Sunday , 12 May 2024
Home upendo
1884 Articles239 Comments
Habari za Siasa

Prof. Lipumba: Nipo tayari kung’oka CUF

PROFESA Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), amefungua milango kwa mwanachama mwenye uwezo kujitokeza na kugombea nafasi aliyonayo sasa. Anaripoti Regina...

Kimataifa

Aibu Ikulu, Mtoto wa Rais ashikiliwa kwa utakatishaji fedha

VYOMBO vya dola nchini Angola vimemuweka kizuizini Jose Filomeno Dos Santos, mtoto wa rais wa zamani wa nchi hiyo, Jose Eduardo Dos Santos...

Habari Mchanganyiko

TCU watia kitanzi vyuo viwili

TUME ya Vyuo Vikuu nchini (TCU) imevifuta vyuo vikuu viwili kikiwemo cha Mtakatifu Yohana (SJUT) kilichopo Msalato Dodoma na Theophil Kisanji (TEKU) cha...

Habari Mchanganyiko

Waombaji 25,000 wakosea kuomba mkopo Elimu ya Juu

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imewataka waombaji mikopo katika mwaka wa masomo 2018/2019 ambao fomu zao zina kasoro,...

Habari za SiasaTangulizi

MV Nyerere yazidi kuondoka na Vigogo, JPM atumbua wengine

RAIS John Magufuli ameivunja Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchikavu na Majini (SUMATRA) ikiwa ni muendelezo wa hatua...

Habari za Siasa

Kubenea: Michango ya MV Nyerere iwafikie waathirika

MBUNGE wa Ubungo, Saed Kubenea, ameitaka serikali ifikishe kwa waathirika michango inayokusanya. Anaripoti Regina Kelvin … (endelea). Kubenea ameyasema hayo kwenye mahojiano maalum...

Habari za Siasa

Kangi: Wanaotumia ajali MV Nyerere kisiasa, watashughulikiwa

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amewaonya baadhi ya watu wanaotumia ajali ya kivuko cha MV Nyerere kuichonganisha serikali na...

Habari Mchanganyiko

Kesi ya dhamana ya Sudi Brown, Maua Sama, Shaffih kusikilizwa J’tatu

KESI ya maombi ya dhamana Na. 13/2018 ya Msanii wa Bongo Fleva, Maua Sama, Watangazaji Sudi Kadio maarufu kama Soudy Brown na Shaffih...

Habari MchanganyikoTangulizi

Serikali kugharamia mazishi waliofariki MV Nyerere

SERIKALI imesema itagharamia shughuli za mazishi ya miili ya watu waliopoteza maisha katika ajali ya MV Nyerere iliyotokea juzi tarehe 20 Septemba 2018....

Habari za SiasaTangulizi

Rais Magufuli: Waliozamisha MV Nyerere wakamatwe, maombelezo siku nne

SERIKALI imeagiza vyombo vya dola kuwakamata na kuwahoji wahusika katika uendeshaji safari za kivuko cha MV Nyerere kuhusu ajali ya kivuko hicho iliyotokea...

Habari MchanganyikoTangulizi

Meli ya MV Nyerere yazama Ziwa Victoria

KIVUKO cha MV. Nyerere kinachotoa huduma kati ya Ukara na Bugorola wilayani Ukerewe mkoa wa Mwanza kimezama mchana wa leo tarehe 20 Septemba...

KimataifaTangulizi

Bobi Wine akamatwa tena, apelekwa pasipojulikana

MBUNGE wa Kyadondo Mashariki nchini Uganda, Robert Kyagulanyi maarufu kama ‘Bobi Wine’ amekamatwa na Jeshi la Polisi alipowasilisi katika Uwanja wa Ndege wa...

Habari za Siasa

Rais Magufuli afanya uteuzi mpya NSSF

RAIS John Magufuli amemteua Balozi Mstaafu, Ali Idi Siwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii...

Habari Mchanganyiko

Kesi ya kuvunja Muungano yakwama

MAHAKAMA ya Afrika Mashariki (EACJ) imetupilia mbali kesi iliyofunguliwa na wananchi ya kupinga Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Anaripoti Regina Kelvin … (endelea)....

Habari Mchanganyiko

India wapiga marufuku kuacha mke

SERIKALI ya India imeanza utekelezaji wa muswada wa sheria ya ulinzi wa haki katika Ndoa wa mwaka 2017 uliokwama kupitishwa na bunge la...

