KATIKA uboreshaji na urahisishaji wa huduma katika jiji la Dodoma jumla ya mitaa 222 iliyopo ndani ya kata 41 za halmashauri ya...
By Danson KaijageFebruary 15, 2022MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, jijini Dar es Salaam, imefunga kesi ya uhujumu uchumi, inayomkabili Mwenyekiti wa...
By Mwandishi WetuFebruary 15, 2022BENKI ya Exim imekabidhi gari aina ya Toyota Vanguard kwa taasisi ya Work of Mary (Focolare Movement Tanzania) ya mkoani Iringa iliyoibuka mshindi...
By Gabriel MushiFebruary 15, 2022SHAHIDI wa 13 wa Jamhuri, katika kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu, Tumaini Swila, amedai hakusikia...
By Mwandishi WetuFebruary 15, 2022HATUA ya 16 ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya itaendelea hii leo kwa kupigwa michezo miwili, ambapo Real Madrid itakuwa...
By Mwandishi WetuFebruary 15, 2022HOSPITALI ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma nchini Tanzania, imefanikiwa kupandikiza figo wagonjwa 26 kuanzia tarehe 22 Machi 2018 kutoka mikoa mbalimbali nchini...
By Danson KaijageFebruary 15, 2022MPELELEZI wa kesi ya uhujumu uchumi namba 16/2021, inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu, Inspekta Tumaini Swila, amedai mwanasiasa...
By Mwandishi WetuFebruary 15, 2022WAKATI watu duniani wakiadhimisha Siku ya Wapendanao jana Jumatatu, tarehe 14 Februari 2022, Wille Mwakapimba mkazi wa Mpanda Hotel mjini Mpanda mkoani...
By Mwandishi WetuFebruary 15, 2022MSIBA wa kada maarufu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro, Shambe Sagafu, umegeuka jukwaa la wanasiasa kukosoana huku...
By Mwandishi WetuFebruary 15, 2022KLABU ya Soka ya Yanga hii leo itashuka dimbani kwenye mchezo wa hatua ya 16 bora dhidi ya Biashara United kutoka mkoani...
By Kelvin MwaipunguFebruary 15, 2022MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, Dar es Salaam, imetoa maamuzi juu ya madai yaliyotolewa na Mwenyekiti wa Chadema,...
By Gabriel MushiFebruary 14, 2022MPELELEZI Msaidizi, wa kesi ya uhujumu uchumi, inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake, Inspekta Tumaini Swila, amedai kuna fedha ambazo mwanasiasa...
By Gabriel MushiFebruary 14, 2022SERIKALI ya Tanzania imesema Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali itakapotafsiri sheria ya barabara ya mwaka 1932 pamoja na Kanuni zake za mwaka...
By Gabriel MushiFebruary 14, 2022SERIKALI ya Tanzania imefungua ubalozi mdogo (Konseli Kuu) katika Jiji la Lubumbashi, Jimbo la Haut Katanga, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Ofisi za...
By Gabriel MushiFebruary 14, 2022KIONGOZI wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania-Chadema, Freeman Mbowe ameibuka malalamiko mahakamani ya kunyimwa chakula kwa zaidi ya miezi mitano kila...
By Masalu ErastoFebruary 14, 2022SPIKA wa Bunge la Tanzania, Dk. Tulia Ackson amesema, atazungumza na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye ili...
By Mwandishi WetuFebruary 14, 2022WAKATI hali ya kiafya ya aliyekuwa Mbunge wa Mikumi, mkoani Morogoro, Joseph Haule maarufu ‘Profesa Jay’ haijaimarika, Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
By Mwandishi WetuFebruary 14, 2022PETER Kibatala, Kiongozi wa Jopo la Mawakili wa Utetezi, katika kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu,...
By Mwandishi WetuFebruary 14, 2022LEO Jumatatu, tarehe 14 Februari 2022, Spika wa Bunge la Tanzania, Dk. Tulia Ackson anazungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa...
By Mwandishi WetuFebruary 14, 2022UONGOZI wa timu ya Simba ya jijini Dar es Salaam nchini Tanzania imewashukuru mashabiki kwa kuchagiza ushindi wa 3-1 wa dhidi ya...
By Mwandishi WetuFebruary 14, 2022LEO Jumatatu tarehe 14 Februari 2022 ni siku ya wapendao ‘Valentine Day’ na ndani ya chumba cha Mahakama Kuu, Divisheni ya Rushwa...
By Mwandishi WetuFebruary 14, 2022KLABU ya soka ya Simba imeanza vizuri kampeni yake kwenye michuano ya kombe la Shirikisho Barani Afrika, kufuatia kuibuka na ushindi wa...
By Mwandishi WetuFebruary 13, 2022SERIKALI imebaini kuwa baadhi ya wafanyabiashara wamepandisha gharama za bidhaa mbalimbali mara tatu ya bei halisi. Pia imebaini kuwa kuna baadhi ya wafanyabiashara...
By Gabriel MushiFebruary 13, 2022MSEMAJI Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema hakuna aliyewahi kuupinga wala kuufuta ujenzi wa bandari ya Bagamoyo chini ya mradi wa Ukanda Maalumu...
By Gabriel MushiFebruary 13, 2022SOKO la wafanyabiashara wadogo wadogo ‘Wamachinga’ lililopo Mbagala Rangi Tatu jijini Dar es salaam limeungua kwa moto usiku wa kuamkia leo asubuhi...
By Mwandishi WetuFebruary 13, 2022MBWA mmoja aliyepatiwa jina Boji, anapenda kutumia mabasi ya umma, treni na boti kusafiri katika jijini la Istanbul, Uturuki. Licha ya kwamba hakuna...
