Saturday , 20 April 2024
Home Gazeti Habari za Siasa #LIVE: Spika Tulia anazungumza na waandishi
Habari za SiasaTangulizi

#LIVE: Spika Tulia anazungumza na waandishi

Spika wa Bunge la Tanzania, Dk. Tulia Ackson
Spread the love

 

LEO Jumatatu, tarehe 14 Februari 2022, Spika wa Bunge la Tanzania, Dk. Tulia Ackson anazungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Pius Msekwa, jijini Dodoma. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea).

Amesema, baada ya kuchaguliwa kushika wadhifa hau, alipokea maombi mbalimbali ya kufanya naye mahojiano hivyo akalazimika kuitisha mkutano huo na waandishi ili kujadiliana masuala mbalimbali.

Spika Tulia amewaomba waandishi kuuliza maswali mbalimbali wanayoyataka kwa ajili ya ufafanuzi.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari za Siasa

Dk. Mwakyembe : Zanzibar waliongoza kutaka Serikali 2 za muungano

Spread the love  MWANASIASA mkongwe nchini, Dk. Harrison Mwakyembe, amesema mjadala wa...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia ataja mikakati ya kufikia trilioni 2 biashara Uturuki, Tz

Spread the loveWakati Tanzania na Uturuki zikidhamiria kuongeza kiwango cha biashara hadi...

BiasharaHabari za Siasa

Mavunde aagiza Perseus kuharakisha fidia Sengerema

Spread the loveWaziri wa Madini, Anthony Mavunde ameipongeza Kampuni ya Perseus kwa...

Habari za Siasa

Kigogo Chadema awanyooshea vidole vigogo serikalini kuhusu ripoti ya CAG

Spread the love  MWANACHAMA wa Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Boniface Jacob, amedai...

error: Content is protected !!