Wednesday , 1 May 2024
Home Kitengo Biashara Meridianbet yatoa msaada Makongo
Biashara

Meridianbet yatoa msaada Makongo

Spread the love

 

MABINGWA wa michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet imefika kata ya Makongo leo tawi la Mlalakua kuhakikisha wanagawa vifaa vya usafi katika eneo hilo.

Mabingwa hao wa michezo ya kubashiri wameendelea kufanya ambacho wamekua wakikifanya kwa muda mrefu kuhakikisha wagawana na jamii yao kile ambacho wamekua wakikipata kutoka katika shughuli zao.

Meridianbet wamegawa matoroli, Mafagio, pamoja na Reflectors kwajili ya kuhakikisha wanaimarisha usafi katika eneo hilo la Makongo kata ya Mlalakua, Hili limekua zoezi endelevu kua kwa kampuni hiyo katika kuhakikisha wanaunga mkono serikali katika juhudi za kuweka mazingira safi.

Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na Masoko kutoka Meridianbet Bi Nancy Ingram ndio aliyeongeza zoezi hilo zima la ugawaji wa vifaa hivo”Kwanza kabisa nishukuru kwa mapokezi yenu mazuri mliyotupatia, Lakini jambo muhimu zaidi ni kuja hapa kugawa vifaa hivi vya usafi kwajili ya kuhakikisha usafi unaimarishwa mara dufu na hii tunaungana na serikali yetu pendwa ambayo inapambana kuhakikisha mazingira yapo safi

Suka mkeka wako kwenye michezo mikali itakayopigwa leo kwenye michuano ya Uefa Europa League na Uefa Conference League. Machaguo zaidi za 1000 yapo huku lakini vile vile Turbo Cash pia ipo. Unasubiri nini sasa? Ingia meridianbet na ubashiri sasa.`

Wakati huohuo wakazi wa eneo hilo wameonekana kufurahishwa na jambo ambalo limefanywa na uongozi wa Meridianbet, Huku moja ya viongozi wa eneo hilo akitoa shukrani zake za dhati kwa mabingwa hao wa kubashiri na kutoa wito wa makampuni mengine kuiga mfano wa Meridianbet.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Biashara

Cheza sloti ya Zombie Apocalypse na ushinde kirahisi

Spread the love Wengi wetu hupenda filamu za Mazombie huwa zinatishakidogo lakini...

Biashara

Ushirikishwaji wa wafanyakazi ni muhimu katika utekelezaji wa sera za afya na usalama kazini

Spread the love  KILA ifikapo Aprili 28 ya kila mwaka, dunia huadhimisha...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Oryx gesi yagawa mitungi, majiko 100 kwa waandishi wa habari Dar

Spread the loveKAMPUNI ya Oryx Gesi Tanzania imegawa mitungi 100 ya gesi...

Biashara

Wazir Jr kinara wa ufungaji KMC FC ajiunga Meridianbet

Spread the love    MUITE Wazir Jr ‘The King of CCM Kirumba’,...

error: Content is protected !!