Habari Mchanganyiko

BOT watoa onyo kwa wanaochezea fedha

BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imetoa onyo kwa wananchi wanaodhihaki na kukejeli fedha ya nchi, kwa kuwa kitendo hicho ni kosa la jinai...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema wagoma mpaka 2020

KAMATI Kuu ya Chadema imeazimia kususia chaguzi ndogo zinazotarajiwa kufanyika hivi karibuni kutokana na kutoridhishwa na uendeshwaji wa chaguzi ndogo zilizopita. Anaripoti Regina...

Habari za SiasaTangulizi

Polepole ajikanyaga Uchaguzi Ukonga

HUMPHREY Polepole, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) amedai kwamba, mahudhurio hafifu ya wapiga kura kwenye uchaguzi mdogo wa...

Afya

Majaliwa apiga marufuku dawa mbadala

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema serikali itadhibiti matumizi mabaya ya baadhi ya dawa za hospitali na kemikali zinazowekwa katika vyakula, ambazo hutumiwa kama...

Habari za Siasa

Mwita Waitara arudi tena Ukonga

MGOMBEA Ubunge wa CCM katika uchaguzi mdogo wa jimbo la Ukonga uliofanyika jana, Mwita Waitara ameibuka mshindi baada ya kupata kura ya asilimia...

Habari za SiasaTangulizi

Makontena ya Makonda kugaiwa kwa umma

IWAPO Makontena 20 ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda yanayopigwa mnada na Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) kupitia Kampuni...

Habari za Siasa

NEC watangaza Uchaguzi mdogo mwingine

UCHAGUZI mdogo katika kata 37 za Tanzania Bara unatarajiwa kufanyika tarehe 13 Oktoba 2018. Anaripoti Regina Kelvin … (endelea). Tarehe hiyo imetangazwa leo...

Habari za SiasaTangulizi

Kubenea awaibua Tundu Lissu, Ben Saanane, Ulimboka bungeni

MBUNGE wa Ubungo, Saed Kubenea ameibua bungeni tukio la kushambuliwa kwa Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, Mwanahabari Absalom Kibanda, Ben Saanane na...

Habari za Siasa

Kangi Lugola: Mwananchi akifia kwenye mapenzi kachomeni kitanda

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola ameshangazwa na kitendo cha baadhi ya wananchi kuchoma vituo vya polisi pindi raia anapofariki...

Habari za Siasa

Spika Ndugai azuia wakurugenzi wa Uchaguzi kuguswa

SPIKA wa Bunge Job Ndugai amemzuia Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk. Susan Kolimba kujibu maswali ya...

Elimu

Waliosambaza vitabu feki watimuliwa kazi

WATUMISHI takribani 29 wa Taasisi ya Elimu nchini (TIE) wamesimamishwa kazi na kufunguliwa mashtaka ya kinidhamu kutokana na sakata la baadhi ya vitabu...

Habari MchanganyikoTangulizi

Kamishna wa TRA anusurika ajalini Dodoma

KAMISHNA wa Mamlaka ya Mapato nchini (TRA), Charles Kichere amepata ajali asubuhi ya leo tarehe 11 Septemba 2018 mkoani Dodoma baada ya gari...

Habari za SiasaTangulizi

Kumtetea mkandarasi kwamponza Waziri, JPM amtolea uvivu

RAIS John Magufuli amemchimba mkwara Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwele kwamba atamfukuza kazi endapo mkandarasi wa ujenzi wa daraja...

Kimataifa

Trump aichimba mkwara mzito mahakama ya ICC

UTAWALA wa Rais wa Marekani, Donald Trump umetishia kuchukua hatua kali dhidi ya Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita (ICC), ikiwemo kuwawekea...

Habari za SiasaTangulizi

Wananchi wa Chato wamkera JPM, awapa adhabu kali

RAIS John Magufuli amesema hatoipa kipaumbele wilaya ya Chato iliyoko mkoani Geita, katika utekelezaji wa miradi ya maji, kutokana na baadhi ya wakazi...

Habari za Siasa

Filamu ya makontena ya Makonda yaendelea

MAKONTENA 20 yenye samani mbalimbali yaliyoingizwa nchini na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda yanayopigwa mnada na Mamlaka ya Mapato nchini...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Magufuli aikalia kooni Acacia

RAIS John Magufuli ameapa kuibana kampuni ya uchimbaji madini ya Acacia ili ikamilishe ujenzi wa  mradi wa maji unaojengwa wilayani Tarime mkoa wa...

Kimataifa

Wanajeshi 10 wahukumiwa kwa mauaji, ubakaji

MAHAKAMA ya kijeshi nchini Sudan Kusini imewahukumu wanajeshi 10 vifungo vya kati ya miaka saba na maisha kwa makosa ya mauaji na ubakaji....