By Mwandishi WetuFebruary 13, 2022WAKATI Watanzania wakisherehekea miaka 60 ya Uhuru tarehe 9 Desemba 2021, siku ambayo Bendera ya mkoloni ilishushwa na kupandishwa ya Tanganyika katika...
By Mwandishi WetuFebruary 13, 2022CHELSEA imeshinda kombe la klabu bingwa duniani jana tarehe 12 Februari, 2022 baada ya kuibuka na ushindi wa bao 2-1 dhidi ya...
By Mwandishi WetuFebruary 13, 2022WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Prof. Joyce Ndalichako amesema vijana ni...
By Mwandishi WetuFebruary 12, 2022WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amewaagiza wahandisi wa Wakala wa Barabara Vijijini (TARURA) kusimamia miradi kwa weledi, uadilifu na uaminifu huku wakizingatia ubunifu...
By Mwandishi WetuFebruary 12, 2022KAMISHNA Jenerali wa Uhamiaji Tanzania, CGI Dk. Anna Makakala amewatangazia vijana ambao wamechaguliwa kujiunga na Idara ya Uhamiaji kwa cheo cha Konstebo...
By Mwandishi WetuFebruary 12, 2022MAKAMU wa Rais Dk. Philip Mpango amewaagiza mawaziri watano kuelekea katika Bonde la Ihefu na kufanya tathmini ya uharibifu wa mazingira katika...
By Kelvin MwaipunguFebruary 12, 2022WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu ametoa msaada wa taulo za kike paketi 1000 kwa Shirika lisilo la Kiserikali la Victoria Foundation kwa...
By Mwandishi WetuFebruary 12, 2022MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa. Ibrahim Lipumba, amesema nafasi yake iko wazi kwa yeyote atakayetaka kugombea kwenye uchaguzi wa chama...
By Regina MkondeFebruary 12, 2022MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba amewaomba radhi watu aliowakwaza katika mgogoro wake na aliyekuwa Katibu Mkuu wa chama...
By Regina MkondeFebruary 12, 2022MASHIRIKA yasiyo ya Kiserikali (NGO’s), 20 zinazojishughulisha na masuala ya utetezi wa haki za binadamu, yameomba mgogoro wa ardhi katika Hifadhi ya...
By Mwandishi WetuFebruary 12, 2022MAAFISA kutoka Idara ya Habari na mawasilinao ya klabu ya Yanga, Hassan Bumbuli na Haji Manara wametozwa faini ya shilingi 500,000 na kamati...
By Mwandishi WetuFebruary 11, 2022BEKI wa kati wa klabu ya Yanga, Dikson Job amefungiwa michezo mitatu na kupigwa faini ya shilingi 500,000 kufuatia kumkanyaga kwa makusudi...
By Mwandishi WetuFebruary 11, 2022MLINZI wa zamani wa klabu ya Yanga na timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars” Ally Mtoni maarufu kama Sonso amefariki Dunia...
By Mwandishi WetuFebruary 11, 2022NAIBU Spika wa Bunge, Mussa Azan Zungu, amewaeleza wabunge kuwa Uchaguzi Mkuu wa 2025, uko mbioni hivyo washirikiane kutekeleza miradi ya Serikali....
By Mwandishi WetuFebruary 11, 2022WASANII zaidi ya 50 kutoka Afrika Mashariki wanatarajiwa kupanda jukwaa moja kwenye tamasha la ‘Afro East Carnival’ litakalofanyika Uwanja wa Tabata Shule,...
By Masalu ErastoFebruary 11, 2022Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema, kuanzia sasa Serikali itagharamia matibabu yote anayopata aliyekuwa Mbunge wa Mikumi (Chadema), Joseph Haule maarufu...
By Danson KaijageFebruary 11, 2022BUNGE la Tanzania, limeishauri Serikali, kuandaa muongozo wa kitaifa wa usimamizi wa usafishaji mito, ili kutunza mazingira. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma…(endelea). Ushauri...
By Mwandishi WetuFebruary 11, 2022SPIKA wa Bunge la Tanzania, Dk. Tulia Ackson amewakumbusha wabunge kuzingatia uvaaji wa mavazi yanayoruhusiwa kikanuni na kuwa tayari kwa jambo lolote...
By Kelvin MwaipunguFebruary 11, 2022MBUNGE wa Ilala (CCM), Mussa Azan Zungu, ametumia Kanuni za Bunge toleo la 2020, kuomba wabunge wamchague katika kiti cha U-Naibu Spika....
By Kelvin MwaipunguFebruary 11, 2022MARA baaada ya klabu ya soka ya Yanga hivi karibuni kutoa malalamiko yao kuhusu mwenendo wa waamuzi kwenye baadhi ya michezo ya...
By Kelvin MwaipunguFebruary 11, 2022CHAMA cha Wafanyakazi wa Vyombo vya Habari Tanzania (JOWUTA) na Baraza la Habari Tanzania (MCT), wamepongeza Serikali ya nchi hiyo, kuyafungulia magazeti...
By Mwandishi WetuFebruary 11, 2022MBUNGE wa Ubungo jijini Dar es Salaam kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Profesa Kitila Mkumbo ameshauri kupitiwa na kupangwa upya kwa mfumo...
By Mwandishi WetuFebruary 11, 2022KUELEKEA mchezo wa hatua ya makundi wa michuano ya kombe la Shirikisho Afrika, klabu ya Simba imeonekana kuzamilia kufanya vizuri kwenye michezo...
By Kelvin MwaipunguFebruary 11, 2022RAIS wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Daktari Akinwumi Adesina, amezuru katika kaburi la aliyekuwa Rais wa Tanzania wa Awamu ya Tano,...
By Mwandishi WetuFebruary 11, 2022