Tuesday , 21 May 2024

Month: February 2022

Habari za Siasa

Rais Samia atengua Ma-DED wanne

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametangaza kutengua uteuzi wa wakurugenzi wanne wa halmashauri (DED) ya Buchosha (Mwanza), Iringa, Mbeya na Singida...

Habari za SiasaTangulizi

Kaka wa Lissu atambulishwa kama mgeni kesi kina Mbowe

  WAKILI maarufu Alute Mughwai Lissu, kaka wa kiongozi wa chama cha siasa cha upinzani Tanzania cha Chadema, Tundu Lissu ametambulishwa mahakamani kama...

Habari za SiasaTangulizi

Vigogo ACT-Wazalendo kurejea CUF

  BAADHI ya vigogo na wanachama wa Chama cha ACT-Wazalendo, wanaodaiwa kutoridhika na mchakato wa uchaguzi wa mwenyekiti wa chama hicho, wako mbioni...

Habari Mchanganyiko

Mpango kumuenzi Mwalimu Nyerere wazinduliwa

  WIZARA ya Maliasili na Utalii nchini Tanzania, imezindua mpango wa miaka 10 wa kumuezi Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere. Anaripoti...

Habari za Siasa

Mrithi wa Dk. Tulia kupatikana Februari 11

  BUNGE la Tanzania limetanganza mchakato wa kujanza nafasi ya naibu spika wa Bunge ambapo uchaguzi wake utafanyika tarehe 11 Februari 2022. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

Wanawake wajiuza kwa magunia ya mpunga

  TABIA ya baadhi ya wanawake wafanyabiashara ya kujiuza maarufu kama nzige au madanga, kwa malipo ya mpunga, imelalamikiwa na wakazi wa kata...

Habari Mchanganyiko

Taasisi kutoa elimu ya sheria, ukatili wa kijinsia

  TAASISI ya Women and Youth Voice Foundation, imeanzisha program ya kutoa elimu kuhusu sheria na ukatili wa kijinsi kwa wanafunzi wa shule...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Mauaji Tanzania yatinga bungeni, Serikali yatoa maagizo

  SERIKALI ya Tanzania, imeziagiza kamati za kutokomeza ukatili wa kijinsia zishirikiane na vyombo vya dola, kutokomeza mauaji yanayosababishwa na migogoro ya kifamilia....

Habari MchanganyikoTangulizi

Kesi ya Kubenea: Makonda kusakwa

  MWANAHABARI mkongwe nchini Tanzania, Saed Kubenea, anakusudia kuiomba Mahakama ya Kinondoni, itoe wito mpya kwa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es...

Habari Mchanganyiko

Kigoma yaripoti matukio saba ya mauaji

JESHI la Polisi Mkoa wa Kigoma, linawashikilia watu sita wakituhumiwa kuhusika na matukio saba ya mauaji yaliyotokea katika nyakati tofauti mkoani humo. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

Amuua mama yake akimdai Sh. 300,000

HELMAN John, anadaiwa kumuuwa kwa kumpiga na mpini wa jembe mama yake, Celina William, akimdai fedha kiasi cha Sh. 300,000. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

AfyaKimataifa

Mwanajeshi apandishwa cheo kwa kumsaidia mwanamke kujifungua

MWANAJESHI wa Zambia amepandishwa cheo cha kijeshi kwa kumsaidia mwanamke mjamzito kujifungua mtoto katika shamba la mahindi. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Mwanajeshi...

HabariTangulizi

Serikali yataja sababu tatu mkanganyiko mgawo wa umeme

WIZARA ya Nishati imesema baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kuagiza mgawo wa umeme usiwe mkali, wizara ilikaa na watalaam wake na kupata...

Habari

Mpina aibu mapya ucheleweshwaji Bwawa la Nyerere, amgomea waziri

  MBUNGE wa Kisesa, Luhaga Mpina (CCM) amefichua kuwa moja ya sababu iliyochelewesha Bwawa la Nyerere kutojazwa maji kwa muda uliopangwa ni mkandarasi...

Habari MchanganyikoMichezo

Watu 17 wakamatwa uuzwaji jezi feki

  Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam limewakamata watu 17 kwa tuhuma za kuuza jezi feki za Mabingwa wa kihistoria wa...

Tangulizi

Serikali kusaka vijana wenye vipaji mtaa kwa mtaa

  SERIKALI imepanga kuanza kupita kila kijiji, mtaa, wilaya, halmashauri na mkoa kusaka vijana wenye vipaji vya sanaa mbalimbali ili kuwasaidia. Anaripoti Kelvin...

Habari

Rais Samia aifagilia TLS “tutakwenda sambamba”

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali itakwenda sambamba na Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), kwa kuwa inajitambua na inaelekea...