Habari za SiasaTangulizi

JPM ambana mbunge wa Chadema, atamani kuhamia CCM

MBUNGE wa Serengeti kupitia Chadema, Marwa Lyoba amejikuta katika wakati mgumu baada ya kuzomewa na wafuasi wa CCM alipobanwa na Rais John Magufuli...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Magufuli awatega wakuu wa wilaya, mikoa

RAIS John Magufuli amewaweka mtegoni Wakuu wa Wilaya na Mikoa walioko katika maeneo yenye migogoro sugu  ya ardhi, akiwataka kusema iwapo wameshindwa kuitatua...

KimataifaTangulizi

Bobi Wine alazwa ICU, madaktari wasema alipewa sumu

MBUNGE wa Kyadondo Mashariki nchini Uganda, Robert Kyagulanyi hali yake kiafya ni tete, amelazwa katika chumba cha uangalizi maalumu (ICU) nchini Marekani alikokwenda...

Habari za Siasa

Rais Magufuli ateua Mkurugenzi mpya wa Takukuru

RAIS John Magufuli amemteua Kamishna wa Polisi, Diwani Athuman kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU). Anaripoti Regina...

Habari za Siasa

JPM: Nyerere akiibuka leo atashangaa

RAIS John Magufuli amemuagiza Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Profesa Makame Mbarawa na Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Prof. Kitila Mkumbo kufanya uchunguzi...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Magufuli: Nitamkaba Lukuvi alipe pesa zangu

RAIS John Magufuli amesema, atamkaba Waziri wa Ardhi, William Lukuvi ili amlipe Sh. 1 milioni fedha alizowapa wazee wawili ambao mmoja wao alidhulumiwa...

Habari Mchanganyiko

Wawili wafariki dunia ajalini Pwani

WATU wawili wamefariki dunia na wengine wawili kujeruhiwa, katika ajali iliyotokea usiku wa kuamkia leo tarehe 4 Septemba mwaka huu, iliyohusisha magari mawili...

Habari za Siasa

Zitto Kabwe kufichua kesi mpya za Serikali bungeni

MBUNGE wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe amewasilisha swali la maandishi bungeni akiitaka serikali iueleze umma kuhusu idadi ya kesi zilizofunguliwa kwenye mahakama za...

Habari za Siasa

Zengwe la Uchaguzi Mdogo laibuka bungeni

MATUKIO yaliyotikisa katika Uchaguzi Mdogo wa udiwani na ubunge sasa yameanza kuhojiwa bungeni. Anaripoti Regina Kelvin … (endelea) Miongoni mwa matukio hayo ni...

Kimataifa

Waandishi wa habari za uchunguzi wahukumiwa kifungo

WAANDISHI wa habari wawili wa mtandao wa Reuters wa Lone na Kyaw Soe Oo, wamehukumiwa kifungo cha miaka saba jela na Mahakama nchini...

Habari za Siasa

Bunge laanza, Waziri Mkuu kuulizwa maswali 16  

MKUTANO wa 12 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania unatarajiwa kuanza Jumanne ya tarehe 4 Septemba 2018, huku maswali 16 ya...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Magufuli kuwalipa Wafanyakazi wa meli Bil 3.7

RAIS John Magufuli ameahidi kutoa kiasi cha Sh. 3.7 bilioni ndani ya wiki mbili, kwa ajili ya kulipa malimbikizo ya mishahara ya miezi...

Habari Mchanganyiko

IGP Sirro afanya mabadiliko makamanda wa mikoa

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro amefanya mabadiliko ya baadhi ya makamanda wa polisi wa mikoa nchini, kwa kumhamisha Kamanda...

Habari za SiasaTangulizi

Laana ya Makonda yagonga mwamba, makontena yauzwa

BAADHI ya samani zilizokuwemo kwenye makontena yaliyoingizwa nchini na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda na kukwama bandarini kutokana na...

Habari Mchanganyiko

LHRC: Ukatili wa ngono waongezeka maradufu nchini

MATOKEO ya ripoti ya nusu mwaka wa 2018 ya haki za binadamu nchini iliyoandaliwa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC)...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Magufuli ammaliza kabisa Makonda

RAIS  John Magufuli amefunga mjadala kuhusu makontena 20 yenye samani ikiwemo meza na viti yaliyoingizwa nchini na Mkuu wa Mkoa wa Dar es...

Elimu

Ummy aingilia kati Mwalimu kumpiga mwanafunzi mpaka kufa

TUKIO la Mwalimu Respecious Patrick wa Shule ya Msingi Kibeta, iliyoko Bukoba mkoani Kagera anayedaiwa kumwadhibu mwanafuzi  Sperius Eradius, na kupelekea mwanafunzi huyo...

error: Content is protected !!