Spread the love

 

RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua Uledi Abbas Mussa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea).

Mussa anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Dk. Suleiman Misango ambaye ataendelea na majukumu yake ya Ukurugenzi ndani ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Soma taarifa yote ya uteuzi…

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *