Tuesday , 30 April 2024
Home Kitengo Michezo Anza Jumatatu yako na Meridianbet
Michezo

Anza Jumatatu yako na Meridianbet

Spread the love

 

IKIWA ni siku nyingine mpya kabisa ya Jumatatu baadhi ya mechi kibao zinaendelea leo hii abapo Meridianbet tayari wameshakuwekea ODDS KUBWA na machaguo uyatakayo hivyo ingia na uanze kubashiri sasa.

EPL leo hii kutakuwa na mechi moja ambayo ni Chelsea dhidi ya Everton katika dimba la Stamford Bridge majira ya saa 4:00 usiku. The Blues wametoka kutoa sare mchezo uliopita huku wageni wao wakishinda. Mara ya mwisho kukutana Pochettino na vijana wake walipoteza mechi. Je leo hii wanaweza kulipa kisasi?. Beti mechi hii sasa na imepewa ODDS 1.68 kwa mwenyeji na 4.41 kwa mgeni.

Kumbuka kucheza michezo ya Kasino ya Mtandaoni ambayo inatolewa ndani ya meridianbet kama vile Poker, Roullette, Aviator, Rockertman, Keno, Sloti na mingine kibao. Ingia mchezoni na ucheze sasa.

Ligi nyingine ni ya LALIGA ambayo nayo itakuwa na mechi moja kali Osasuna atamenyana dhidi ya Valencia CF. Mwenyeji yupo nafasi ya 11 kwenye msimamo wa ligi huku mgeni akiwa nafasi ya 8. Tofauti ya pointi kati yao ni 5 pekee na mara ya mwisho mgeni alipoteza. Je leo anaweza kupindua meza ugenini?. Jisajili hapa.

SERIE A pia nayo kama kawaida kutakuwa na mitanange miwili ya kukata na shoka, yaani kuanzia majira ya saa 1:30 usiku ACF Fiorentina atazipiga dhidi ya Genoa ambapo timu hizi hazitofautiana sana kwenye msimamo wa ligi. Mwenyeji yupo nafasi ya 10 na mgeni nafasi ya 12. Meridianbet wamempa Fiorentina nafasi kubwa ya kushinda kwa ODDS 1.88 kwa 4.11. Wewe unampa nani? Beti hapa.

Mechi ya pili ni hii ya Atalanta dhidi ya Hellas Verona ambao wana msimu mbaya sana wakishika nafasi ya 18 kwenye ligi. Vijana wa Gasperini wapo nafasi ya 6 kwenye msimamo huku wakipendelewa kuibuka videdea leo kwa ODDS 1.42 kwa 7.25. Mechi ya mkondo wa kwanza, Atalanta walishinda. Tengeneza jamvi lako hapa.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Michezo

Beti na Meridianbet mechi za leo

Spread the love IKIWA leo hii ni Jumapili tulivu kabisa, Meridianbet wanamkwambia...

Michezo

Jumamosi ya leo ni ya pesa tu kutoka Meridianbet

Spread the love  IKIWA leo hii ni Jumamosi nyingine na tulivu kabisa,...

Michezo

EPL, Ligue 1 na Coppa Italia kinawaka leo

Spread the love  LEO ligi kadhaa zitaendelea nchini barani ulaya ikiwemo ligi...

BiasharaMichezo

NBC yaunga mkono jitihada kutokomeza malaria

Spread the loveKuelekea Maadhimisho ya siku ya malaria Duniani yatakayofanyika kesho Aprili...

error: Content is protected !!