Habari

Polepole aibuka na tiba asili bungeni, ataka majaribio dawa za Corona

  SAKATA la tiba asili na tiba mbadala katika matibabu ya magonjwa ya upumuaji ikiwamo virusi vya Corona, limeibuka bungeni baada ya Mbunge...

Habari

TLS yazungumzia utawala wa sheria, Spika Tulia ajibu

  CHAMA cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), kimeshauri wananchi washirikishwe kikamilifu katika michakato ya utungwaji sheria, kwani jambo hilo linawafanya waridhie mfumo wa...

Kimataifa

Guinea-Bissau: Wengi walikufa baada ya jaribio la mapinduzi, Rais anasema

  MAPINDUZI yameripotiwa katika nchi ya Afrika Magharibi ya Guinea-Bissau, yamesababisha vifo vya maafisa kadhaa wa vikosi vya usalama, rais wake anasema. Inaripoti...

Habari

Paul Makonda kizimbani kesho

  ALIYEKUWA Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Christian Makonda, kesho Alhamisi, tarehe 3 Februari 2022, atapanda kizimbani katika Mahakama ya...

KitaifaTangulizi

TLS yalia Serikali kutumia mawakili wa nje, kuwaunganisha

  CHAMA cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), kimeishauri Serikali ya Tanzania iwatumie mawakili wazawa, ili kuwaongezea ujuzi na kupunguza gharama. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)....

Habari MchanganyikoTangulizi

#LIVE: Rais Samia ashiriki kilele siku ya sheria

  LEO Jumatano tarehe 2 Februari 2022 ni kilele cha maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini Tanzania. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Mgeni rasmi kwenye...

Tangulizi

Shaka atoa agizo wizara ya maliasili kunusuru wananchi

  KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) wa Chama Cha Mapinduzi( CCM), Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka ameiagiza Wizara ya Maliasili...

Habari za Siasa

Babu Duni, Othman waanika vipaumbele 10

  MWENYEKITI mpya wa Chama cha ACT-Wazalendo, Babu Juma Haji Duni na Makamu Mwenyekiti Zanzibar, Othman Masoud Othman wametaja vipaumbele 10 ambavyo watavisimamia...

Habari za Siasa

Rais Samia ateua bosi TRA

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua Uledi Abbas Mussa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). Anaripoti Mwandishi...

Habari za Siasa

Mashahidi wakwamisha kesi ya Mbowe, yapigwa kalenda hadi Ijumaa

  MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, jijini Dar es Salaam nchini Tanzania, imeahirisha kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya Mbowe: Kilichowakimbiza Lissu, Lema Tanzania chatajwa

  MAKAMU Mwenyekiti wa Chadema-Bara nchini Tanzania, Tundu Lissu na Mwenyekiti wa chama hicho Mkoa wa Arusha, Goodbless Lema, wanadaiwa kwenda kuishi uhamishoni...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Tulia aibuka kidedea Uspika, azoa kura zote

  MBUNGE wa Mbeya Mjini, Dk. Tulia Ackson (CCM) ameibuka kidedea katika nafasi ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...

Habari za Siasa

Wabunge wambana Dk. Tulia Bunge kumezwa na Serikali

  MGOMBEA wa nafasi ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Ackson amewahakikishia wabunge kuwa Bunge halitamezwa na...

Habari za SiasaTangulizi

Luteni Urio awa mbogo kwa Kibatala baada ya kudai yuko kizuizini 

  SHAHIDI wa 12 wa Jamhuri katika kesi ya uhujumu uchumi, inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake, Luteni Denis Urio amemtaka...

Habari za Siasa

Mwanaye Kingunge apagawisha wabunge, kugawa magari, kuongeza posho

  MGOMBEA wa nafasi ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kunje Ngombale Mwiru amewapagawisha wabunge baada ya kuwaahidi kupunguza...

Habari za Siasa

Rais Samia amteua Zuhura Yunus kuwa mkurugenzi wake wa Mawasiliano

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua aliyekuwa mwandishi na mtangazaji wa Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC), Zunura Yunus kuwa Mkurugenzi...

Habari za SiasaTangulizi

#LIVE: Uchaguzi wa Spika wa Bunge la Tanzania

  LEO Jumanne, tarehe 1 Februari 2022, Bunge la Tanzania linafanya uchaguzi wa Spika wa Bunge la Tanzania. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma …...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Tulia ajiuzulu U-naibu Spika

  DAKTARI Tulia Ackson, ametangaza kujiuzulu nafasi ya naibu spika wa Bunge la Tanzania. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Taarifa ya kujiuzulu...

error: Content is protected !!