia ya bioteknolojia kufanya...

Habari Mchanganyiko

TCRA: Wanaotumiwa jumbe bila ridhaa toeni taarifa

  MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imewataka wananchi wanaotumiwa jumbe za maandishi na mitandao ya simu bila ridhaa yao watoe taarifa katika mamlaka...

Habari za SiasaTangulizi

ACT: Hatutaacha kuikosa Serikali

WAZIRI Mkuu Kivuli kutoka ACT-Wazalendo, Dorothy Semu amesema viongozi na wanachama wa chama hicho, hawataacha kuikosoa na kuishauri Serikali kwa kuhofia kukosa nafasi...

Habari za SiasaTangulizi

Ndumbaro ataja mambo nane yakufanywa na asasi za kiraia

  JUKWAA la Asasi za Kiraia (RCSF) za Ukanda wa Nchi za Maziwa Makuu Afrika (ICGLR) limetakiwa kusimamia mambo nane ambayo yatagusa jamii...

Habari Mchanganyiko

Japan yatoa dola 500,000 za Marekani kusaidia chakula wakimbizi

NCHI ya Japan kupitia Ubalozi wake nchi Tanzania imetoa msaada wa Dola za Marekani 500,000 kwa Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango...

Habari MchanganyikoTangulizi

Hatma mkataba TICTS Septemba

WAZIRI wa Ujenzi na Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa amesema hatma ya mkataba Kampuni ya Kimataifa ya Kuhudumia Makasha (TICTS)  itajulikana mwezi Septemba mwaka...

Habari Mchanganyiko

Wakili Ngole ajitosa ubunge Afrika Mashariki

WAKILI Mashaka Ngole amechukua fomu ya kuomba ridhaa kupitia Chama cha Wananchi (CUF) ili kimpitishe kuwa mgombea ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki...

Habari Mchanganyiko

Sh. 998 Mil. kuifanya Temeke kuwa ya kijani

  ZAIDI ya zaidi ya Sh.998 milioni zinatarajiwa kutumika kwa ajili ya kuendeleza maeneo ya wazi na upandaji miti 1,927 katika Manispaa ya...

Habari Mchanganyiko

Panya kuokoa waliofukiwa na kifusi

  CHUO Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), kimeanza kufundisha panya namna ya kutambua watu waliofukiwa na kifusi cha majengo, machimbo ya migodi...

Habari za SiasaTangulizi

Chenge aunga mkono Rasimu ya Katiba kuhusu Tume Huru

  MWANASHERIA Mkuu mstaafu wa Tanzania(AG), Andrew Chenge, amesema mapendekezo ya mfumo na muundo uliopendekezwa kwenye rasimu ya Katiba mpya kupata wajumbe wa...

Habari za Siasa

Lugangira ataka usawa kijinsia Sheria Vyama vya Siasa, Uchaguzi

  MBUNGE wa Viti Maalum CCM, Neema Lugangira ameshauri Sheria ya Vyama vya Siasa na Sheria ya Uchaguzi kupitiwa upya ili kuleta usawa...

Habari za SiasaTangulizi

Mrema ataka Tume Huru, “Katiba mpya sio mwarobaini”

  MWENYEKITI wa Chama cha (TLP), Augustine Mrema amesema ili kuhakikisha uchaguzi unakuwa huru na haki ni lazima kuwepo tume huru ya uchaguzi,...

Habari za Siasa

Washauri uchaguzi, mikutano ya siasa ifanyike kidigitali

  SERIKALI imeshauriwa kutumia teknolojia katika chaguzi na mikutano ya vyama vya siasa ili kupunguza gharama za uendeshaji wa shuguli hizo. Anaripoti Selemani...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

CCM yataka viingilio Sabasaba vipunguzwe

  CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimeitaka Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) wametakiwa kuangalia upya...

Habari Mchanganyiko

USAID yatoa tani 12,000 za chakula kwa wakimbizi

  MAREKANI kupitia Shirika la Maendeleo la Kimataifa (USAID), imetoa msaada wa chakula tani 12,000 zinazogharimu Sh20 bilioni kwaajili ya wakimbizi 204,000 walioko...

Habari Mchanganyiko

Milioni 30 kuhifadhi misitu ya vijiji Morogoro

  HALMASHAURI ya Wilaya ya Morogoro Vijijini, mkoani Morogoro nchini Tanzania imesema katika mwaka wa fedha 2022/2023 imetenga Sh.milioni 30 kwa ajili ya...

Habari Mchanganyiko

Royal Tour kufufua hoteli za kitalii nchini

SERIKALI imesema katika kuhakikisha matokeo chanya ya Filamu ya Royal Tour yanaonekana wanahakikisha wanazungumza na wawekezaji na wadau wa ya sekta ya utalii...

Habari Mchanganyiko

Viwanja 600,000 vyatambuliwa Dar

ZAIDI ya viwanja 600,000 katika Mkoa wa Dar es Salaam vimetambuliwa na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi huku viwanja vilivyolipiwa...

Habari Mchanganyiko

Wakazi Keko Akida wamlilia Rais Samia

  WAKAZI 106 wa mtaa wa Akida, Keko Machungwa wilayani Temeke, Dar es Salaam nchini Tanzania, wamemwomba Rais Samia Suluhu Hassan aingilie kati...

Habari Mchanganyiko

WFP, Farm Afrika waunganisha wakulima wa mtama na masoko

  WAKULIMA wa zao la mtama katika wilaya sita za Mkoa wa Dodoma nchini Tanzania, wamehakikishiwa soko la uhakika la zao hilo na...

Habari Mchanganyiko

Taasisi kutoa elimu ya sheria, ukatili wa kijinsia

  TAASISI ya Women and Youth Voice Foundation, imeanzisha program ya kutoa elimu kuhusu sheria na ukatili wa kijinsi kwa wanafunzi wa shule...

Habari za Siasa

Babu Duni, Othman waanika vipaumbele 10

  MWENYEKITI mpya wa Chama cha ACT-Wazalendo, Babu Juma Haji Duni na Makamu Mwenyekiti Zanzibar, Othman Masoud Othman wametaja vipaumbele 10 ambavyo watavisimamia...

Habari Mchanganyiko

Wajane wa Mrisho kuweka kambi kwenye kiwanja

  WAJANE wa Marehemu Mzee Amir Mrisho, Aseline na Amina Mrisho wamesema ili haki yao ya kumiliki kiwanja namba 108 Port Access isipotee...

Habari Mchanganyiko

Familia ya Mrisho yaomba zuio umilikishwaji kiwanja

  WATOTO wa marehemu Mzee Amir Mrisho, wamepeleka maombi ya kuzuia mchakato wowote wa umilikishwaji wa Kiwanja namba 108 Port Access kilichopo wilayani...

Habari Mchanganyiko

Chembechembe za plastiki hatari kwa afya

  UTAFITI uliofanywa kuhusu chembechembe zitokanazo na plastiki zinazopatikana kwenye fukwe za bahari zimeonesha kuwa na kemikali za sumu ambayo inaweza kusababisha madhara...

Habari za SiasaTangulizi

Mbatia apinga uchaguzi wa Spika mahakamani

  MWENYEKITI wa Chama cha NCCR-Mageuzi James Mbatia amefungua Shauri namba 2 la Kikatiba la mwaka 2022 kuzuia uchaguzi wa Spika, akidai mchakato...

error: Content is protected !!