Wednesday , 8 May 2024
Home Kitengo Michezo Usiku wa Ulaya kinawak tena leo
Michezo

Usiku wa Ulaya kinawak tena leo

Spread the love

 

LIGI ya mabingwa barani ulaya itaendelea tena leo ambapo itakwenda kupigwa michezo kadhaa katika hatua ya robo fainali ya michuano hiyo ambapo itahusisha timu nne.

Vilabu vya Atletico Madrid, Borussia Dortmund, PSG, na Barcelona vyote vitashuka dimbani kuhakikisha wanapata nafasi kufuzu katika hatua inayofuata ya michuano hiyo mikubwa kabisa barani ulaya.

Usiku wa leo klabu ya Paris Saint German itakua nyumbani katika dimba la Parc De Princes kuwakaribisha klabu ya Barcelona katika mchezo wa robo fainali wa ligi ya mabingwa ulaya mkondo wa kwanza.

Paris Saint German mabingwa watetezi wa ligi kuu ya Ufaransa watakua kwenye mkakati wa kupambana kulitafuta taji lao la ulaya kwa mara ya kwanza kwenye historia ya klabu hiyo, Lakini wakati huohuo wanakutana na Barcelona ambayo ina uzoefu mkubwa kwenye michuano hiyo hivo mchezo huu unatarajiwa kua mkali kwelikweli.

Suka mkeka wako kwenye michezo mikali itakayopigwa leo kwenye ligi ya mabingwa barani ulaya. Machaguo zaidi za 1000 yapo huku lakini vile vile Turbo Cash pia ipo. Unasubiri nini sasa? Ingia meridianbet na ubashiri sasa.`

Kipute kingine kitapigwa pale katika dimba la Wanda Metropolitano ambapo klabu ya Atletico de Madrid itaikaribisha klabu ya Borussia Dortmund kutoka kule nchini Ujerumani, Huku mchezo huo ukitarajiwa kua wenye ushindani mkubwa baina ya vilabu hivyo.

Atletico Madrid wamekua kwenye ubora mkubwa wakifanikiwa kumtoa mwanafainali wa michuano iliyopita klabu ya Inter Milan ya nchini Italia huku wakipewa nafasi kubwa ya kufanya vizuri katika mchezo huo, Lakini Dortmund ni moja ya vilabu ambavyo vimekua vikifanya vizuri linapokuja michuano ya ulaya.

Michezo yote ya leo inapatikana pale Meridianbet na imepewa ODDS KUBWA ambazo zinaweza kukufanya ukaibuka na mkwanja wa kutosha, cha kufanya ni wewe kutengeneza mkeka wako kupitia michezo hii ya kukata na shoka uweze kupiga mkwanja.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari MchanganyikoMichezo

Kengold wakabidhiwa kombe NBC Championship

Spread the loveMdhamini mkuu wa Ligi Daraja la Kwanza (NBC Championship) Benki...

Michezo

Piga pesa na mechi za UEFA

Spread the love  HATIMAYE leo hii ndio kitaeleweka nani aende Nusu Fainali...

Michezo

Idris Sultan anogesha msimu wa 3 wa Bridgerton

Spread the loveSTAA wa burudani kutoka ardhi ya Tanzania, Idris Sultan amenogesha...

Michezo

Ligi mbalimbali za pesa kuendelea leo

Spread the love JUMAPILI ya leo imekaa kipesa tuu yani baada ya...

error: Content is protected !!