November 27, 2022

Uhuru hauna Mipaka

Rais Magufuli amteuwa Mkurugenzi mpya NIDA

Spread the love

RAIS John Magufuli leo tarehe 3 Oktoba 2018 amemteua Dk. Arnold Mathias Kihaule kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA). Anaripoti Regina Kelvin … (endelea).

Taarifa ya uteuzi huo imetolewa leo na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Gerson Msigwa.

Sehemu ya taarifa hiyo inaeleza kwa, uteuzi wa Dk. Kihaule unaanza leo.

Kabla ya uteuzi huo, Dk. Kihaule alikuwa Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Ardhi (ARU)

error: Content is protected !!