Friday , 3 May 2024
Habari za SiasaTangulizi

Makonda ang’oka CCM

Paul Makonda, Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi wa CCM
Spread the love

 

RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amemtea Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Taarifa hiyo imetolewa leo tarehe 31 Machi 2024 na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Raia Ikulu, Zuhura Yunus akielezea mabadiliko madogo ya viongozi yaliyofanywa na Rais Samia.

Makonda anachukua nafasi ya John Mongella, atakayepangiwa majukumu mengine.

Kufuatia uteuzi huo, Makonda anaachia ngazi katika nafasi ya Uenezi wa CCM aliyoteuliwa kuishika mwishoni mwa 2023.

3 Comments

  • Mama katukosea kumuondoa Makonda chamani Maana aliletwa mvuto mpya Kwa kutanzuankero za watanzania haraka.Lakini wenzie wamemuonea wivu wakamchongea sio bule ,Makonda alifaa pia kuwa katibu mkuu wa CCM .Ukilinganisha katibu aliyepo Ni mpole muno au mulangira Fulani ,makamu Ni Mzee ameishakuwa mwoga .Najiuliza Nani ataiongoza CCM tufike salama?Maana Mafisadi ,wadhurumu haki ,wazembe wanatumia CCM kuficha makucha yao.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Chadema waendelea kulilia katiba mpya

Spread the loveCHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeendelea kudai upatikanaji wa...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema kumshtaki Rais Samia

Spread the loveCHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimetishia kumfungulia kesi ya...

Habari za Siasa

Tume huru ya uchaguzi yatangaza uchaguzi mdogo Jimbo la Kwahani

Spread the love  TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi, imetangaza uchaguzi mdogo...

AfyaHabari za Siasa

Dk. Biteko aagiza utoaji huduma saratani usiwe wa kibaguzi

Spread the loveNaibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko...

error: Content is protected !!