Spread the love

 

ALIYEKUWA Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Dk Wilbrod Slaa amesema, anamwombea kwa Mwenyezi Mungu, Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ili haki iweze kutendeka na awe huru kuendelea na majukumu yake. Anaripoti Mary Victor…(endelea).

Dk. Slaa amesema hayo mwishoni mwa wiki katika mahojiano maalum na MwanaHALISI TV, MwanaHALISI Online akiwa nyumbani kwake Mbweni jijini Dar es Salaam.

Mwanadiplomasia huyo, amezungumzia masuala mbalimbali ikiwemo ushauri wake kwa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan katika umakini wa kuingia mikataba mbalimbali.

Hayo na mengine mengi, fuatilia mahojiano hayo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *