September 27, 2022

Uhuru hauna Mipaka

Kiongozi wa Upinzani Uganda akamatwa tena na Polisi

Kizza Besigye

Spread the love

KIZZA Besigye, Kiongozi Mkuu wa Upinzani nchini Uganda amekamatwa na Jeshi la Polisi nchini humo wakati akijaribu kuondoka nyumbani kwake mjini Kasangati. Anaripoti Regina Kelvin … (endelea).

Besigye amekamatwa leo tarehe 23 Agosti, 2018, ambapo baada ya kukamatwa amepelekwa katika kituo cha polisi cha Naggalama.

Hadi sasa haijafahamika kosa lililopelekea kiongozi huyo wa upinzani kukamatwa na Jeshi la Polisi.

Jeshi la Polisi kabla ya kumtia nguvuni Besigye, lilizingira nyumba yake.

error: Content is protected !!