Friday , 24 May 2024
Home Kitengo Michezo Anza wikendi yako na Meridianbet, upige mkwanja wa maana
Michezo

Anza wikendi yako na Meridianbet, upige mkwanja wa maana

Spread the love


Siku ya leo ni nzuri sana kwa wewe mtumiaji wa Meridianbet ambapo una nafasi ya kupiga mkwanja wa maana endapo utabashiri mechi zako kijanja hapa. Ingia meridianbet na usuke mkeka wako sasa.

Ligi kuu ya Uingereza EPL mitanange ya kutosha kupigwaAFC Bournemouth atakuwa mwenyeji wa Brentford ambaye ametoka kutoa sare mechi yake iliyopita. Mwenyeji amepoteza mchezo huku akipewa nafasi kubwa ya kushinda leo akiwa kwake kwa ODDS 1.96 kwa 3.47. Nani kushinda leo?. Suka mkeka wako hapa.

Naye Newcastle United ambaye yupo nafasi ya sita kwenye ligi atakuwa nyumbani kwake St James’s Park kukipiga dhidi ya Brighton ambaye yupo nafasi ya 11. Mara ya mwisho kukutana Eddie Howe na vijana wake walipoteza mechi. Je leo watalipa kisasi?. Mechi hii imepewa ODDS 1.57 kwa 4.50. Jisajili hapa.

Ukiachana na mechi hizo ndugu mteja kumbuka kucheza michezo ya Kasino ya Mtandaoni ambayo inatolewa ndani ya meridianbet kama vile Poker, Roullette, Aviator, Rockertman, Keno, Sloti na mingine kibao. Ingia mchezoni na ucheze sasa.

Wakati huo huo Tottenham Hot Spurs baada ya kupoteza mechi 4 mfululizo, leo hii atakuwa nyumbani kupepetana dhidi ya Burnley ambao wapo chini ya msimamo wa ligi nafasi ya 19. Ange anapendelewa sana leo hii kushinda mechi hii kwa ODDS 1.32 kwa 7.05. Je Vincent Kompany anaweza kuvuna pointi 3 leo?. Beti hapa.

Majira ya saa 1:30 usiku Nottingham Forest atakiwasha dhidi ya Chelsea ambayo imetoka kushinda mchezo wake uliopita. Mechi hiyo itapigwa katika dimba la City Ground ambapo The Blues mechi ya mkondo wa kwanza walipoteza. Je Pochettino anaweza kulipa kisasi leo?. Mechi hii ina ODDS 3.28 kwa 2.03. Tengeneza jamvi lako hapa sasa.

Ligi nyingine itakayopigwa leo ni LALIGA ambapo hapa kuna mechi za pesa kibao, majira ya saa 11:15 jioni Villarrealatakuwa mwenyeji wa Sevilla ambapo tofauti ya pointi kati yao ni 4 pekee. Mara ya mwisho kukutana walitoa sare. Je leo hii nani ataondoka na alama 3? Suka mkeka wako sasa.

Huku Granada atamkaribisha Real Madrid ambaye tayari ni bingwa wa ligi. Mwenyeji yupo nafasi ya 19 akiwa ameshinda mechi 4 pekee kati ya 34 ambazo amecheza. Mara ya mwisho kukutana Real alishinda. Je Granada anweza shinda leo?. Jisajili hapa.

Mechi ya mwisho Hispania leo ni hii ya Athletic Bilbao dhidi ya CA Osasuna ambao wlaipoteza mechi iliyopita. Mechi hii itapigwa katika dimba la San Mames na Meridianbet wamempa mwenyeji nafasi ya kushinda kwa ODDS 1.44 kwa 7.05. Wewe unampa nani beti yako?. Suka jamvi lako hapa.

Wakati SERIE A nayo kitawaka moto leo kwa mechi mbili pekee saa 1:00 usiku SSC Napoli ambaye hana matumaini ya kucheza ligi ya mabingwa msimu ujao, atakuwa nyumbani kwake Armando Maradona kukiwasha dhidi ya Bologna ambao wamekuwa na msimu bora sana wakiwa nafasi ya 4. Tofauti ya pointi kati yao ni 13 huku mechi ya kwanza wakitoshana nguvu. Nnai ni nani leo?. Beti hapa.

Huku mechi nyingine ikiwa ni ya AC Milan dhidi ya Cagliari Calcio ambao wapo nafasi ya 15 hadi sasa. Milan chini ya Pioli wapo nafasi ya pili huku wakiwa na ODDS 1.47 kushinda mechi hii kwa 5.88. Tengeneza mkeka wako hapa.

Pia BUNDESLIGA kuna mechi nyingi leo, RB Leipzigatamenyana dhidi ya Werder Bremen ambao wapo nafasi ya 11. RB anataka nafasi ya kucheza ligi ya mabingwa msimu ujao ambapo mechi ya kwanza walitoa sare walipokutana. Mechi hii imepewa ODDS 1.27 kwa 8.42. Beti sasa.

FC Cologne atakiwasha dhidi ya Union Berlin ambapo timu hizi zimepishana pointi sita pekee. Nafasi ya kushinda mechi hii amepewa mgeni kwa ODDS 2.60 kwa 2.65. Mechi ya mkondo wa kwanza walipokutana, mgeni alishinda. Je leo hii mwenyeji anaweza kulipa kisasi?. Jisajili na ubeti sasa.

Pia Borussia Dortmund ambaye ametinga fainali ya ligi ya mabingwa atakuwa ugenini dhidi ya FSV Mainz ambaye yupo nafasi ya 16 kwenye ligi. Terzic na vijana wake wapo nafasi ya 5 ambapo mechi ya kwanza wlaipokutana, walitoa sare huku Meridianbet wamempa nafasi ya kushinda mwenyeji kwa ODDS 2.16 kwa 3.09. Nani kushinda leo. Beti hapa.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Michezo

Endelea kubashiri na Meridianbet, Ligi bado zipo

Spread the love BAADA ya ligi mbalimbali kutamatika, bado kuna ligi mbalimbali...

Habari za SiasaMichezo

Serikali yaanika mikakati maandalizi AFCON 2027

Spread the loveSerikali imesema inaendelea kufanya mazungumzo na wadau pamoja na wamiliki...

Michezo

Unamalizaje ligi kama hujabeti na Meridianbet?

Spread the love JUMAPILI ya leo tutashuhudia mitanange kibao ambayo itamalizika kuanzia...

Michezo

Uingereza, Hispania, Italia na Ufaransa kinawaka leo

Spread the loveLIGI mbalimbali barani ulaya kuendelea leo na michezokadhaa mikali itakwenda...

error: Content is protected !!