Friday , 24 May 2024
Home Kitengo Michezo Ligi mbalimbali za pesa kuendelea leo
Michezo

Ligi mbalimbali za pesa kuendelea leo

Spread the love

JUMAPILI ya leo imekaa kipesa tuu yani baada ya jana kushuhudia mitanange kibao ikipigwa. Leo hii kipute hicho kitaendelea kama kawaida timu kibao leo zipo uwanjani kusaka pointi tatu kujiweka sawa kabla msimu huu haujaisha. Meridianbet tayari wamekuwekea ODDS za kibabe na machaguo zaidi ya 1000.

Pale ligi kuu ya Uingereza, EPL leo hii kutakuwa na mechi tatu kali Chelsea takuwa Stamford Bridge kucheza dhidi ya West Ham United ikiwa ni Derby huku mechi ya mkondo wa kwanza The Blues walichapika. Meridianbet wamempa Pochettino nafasi kubwa ya kushinda mechi hii kwa ODDS 1.59 kwa 4.60. Suka mkeka wako hapa.

Wakati huo huo Aston Villa baada ya kutoa sare mchezo wake uliopita, atakuwa ugenini kupepetana dhidi ya Brighton ambao wapo nafasi ya 13 kwenye ligi na tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni 23 tuu. Villa wanataka kucheza ligi ya mabingwa msimu ujao. Mechi hii imepewa ODDS 2.60 kwa 2.50. Jisajili hapa.

Ukiachana na mechi ndugu mteja kumbuka kucheza michezo ya Kasino ya Mtandaoni ambayo inatolewa ndani ya meridianbet kama vile Poker, Roullette, Aviator, Rockertman, Keno, Sloti na mingine kibao. Ingia mchezoni na ucheze sasa.

Mechi ya mwisho Uingereza leo hii ni ya Liverpool ambao watakuwa pale Anfield kukiwasha dhidi ya Spurs majira ya saa 12:30 jioni. Klopp na vijana wake wametoka kutoa sare mechi iliyopita na Tottenham amepoteza. Je leo hii nani kuibuka na ushindi? Ingia meridianbet ubashiri sasa mechi hii ambayo imepewa ODDS 1.43 kwa 5.88.

Kule Italia, SERIE A pia kuna mechi za maana kabisa Hellas Verona atakuwa mwenyeji wa ACF Fiorentina ambaye yupo nafasi ya nane kwenye msimamo wa ligi na mwenyeji wake akiwa nafasi ya 15. Mara ya mwisho kukutana Fiorentina alishinda. Je leo hii mwenyeji anaweza lipa kisasi?. Mechi hii ina ODDS 3.23 kwa 2.27. Suka jamvi lako hapa.

Saa 1:00 AC Milan atamualika Genoa ambapo ukiingia ndani ya mwridianbet mechi hii imepewa ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000. Milan ya Pioli wapo nafasi ya pili na mgeni wake yupo nafasi ya 12. Je nani kukupatia pesa Jumapili ya leo uanze Jumatatu yako vizuri?. Ingia meridianbet na ubashiri sasa.

Juventus baada ya kutoa sare mechi yake iliyopita, leo hii atakuwa ugenini kukiwasha dhidi ya AS Roma huku mechi ya kwanza Allegri na vijana wake walishinda. Roma amepewa ODDS 2.84 kwa 2.60 kushinda mechi hii. Tofauti ya pointi kati yao ni 6 tuu. Bashiri hapa.

Tukipaa hadi Hispania sasa kule LALIGA,  baada ya kumpata bingwa wa ligi hiyo sasa ni zamu ya timu nyingine kusaka nafasi nzuri RC Celta Vigo uso kwa uso dhidi ya Villarrealambao wapo nafasi ya 9 kwenye ligi. Vigo yupo nafasi mbaya kwenye ligi na mechi ya mkondo wa kwanza alipoteza. Je atapindua meza leo?. ODDS KUBWA zipo mechi hii. Tengeneza jamvi lako sasa.

Sevilla ataumana dhidi ya Granada majira ya saa 4:00 usiku huku mwenyeji yeye akitoa sare mechi yake iliyopita na mgeni akishinda. Mwenyeji ndiye anayepewa nafasi kubwa ya kuondoka na pointi tatu kwa ODDS 1.64 kwa 5.09. Wewe unampa nani pesa yako leo akupe mkwanja?. Beti hapa.

Naye Rayo Vallecano atajipima tena dhidi ya UD Almeriaambao ndio vibonde wa ligi. Mwenyeji yupo nafasi ya 15 huku mechi ya kwanza walipokutana alishinda. Mechi hii imepewa ODDS 1.57 kwa 5.48. Je nani kuondoka kifua mbele?. Tengeneza jamvi lako hapa wakati huu.

Ujerumani pia BUNDESLIGA kitawaka kama kawaida Union Berlin atakuwa mwenyeji wa VFL Bochum huku timu hizi zikiwa zimefatana sana kwenye msimamo wa ligi yani nafasi ya 14 na 15 huku pia zikilingana pointi. Mechi ya mkondo wa kwanza mgeni alishinda, Je leo hii Berlin atafanya maajabu?. Mechi hii imepewa ODDS 1.96 kwa 3.87. Bashiri kijanja hapa.

Saa 12:30 jioni Eintracht Frankfurt atakipiga dhidi ya Bayer Leverkusen ambaye tayari ni bingwa wa ligi hiyo. Mechi ya kwanza Alonso na vijana wake walishinda. Je leo hii kwa ODDS ya 2.11 kwa 3.23 wanaweza kushinda pia?. Suka mkeka wako hapa.

Huku FC Heidenheim wao watakuwa na kibarua cha kukabiliana na FSV Mainz ambapo tofauti yao ni pointi 9 pekee. Mwenyeji yupo nafasi ya 11 na mgeni yupo nafasi ya 16 huku mechi ya kwanza mgeni alipasuka. Ingia meridianbet na ubeti sasa.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Michezo

Endelea kubashiri na Meridianbet, Ligi bado zipo

Spread the love BAADA ya ligi mbalimbali kutamatika, bado kuna ligi mbalimbali...

Habari za SiasaMichezo

Serikali yaanika mikakati maandalizi AFCON 2027

Spread the loveSerikali imesema inaendelea kufanya mazungumzo na wadau pamoja na wamiliki...

Michezo

Unamalizaje ligi kama hujabeti na Meridianbet?

Spread the love JUMAPILI ya leo tutashuhudia mitanange kibao ambayo itamalizika kuanzia...

Michezo

Uingereza, Hispania, Italia na Ufaransa kinawaka leo

Spread the loveLIGI mbalimbali barani ulaya kuendelea leo na michezokadhaa mikali itakwenda...

error: Content is protected !!