Wednesday , 8 May 2024
Home Kitengo Michezo Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya ni Usiku wa Kisasi
Michezo

Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya ni Usiku wa Kisasi

Spread the love

 

LEO utarejea ule usiku pendwa kabisa kwa mashabiki wa soka duniani kote na sio mwingine ni usiku wa ligi ya mabingwa barani ulaya, Ambapo vilabu vinne vitashuka dimbani kumenyana katika hatua ya robo fainali ya michuano hiyo na mabingwa wa kubashiri Meridianbet wamekuwekea michezo hii pale kwenye tovuti ili uweze kupiga mkwanja.

Vilabu vya Real Madrid, Manchester City, Arsenal, na klabu ya Bayern Munich leo vitashuka dimbani kutupa karata zao katika michezo ya kwanza ya hatua ya robo fainali, Lakini pia itakua michezo ya kisasi baina ya vilabu hivo vinne.

Real Madrid leo watakua nyumbani katika dimba lao la Santiago Bernabeu wakiwakaribnisha klabu ya Manchester City katika mchezo wa kwanza wa hatua ya robo fainali ya michuano hiyo, Ikumbukwe mara ya mwisho walikutana katika hatua ya nusu fainali na Real Madrid kufurushwa vibaya katika hatua hiyo.

Real Madrid wataingia kwenye mchezo huu kwanza kutafuta ushindi utakaowaeka katika mazingira mazuri ya kufuzu hatua ya nusu fainali, Lakini pia kulipa kisasi kwa kilichowakuta mbele ya Man City msimu ulimalizika ambapo walitupwa nje ya michuano hiyo kwa kipigi kikubwa cha mabao manne kwa bila.

Suka mkeka wako kwenye michezo mikali itakayopigwa leo kwenye ligi ya mabingwa barani ulaya. Machaguo zaidi za 1000 yapo huku lakini vile vile Turbo Cash pia ipo. Unasubiri nini sasa? Ingia meridianbet na ubashiri sasa.`

Mchezo mwingine utakua baina ya vinara wa ligi kuu ya Uingereza klabu ya soka ya Arsenal ambapo watakipiga dhidi ya klabu ya Bayern Munich katika dimba lao la Emirates mchezo mwingine ambao unatarajiwa kua mkali na wenye ushindani mkubwa.

Ikumbukwe pia mchezo hautakua wakawaida kwani Arsenal nao watahitaji kufuta uteja wa muda mrefu ambao wamekua nao mbele ya klabu ya Fc Bayern Munich, Hivo mchezo wa leo pia ni wa kulipa kisasi kwa klabu hiyo kutoka Kaskazini mwa jiji la London.

Vilabu hivi vinakutana kipindi ambacho Bayern Munich wanaonekana hawako kwenye ubora mkubwa huku Arsenal wao wakiwa kwenye fomu ya maisha yao, Jambo ambalo linafanya mashabiki wengi wa soka kuamini unaweza kua wakati sahihi wa Arsenal kulipa kisasi cha mateso ya muda mrefu ambayo wamekua wakipitia mbele ya Bayern Munich.

Michezo yote ya leo inapatikana pale Meridianbet na imepewa ODDS KUBWA ambazo zinaweza kukufanya ukaibuka na mkwanja wa kutosha, cha kufanya ni wewe kutengeneza mkeka wako kupitia michezo hii ya kukata na shoka uweze kupiga mkwanja.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Michezo

Piga pesa na mechi za UEFA

Spread the love  HATIMAYE leo hii ndio kitaeleweka nani aende Nusu Fainali...

Michezo

Idris Sultan anogesha msimu wa 3 wa Bridgerton

Spread the loveSTAA wa burudani kutoka ardhi ya Tanzania, Idris Sultan amenogesha...

Michezo

Ligi mbalimbali za pesa kuendelea leo

Spread the love JUMAPILI ya leo imekaa kipesa tuu yani baada ya...

Michezo

Usiishie kuangalia tu game za leo, piga na mkwanja na Meridianbet

Spread the love  LIGI mbalimbali barani ulaya zitarejea tena Jumamosi ya leo...

error: Content is protected !!