Tuesday , 30 April 2024
Home Habari Mchanganyiko Soko la Mbagala laungua moto
Habari Mchanganyiko

Soko la Mbagala laungua moto

Spread the love

 

SOKO la wafanyabiashara wadogo wadogo ‘Wamachinga’ lililopo Mbagala Rangi Tatu jijini Dar es salaam limeungua kwa moto usiku wa kuamkia leo asubuhi tarehe 13, 2022. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea)

Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Jokate Mwegelo amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kueleza kuwa uchunguzi wa chanzo cha moto huo bado unaendelea.

Hata hivyo, imeelezwa kuwa sehemu iliyoathirika zaidi ni ya wauza mitumba ambapo baadhi ya bidhaa zao zikiteketea kwa moto, lakini hakuna aliyeripotiwa kupoteza maisha wala kujeruhiwa.

Aidha, taarifa za awali zinaeleza kuwa chanzo cha moto huo kinadhaniwa kuwa ni hitilafu ya umeme na jeshi la zima moto lilifika na kuukabiliana moto huo.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

7 wafa Ulanga, mbunge alia kutelekezwa na mawaziri, Tanroad

Spread the loveWatoto saba wamepoteza maisha na zaidi ya kaya 70 kukosa...

Habari Mchanganyiko

Bil 12.4 zimetumika ujenzi wa miradi wilaya ya Momba

Spread the love MKUU wa wilaya ya Momba mkoani Songwe Kennan Kihongosi...

AfyaHabari Mchanganyiko

Songwe katika mikakati ya elimu ya lishe kudhibiti udumavu

Spread the love  SERIKALI mkoani Songwe imejipanga kuendelea kutoa elimu ya lishe...

Habari Mchanganyiko

NBC yapata tuzo ya mwezeshaji bora wa mikopo serikali Afrika

Spread the loveBenki ya NBC imepata tuzo ya Mwezeshaji Bora wa Pamoja...

error: Content is protected !!