November 27, 2022

Uhuru hauna Mipaka

ACT-Wazalendo waomba mkutano wa maridhiano

Spread the love

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimeitaka serikali pamoja na wadau wa demokrasia nchini kuitisha mkutano wa kitaifa wa maridhiano ya kisiasa kwa ajili ya kujadili changamoto zinazokabili mfumo wa vyama vingi. Anaripoti Regina Kelvin … (endelea).

Wito huo umetolewa leo tarehe 15 Agosti, 2018 jijini Dar es Salaam na Dorothy Semu, Kaimu Katibu Mkuu wa ACT wakati akizungumza na wanahabari kuhusu matokeo ya uchaguzi mdogo uliofanyika hivi karibuni.

Semu amesema matokeo ya uchaguzi huo ambapo CCM ilishinda kwa asilimia mia, yameonyesha kwamba imefunga mlango wa wananchi kuchagua viongozi wa njia ya kidemokrasia, na hivyo si jambo jema kwa ustawi wa demokrasia.

“CCM ijue kuwa inapofunga mlango wa wananchi kuchagua viongozi kwa njia ya kidemokrasia, inafungua milango mingine ambayo inaweza kuitumbukiza nchi yetu kwenye machafuko,” amesema na kuongeza Semu.

Hili si jambo lenye afya kwa taifa.Uitishwe Mkutano wa Kitaifa wa maridhiano ya kisiasa ambapo changamoto

error: Content is protected !!